All parliamentary appearances
Entries 281 to 290 of 468.
-
21 Mar 2007 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, I beg to move the following Motion:- THAT, the debate on any Motion for the Adjournment of the House to a day other than the next normal Sitting Day shall be limited to a maximum of three hours with not more than five minutes for each member speaking; provided that, when the period of recess proposed by any such Motion does not exceed nine days, the debate shall be limited to a maximum of 30 minutes, and shall be strictly confined to the question of the adjournment.
view
-
21 Mar 2007 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, I beg to move the following amendment:- THAT, the Hon. Moody A. Awori be the Chairman of the House Business Committee.
view
-
21 Mar 2007 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, I beg to move the following Motion: THAT, the thanks of this House be recorded for the exposition of public policy contained in His Excellency's Presidential Address from the Chair on Tuesday, 20th March, 2007. Asante Bw. Spika. Nitachukua fursa hii kusema machache juu ya Hotuba ya Rais. Tumekuwa katika likizo kwa miezi mitatu. Nafikiri tumerudi tukiwa wachangamfu sana. Ninataka kumshukuru Rais kwa Hotuba yake madhubuti ambayo alitoa jana hapa katika hili Bunge. Kwanza, aliyakariri yale mambo yote ambayo Serikali hii imefanya, akikumbuka kwamba hiki ndicho kikao cha mwisho cha Bunge la Tisa kabla uchaguzi kufanywa. Ilikuwa ...
view
-
21 Mar 2007 in National Assembly:
Bw. Spika, nilikuwa nikisema kwamba uchumi wetu umeboreshwa kwa sababu ya muongozo mwema wa Serikali hii na imeweka mazingara bora ambayo yamewawezesha wananchi wetu kuweka pesa katika biashara hapa. Sasa wanaendelea kufanya hivyo. La muhimu ni kwamba Rais alionyesha dhamira yetu ni nini; ni matakwa gani tuliyonayo na tutaweza kuyatimiza namna gani. Licha ya changamoto nyingi ambazo zinakumba nchi yetu, kuna mipango mingi sana ambayo imefanywa iliyowezesha uchumi wetu kuendelea mbele. Kwa mfano, wakati tulipounda Serikali hii, tulisema kuwa kutakuwa na nafasi nyingi za ajira ya kutosha watu wetu lakini wengi wa wale ambao hawaungi mkono Serikali wanauliza hiyo ajira ...
view
-
21 Mar 2007 in National Assembly:
Bw. Spika, mbali na kuongeza hazina ya akina mama, Serikali imeimarisha sekta ya utalii na imeenda mbele sana. Wakati tulipochukua usukani watalii chini ya 700,000 ndio waliokuwa wakija katika nchi hii. Mwaka uliopita, watalii wapatao milioni moja na nukta nane walikuja katika nchi hii na wakatumia pesa zaidi ya Kshs6.5 bilioni. Hii sekta inaendelea. Tumeweka maanani jambo hili ili watu waweze kuwa wawekazaji bila kuwafikiria wageni peke yake. Tunataka Wakenya wawe wawekezaji. Tumeona jinsi walivyojifanya wawekezaji katika KenGen, Eveready Battery na kwingineko. Wananchi sasa wanakuja mbele kutoa pesa ambazo walikuwa wameficha kwingineko kwa sababu ya muongozo mwema wa Serikali hii. ...
view
-
21 Mar 2007 in National Assembly:
, wanajaribu kusaidia kuongeza misaada ya kimatibabu, wanawapa walemavu viti vya magurudumu na mengineyo. Hii ni kwa sababu ya uhusiano bora ambao Serikali iko nao na
view
-
21 Mar 2007 in National Assembly:
. Mhe. Rais pia alitaja habari ya kupigana na ufisadi, na hili ni jambo ambalo Serikali inaendelea nalo, hata akasema kwamba sasa wataleta Mswada ambao utafanya watu kuonyesha mali walionayo, jinsi walioipata na ilikuwa namna gani. Bw. Spika, kurekebisha Katiba ni jambo ambalo limezungumzwa na kila mtu na kadhalika. Watu wengi walimuuliza Rais kuchukua muongozo, na yeye amechukua muongozo akasema sasa tuanze kuzungumza na tujadiliane, ili tuweze kutatua jambo hili kwa sababu Katiba ni jambo la watu wote. Sio jambo la Mbunge au diwani, bali ni jambo la kusaidia nchi hii yote. Lile linalotakikana ni kwamba wakati tunazungumza, tusiwe tunaangalia ...
view
-
21 Mar 2007 in National Assembly:
Kwa hivyo, nitataka marafiki zangu, wakati tunaendelea, tukumbuke kwamba tutataka uongozi huu uendelee hata mwaka ujao, ili nchi yetu iimarike. Nasema asanteni sana, na ninaomba kupendekeza.
view
-
21 Mar 2007 in National Assembly:
18 PARLIAMENTARY DEBATES March 21, 2007
view
-
20 Mar 2007 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, I beg to move the following Motion:- THAT, the thanks of this House be recorded for the exposition of public policy contained in His Excellency's Presidential Address from the Chair on Tuesday, 20th March, 2007.
view