Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 201 to 210 of 424.

  • 2 Nov 2023 in Senate: Madam Temporary Speaker, I withdraw. view
  • 2 Nov 2023 in Senate: Madam Temporary Speaker, I withdraw. view
  • 31 Oct 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii. Nimesimama hapa kimasomaso, mchana peupe, kupinga Hoja hii iliyoletwa na Mratibu wa walio Wachache katika Seneti. Sisi si jongoo, tunavichwa vyetu na tunaweza kufikiria kibinafsi. Hapa Seneti, Hoja inayofaa kuungwa mkono na pande zote mbili, huletwa na Kiongozi wa Walio Wengi. Hoja hii huungwa mkono na Kiongozi wa Walio Wachache. Leo Hoja imefadhiliwa na Mratibu wa walio Wachache na kuungwa mkono na mdogo wake. Hii inaashiria kuna azimio fiche kwenye tendo hili. view
  • 31 Oct 2023 in Senate: Maseneta vijana katika Seneti wanafaa kupewa nafasi ya kusikiza, ‘kunusa,’ ‘kuonja’ na kusoma Hoja inayoletwa katika Seneti. Ukiangalia orodha ya Maseneta ambao inapendekezwa waunde Kamati, katika upande wa walio wengi, ni wale ambao walikuwa wakati Gavana wa Meru aliletwa hapa Seneti mara ya kwanza. Hii inanyima nafasi Maseneta wengi vijana walio katika upande wa walio wengi. Hoja iletwe kwenye kikao cha Seneti. Sitakubaliana na maoni kuwa wakati Gavana ataletwa kwenye kikao cha Seneti, hatasikizwa. Kwenye Bunge la Kaunti la Meru, Wawakilishi Wadi 59 walisikiza na wakapitisha Hoja. Naomba Maseneta wa upande wa walio wengi tusifuate mkondo kama samaki aliyekufa. Hoja ... view
  • 12 Oct 2023 in Senate: I second. view
  • 12 Oct 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 11 Oct 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda kwa kunipa hii nafasi. Kwanza, ninamshukuru Waziri kwa kazi nzuri anayofanya katika Idara ya Usalama. Unahitaji moyo, tajriba na weledi kukabili vishindo vya usalama nchini. Katika majukumu ya kulinda usalama katika sehemu tofauti tofauti, mara nyingi maafisa wa polisi hutumwa katika eneo fulani. Kwa yamkini mwaka mmoja, Kirinyaga tumezika takriban watu nane walio chini ya umri wa miaka 27. Ningependa kuuliza Waziri; je, kuna uwezekano maafisa wanaotumwa ni makurutu, ambao hawana uzoefu wa kutosha kwa mazingira wanayopata na ndio maana wanapoteza maisha? Wanapopoteza maisha, je, fidia yoyote inalipwa? Na je, fidia inayolipwa ni ya kutosha ... view
  • 11 Oct 2023 in Senate: Yes, Mr. Temporary Speaker, Sir. I am proceeding. I thank the Cabinet Secretary and will ask him one Question. (a) Is the Cabinet Secretary aware of the kidnappings that have been happening along the Makutano–Sagana Highway in Kirinyaga County for the last two years, where 11 children have been reported missing without a trace? (b) Could the Cabinet Secretary provide an update on the status of investigations into the cases which have been reported at Sagana, Kiamaciri and Wang’uru Police Stations? (c) What measures is the Government taking to strengthen security in the area to end the kidnappings and bring ... view
  • 11 Oct 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda. Kwa maswali ya ziada, nitauliza maswali mawili tu. Waziri, mnamo Mwezi wa Februari mwaka huu, kuna ndugu wawili ambao waliuawawa kinyama pale na ukaleta taarifa katika hili Bunge. Kutoka wakati huo hatujasikia kulifanyika vipi. Kwa hivyo, swali langu ni, je, wale ndugu wa damu waliouliwa, uchunguzi umefika wapi kwa sababu hatujasikia kutoka Februari kuhusu mambo ambayo yanafanyika? Swali la mwisho, kwa sababu sitaki kukuuliza kuhusu mambo ya wizi wa ng’ombe ambao unaendelea Kirinyaga; kuna jambo lilifanyika kule Kirinyaga kuhusu kiongozi mwanamke wa Bunge la Kaunti ya Kirinyaga. Mwanamke huyo alishambuliwa na watu wanaojulikana na wengine ... view
  • 11 Oct 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus