All parliamentary appearances
Entries 151 to 160 of 10403.
-
30 Oct 2019 in National Assembly:
Mhe. Ndugu Spika, ninakubaliana nawe. Ni kama amri kwamba niwape nafasi Wabunge kama wawili. Ninajua kuna Mbunge wa Lamu ambaye alitusaidia sana na ninampatia dakika moja pamoja na Mhe. K’Oyoo, na akiharibu lugha polisi wanaweza kumshika. Halafu Mheshimiwa ambaye pia yuko kwa hiyo kamati ambaye tulikuwa naye hapo jana, kutoka Baringo. Wanne dakika moja kila mmoja.
view
-
30 Oct 2019 in National Assembly:
Nakushukuru sana, Mhe. Spika. Nikimalizia, nachukua nafasi hii kusema asante sana kwa waliochangia. Ni ajabu nimekuwa hapa kwa Bunge hili kwa miaka nyingi na sijapata kuona Hoja ambayo inaungwa mkono asilimia mia kwa mia. Hii ni mojawapo. Wabunge wote ambao wamezungumza hapo mbele wamechangia mambo tofauti, lakini wamesema kwamba inabidi tubadilishe kipengele ambacho kinasema umalizie Kiingereza ukianzia Kiingereza. Tunaweza kuchanganya lugha. Ni vizuri lakini pia tuchunge ili tusiweke mix kubwa mpaka tuwe na Sheng na kuileta katika Bunge letu. Hiyo itabidi twende kutafuta Kanuni tofauti za ile Sheng .
view
-
30 Oct 2019 in National Assembly:
Kwa hivyo, ni lazima tuwe tukiomba neno moja au lingine kutoka ile lugha nyingine ili tuwe na Kiswahili sanifu ambacho wanafunzi wataiga.
view
-
30 Oct 2019 in National Assembly:
Mhe. Spika, muongozo utatoka kwako tu, Spika mwenyewe. Wale Wabunge tutakuwa chini hapa itakuwa ni kufuata amri. Kwa hivyo, ndugu yetu ambaye ni msemaji sana kwa lugha ya Kiswahili, angojee. Hapa ilikuwa ni practise kwa wale ambao…
view
-
30 Oct 2019 in National Assembly:
Ni mazoezi kwa wale kama K’Oyoo ambao hawaelewi Kiswahili vizuri. Nikimalizia, ni shukrani sana kwa Wabunge ambao wamechangia na wale pia wameketi hapa kusikiza. Sio kawaida Wabunge kukaa na kufuatilia Hoja mpaka dakika kama hii. Nashukuru afisi ya Spika. Pia, nashukuru afisi ya Karani wetu wa Bunge. Kazi ambayo wameiweka hapa ni ya maana sana. Naomba kuhitimisha. Asante sana, Mhe. Spika.
view
-
30 Oct 2019 in National Assembly:
The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
-
29 Oct 2019 in National Assembly:
I thank you, Hon. Speaker. I beg to lay the following Paper on the Table of the House: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
-
29 Oct 2019 in National Assembly:
The Third Report of the Procedure and House Rules Committee on the translation of the National Assembly Standing Orders to Kiswahili. I hope that the Leader of the Majority Party will be sitting very closely with Ali Mohamed.
view
-
29 Oct 2019 in National Assembly:
Hon. Speaker, I beg to give notice of the following Motion: THAT, this House adopts the Third Report of the Procedure and House Rules Committee on the translation of the National Assembly Standing Orders to Kiswahili laid on Table of the House on Tuesday, 29th October 2019, and approves the Kiswahili version of the National Assembly Standing Orders, and further resolves that the Kiswahili version of the Standing Orders take effect at the commencement of the Fourth Session of the Twelfth Parliament.
view
-
29 Oct 2019 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. For the comfort of the Leader of the Majority Party, inaitwa Kanuni za Kudumu za Bunge la Taifa. Sio Amri zaKusimama like Hon. Sankok is saying. These are Kanuni za Kudumu za Bunge la Taifa, sio Amriza Kusimama.
view