Naomi Shaban

Parties & Coalitions

Full name

Naomi Namsi Shaban

Born

9th September 1963

Post

P.O. Box 73855 - 00200 Nairobi

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

namsi-ns@yahoo.com

Telephone

0722814412

Telephone

0202215245

All parliamentary appearances

Entries 951 to 960 of 1513.

  • 8 May 2013 in National Assembly: Tume hii ambayo inashughulikia masuala hayo lazima itagongana kidogo na Wizara ya Fedha kwa sababu hawajafanya kazi pamoja. Hii ndio sababu kipengele cha 199 cha Katiba kinasema watu wajadiliane na wazungumze ili wasikosane. Kulitalajiwa kwamba wakati wa kuanzisha masuala haya ni lazima kutakuwa na hali ya wasiwasi. view
  • 8 May 2013 in National Assembly: Mheshimiwa Spika, kazi na majukumu ya Serikali ya Kitaifa yamewekwa katika Fourth Schedule ya Katiba. Pia, kazi na majukumu ya serikali za ugatuzi yameonyeshwa. Inafaa magavana waelewe majukumu yao na yale ya Serikali ya Kitaifa. view
  • 8 May 2013 in National Assembly: Haya ni maswala mapya ambayo yameanza wakati huu. Kwa hivyo, ningependa kuomba Wabunge wa Bunge la Kumi na Moja tukae pamoja, tujadiliane na tuwaruhusu wananchi watuelezee mambo ambayo wanataka tuyatekeleze katika Bunge hili. view
  • 8 May 2013 in National Assembly: Jambo la kusikitisha sana ni kwamba katika serikali ya ugatizu kuna bunge la kauti. Hili bunge linaweza kupatiwa makadirio yao ili kila atakayeangalia ajue kwamba bunge lile lina uhuru na haki ya kufanya shughuli zake bila kusumbuliwa na wale wanaosimamia serikali ya ugatuzi. view
  • 8 May 2013 in National Assembly: Sisi ambao tuko katika upande wa Serikali tungependelea kufanya kazi na wenzetu ambao wako katika upande mwingine. Sisi wote ni Wabunge. Wale walio wengi na wale walio wachache ni wanachama wa Bunge hili la Kumi na Moja. Kuna umuhimu wa sisi kufanya kazi pamoja. Tumechelewa sasa hivi kwa sababu Kamati ambayo ingeangalia masuala haya bado haijaundwa. Ningependa kuwaomba wenzangu tuungane ili tuangalie masuala haya yanayohusu shughuli hizi ambazo zitawezesha si tu Serikali ya Kitaifa bali serikali za ugatuzi kutekeleza majukumu yao bila shida yoyote. Mwanzo huwa mgumu lakini watu wakifanya kazi pamoja inakuwa rahisi. Hii ni kwa sababu hili ni ... view
  • 17 Apr 2013 in National Assembly: Ahsante sana Mhe. Spika. Ningependa kuchukua nafasi hii kukupongeza kwa kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge hili la Kumi na Moja. Vile vile, ninawapongeza wenzangu wote waliochaguliwa kama Wabunge. Hasa ninawapongeza watu wa eneo la Bunge la Taveta kwa kunichagua kuwa Mbunge wao tena. Huu ni muhula wangu wa tatu katika Bunge hili. view

  • 17 Apr 2013 in National Assembly: Ningependa tukumbuke kwamba ni siku ya Jumatano asubuhi ambayo Wabunge hawatakuwa na shughuli zinazotokana na chama na wanaweza kuzungumzia maswala au kufuatia kanuni ambazo zimebuniwa na Bunge hili. Wabunge wa Bunge la Kumi na Moja ni wengi sana na ninaunga mkono Hoja hii kwamba Muda uliotengewa kila Mbunge ni sawa kabisa. Jambo hili linatokana na idadi ya Wabunge ambao wako katika Bunge hili la Kumi na Moja. view

  • 17 Apr 2013 in National Assembly: Ahsante sana, Bw. Spika. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus