Naomi Shaban

Parties & Coalitions

Full name

Naomi Namsi Shaban

Born

9th September 1963

Post

P.O. Box 73855 - 00200 Nairobi

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

namsi-ns@yahoo.com

Telephone

0722814412

Telephone

0202215245

All parliamentary appearances

Entries 731 to 740 of 1513.

  • 2 Jul 2015 in National Assembly: Ahsante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nataka pia kuongeza sauti yangu kwa kumpongeza Mwenyekiti aliyesimamia suala hili la maji na mazingira kwa kufanya kazi nzuri, pamoja na Kamati yake. Wamekuwa na uwezo wa kutufanya kazi hii yote. Ningependa kumkumbusha Mhe. Langat kuwa kuna Wabunge wengine kama Mhe. Mbui ambaye amekaa tangu mwanzo mpaka sasa hivi. Vile vile Mwenyekiti, Madam Spika, leo amekuwa hapo akifanya kazi hii ambayo ni muhimu. view
  • 2 Jul 2015 in National Assembly: Tunaambiwa siyo desturi sana ya kuwa watulivu maanake muda ulikuwa umeyoyoma. Pia, ningependa kumshukuru sana dadangu Mhe. Amina Abdalla ambaye ni Mwenyekiti kwa sababu wakati huu wa kufunga Ramadhan, siyo rahisi kwa mtu kukaa hapa mpaka mwisho. Maji ni uhai. Kama maji ni uhai, tunaomba kuwa serikali za kaunti ziweze kuhakikisha kwamba wakati wananchi wanapopata maji, wasinyanyaswe. Pia mimi naunga mkono mambo yote ambayo yamefanywa hivi leo. view
  • 30 Jun 2015 in National Assembly: Asante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Kwanza ni kuwapongeza Wabunge wa Kamati kwa kazi nzuri ile ambayo wamefanya. Ni kazi ambayo sio nyepesi na wameweza kuifanya wakifuata wananchi kule waliko mashinani ili kuweza kupatiwa habari zile zinazoendelea mashinani. Swala la ardhi hapa nchini ni kidonda sugu ambacho sio rahisi kukitibu. Nataka kuwaunga mkono kwa hii kazi ambayo waliofanya ambayo sio nyepesi. Vile vile, natumaini kuwa wataweza kusaidia Serikali kwa kuitumia Ripoti kama hizi ili Serikali iweze kuhakikisha ya kwamba wataweza kurekebisha matatizo yaliyoko hapa nchini. view
  • 30 Jun 2015 in National Assembly: Kenya hii, wananchi wamekuwa wakipigana na kugombana kwa sababu ya swala hili ambalo limetatiza Wakenya sana. Baada ya Katiba iliyopitishwa mwaka wa 2010, haswa wale ambao walikuwa na matatizo ya kihistoria kama yale maeneo tunayotoka sisi, sasa hivi tutapata afueni kama Kamati ya Bunge ya Ardhi itaendelea na kazi hii ambayo imekuwa ikifanya. Huku nchini kuna watu ambao kazi zao nyingi haswa nikiangalia upande wa Taita Taveta ni kupita wakidanganya wananchi ili kuwakoroga akili na hata ile kazi ambayo inafanyika inakuwa shida sana kuweza kutekelezwa. Hivyo basi, Wabunge, viongozi ambao wamechaguliwa mashinani, wakitekeleza majukumu yao namna hii, tutaweza kuyamaliza matatizo ... view
  • 30 Jun 2015 in National Assembly: Wanakamati wamesema kuwa masoroveya waenda waangalie kama maeneo yale yako kwenye shamba au nje ya shamba. Yakionekana kuwa nje ya shamba, wananchi wagawanyiwe sehemu zao. Kama haitawezekana, ikiwa wako ndani ya shamba, Serikali ijitolee kuhakikisha ya kwamba wananchi wamepatiwa sehemu zile kutoka kwa bwana mwenye shamba ili wakae kwa hali ya kutulia wakijua kuwa wako nyumbani kwao. view
  • 30 Jun 2015 in National Assembly: Vile vile nikitaja maswali ya Taveta, ninataka kutoa shukrani kwa Serikali ya Kenya kwa kutoa ekari 5,000 ili Wakenya wanaoishi Taveta, haswa Wataveta, wapewe maeneo yale. Ni kweli kuwa wananchi pale walitarajia kuwa zile jamii mbili au tatu ambazo zinaishi pale ndio pekee wangepatiwa shamba lile. Lakini tukiangalia, sheria ilifuatwa na tukahakikisha kuwa wote, hata wale ambao walikuwa kwenye vijiji kwenye hilo shamba, wamepatiwa mashamba na haswa wakapatiwa vyeti vya kumiliki ardhi isipokuwa wengi wao walidanganywa hata wakauza mashamba yao kwa sababu waliambiwa kuwa vyeti hivi si vya ukweli. Hiyo yote ni ile propaganda iliyopitishwa pale na wale ambao wameendelea ... view
  • 30 Jun 2015 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker for giving me this opportunity to contribute. I also want to add my voice to what my colleagues have already said. First of all, I want to congratulate the Executive for coming up with this Bill that will enable us establish an authority that will regulate private security. view
  • 30 Jun 2015 in National Assembly: I do not want to repeat many of the issues that have been raised by Hon. Members here but I want to talk about the welfare of private security personnel. If there are workers who have been suffering in this country, they are these private security guards who are usually referred to as askari gongo . A lot of money is usually paid for their services, and yet a very small fraction is given to them. This Authority will regulate and make sure that people are paid what is due to them and commensurate with the services that they offer. view
  • 30 Jun 2015 in National Assembly: I also want to talk about the issue of making sure that the people who do this work are well-equipped, well taken care of and earn their living so that they can live comfortably. Most of The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 30 Jun 2015 in National Assembly: the people who are usually killed when thugs attack are the security guards. This Bill has been long overdue. It should have been brought before this House many years ago to make sure that private security personnel are well taken care of. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus