All parliamentary appearances
Entries 291 to 300 of 1513.
-
29 Nov 2016 in National Assembly:
Asante sana Naibu Mwenyekiti wa Muda. Ninataka kumpongeza Mwenyekiti Chepkong’a kwa kufikiri kuwa kuna umuhimu wa jambo hili. Tangu Katiba mpya iwepo hapa nchini mwaka wa 2010, Wakenya wengi wamejitokeza wakikimbilia kortini hata bila sababu. Hivyo basi kipengele hiki kitamwezesha Spika wetu kufanya kazi bila hali ya wasiwasi.
view
-
29 Nov 2016 in National Assembly:
Asante sana.
view
-
29 Nov 2016 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Speaker, I beg to move that the House doth agree with the Committee in the said Report.
view
-
29 Nov 2016 in National Assembly:
I request Hon. Chepkong’a to second the Motion for agreement in the report of the Committee of the whole House.
view
-
29 Nov 2016 in National Assembly:
I second, Hon. Temporary Deputy Speaker.
view
-
24 Nov 2016 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Chairman, I beg to move that the Committee doth report to the House its consideration of the Insurance (Amendment) Bill (National Assembly Bill No.28 of 2016) and its approval thereof with amendments.
view
-
24 Nov 2016 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Chairman, I beg to move that the Committee doth report to the House its consideration of the Insurance (Amendment) Bill (National Assembly Bill No.28 of 2016) and its approval thereof with amendments.
view
-
23 Nov 2016 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Chairman, I beg to move that the Committee doth report to the House its consideration of the Insurance (Amendment) Bill (National Assembly Bill No.28 of 2016) and its approval thereof with amendments.
view
-
26 Oct 2016 in National Assembly:
Asante sana Mhe. Spika. Nami pia najiunga na wenzangu kupinga Mswada huu ambao unarekebisha Kipengele cha 81 cha Katiba. Si utani kuwa Kipengele cha 81 kiko pale, si utani kuwa Kipengele cha 27 kiko ndani ya Katiba haswa kwenye ukurasa wa masuala ya haki za kibinadamu. Hakuna uwezekano kuwa Wakenya wataweza kufanya shughuli za kimaendeleo na uongozi bila kuhusisha akina mama, walemavu ama wale ambao ni wanyonge katika jamii na ulimwenguni ili kupata suluhu kwa masuala mengi yanayowakabili Wakenya. La kusikitisha ni kwamba wengi wetu tumeongea mara kwa mara kuhusu jambo hili ambalo linahusu Wakenya wote na hata ulimwengu mzima. ...
view
-
26 Oct 2016 in National Assembly:
masikitiko hayo niliyonayo, ninawaomba ndugu zangu katika Bunge hili tushikane mikono pamoja ili tutafute suluhisho la tatizo hili. Mswada huu ulioko mbele yetu sasa hivi hautupatii suluhisho bali unatuweka kwenye matatizo. Mswada huu unanuia kwamba tatizo hili lishughulikiwe siku za baadaye. Hakuna Bunge lingine ambalo lingeweza kutatua tatizo hili. Hii ni kwa sababu Bunge hili, hivi maajuzi, karibu lipitishe idadi inayostahili ya theluthi moja tunayoulizia kikatiba. Theluthi moja siyo kubwa sana. Hivyo basi, ninatumaini kuwa Mswada huu, kama tutakubaliana, uwekwe kando ili tuweze kupata Mswada wa kuleta sheria ambayo itatupatia suluhisho na idadi iweze kutimia. Hata kama tutakubaliana kusonga mbele ...
view