All parliamentary appearances
Entries 31 to 40 of 1513.
-
16 Jun 2021 in National Assembly:
ni kama linawaangamiza. Mtu atalipa vipi nyumba pale anapokodisha? Atanunulia watoto wake chakula namna gani? Atasomesha watoto namna gani? Kule tunakotoka katika maeneo bunge ni vilio, vilio, vilio. Hakuna haja ya sisi kuzungumzia suala hili na kuliweka kwenye sheria kwa sababu ugavi wa pesa uko ndani ya sheria. Tutaipitisha sheria hii lakini pesa hazitawafikia wananchi katika maeneo ya ugatuzi. Langu ni kuzungumzia Waziri ambaye anasimamia masuala ya fedha kwenye Serikali ya Kitaifa, Ukur Yatani. Alikuwa gavana kabla hajafika hapo alipo sasa. Anajua matatizo yaliyoko katika maeneo ya ugatuzi. Si hivyo tu. Ukiangalia hata huduma ambazo tunazihitaji katika maeneo ya ugatuzi, ...
view
-
16 Jun 2021 in National Assembly:
Sio siri kuwa magavana wote wamekuwa wakilalamika kuwa pesa hazijafika. Vile vile pia, pesa zikifika kwa serikali za ugatuzi, wanatakikana kuhakikisha kuwa wamesimamia kisawasawa ili ziweze kutumika kwa huduma zile ambazo zinatakikana kumsaidia mwananchi pale chini mashinani.
view
-
16 Jun 2021 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika wa Muda, watu wengi wamekuwa na shida, haswa wanakandarasi, kuwa hawapati malipo. Wengine wamechukua mikopo kwa benki na wanashindwa kulipa, kwa sababu ya kutekeleza miradi ile ambayo wamepatiwa kwenye kandarasi. Lazima Waziri na Serikali yetu ya Kenya ihakikishe kuwa pesa zinatoka wakati unaofaa ndio wasipate hasara. Wanapochelewa kulipa, ndio wale wanakandarasi pia wanadai zaidi. Suala hili la malipo limecheleweshwa. Serikali na mwananchi wanapata hasara, kwa sababu pesa hazifiki kwa muda unaofaa.
view
-
16 Jun 2021 in National Assembly:
Sina mengi ya kusema. Naunga mkono kuwa isiwe tu ni sheria tunapitisha. Pesa hizi Ksh370 bilioni ni lazima zifike maeneo ya ugatuzi ili zisaidie wananchi ili wafurahie matunda ya ugatuzi.
view
-
16 Jun 2021 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika wa Muda, naunga mkono Mswada huu.
view
-
11 May 2021 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairman. In as much as I hear what my colleagues are saying, it is true as you give to charity you should get that incentive. Again, the main problem is how do you quantify it? I think that is where the problem is. How will it be quantified and recorded you have donated so much so that you can claim an incentive from it? I think those are questions which should worry everybody and that are subject to abuse.
view
-
6 May 2021 in National Assembly:
Mheshimiwa Spika.
view
-
6 May 2021 in National Assembly:
Ninapiga kura ya ndio.
view
-
6 May 2021 in National Assembly:
Napiga kura ya ndio.
view
-
11 Mar 2021 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. First of all, I want to add my voice in congratulating Hon. Peter Kaluma for bringing these amendments to the Law of Succession Bill. This is very important because of the confusion that is there. Just to give a background, the Marriage Act was an issue that was discussed for many years, from the time we had our first President to our third. Just when we were transitioning to the fourth President, His Excellency President Uhuru Kenyatta, I was the Minister for Gender. We sat down with the Attorney-General after President Kibaki asked us ...
view