Onesmas Kimani Ngunjiri

Parties & Coalitions

Telephone

0725371937

All parliamentary appearances

Entries 101 to 110 of 192.

  • 31 May 2017 in National Assembly: Nashukuru sana Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii. Nasimama kuunga mkono Hoja hii. Nina hakika Wabunge wote tutaunga mkono Hoja hii kwa sababu inapendekeza utaratibu mwafaka. Maji ni uhai. Nina hakika wakati tuliamka asubuhi, hakuna mtu hakutumia maji. Kwa hivyo, maji ni kitu cha muhimu sana. Nakubaliana na wale ambao wamesema kuwa utaratibu wa maji lazima upangwe kwa njia nzuri. Najua tuna maji ya kutosha lakini mikakati ya kuweka maji pamoja sharti iwepo. Sharti wizara mbalimbali ziwekwe pamoja ili zitengeneze utaratibu kuhusu ukusanyaji na matumizi ya maji. Wananchi sharti waelewe kwamba nafasi na maeneo ya kujenga barabara ... view
  • 31 May 2017 in National Assembly: Jambo ambalo liko mbele yetu ni la kuweka mikakati, sheria za kusaidia na kuleta wadau wa pande zote pamoja ili tupitishe mikakati mizuri kuhusu maji ambayo itasaidia Kenya. Hata imechelewa. Hii Hoja ingeletwa kitambo ili itusaidie sisi wote. Tuko na bwawa moja ambalo limetengenezwa juzi na Serikali. Nimesikia kwamba wanataka kutengeneza mabwawa katika kila eneo bunge. Katika eneo bunge la Bahati, tulikuwa na shida ya maji sana. Tuko na mabwawa machache na watu wa Bahati wameanza kusherehekea kwa sababu wataanza kupata maji mazuri. Huko Bahati tuko na mabwawa ambayo yalitengenezwa wakati wa mbeberu karibu miaka sitini iliyopita. Lakini hayo mabwawa ... view
  • 31 May 2017 in National Assembly: Jambo ambalo liko mbele yetu ni la kuweka mikakati, sheria za kusaidia na kuleta wadau wa pande zote pamoja ili tupitishe mikakati mizuri kuhusu maji ambayo itasaidia Kenya. Hata imechelewa. Hii Hoja ingeletwa kitambo ili itusaidie sisi wote. Tuko na bwawa moja ambalo limetengenezwa juzi na Serikali. Nimesikia kwamba wanataka kutengeneza mabwawa katika kila eneo bunge. Katika eneo bunge la Bahati, tulikuwa na shida ya maji sana. Tuko na mabwawa machache na watu wa Bahati wameanza kusherehekea kwa sababu wataanza kupata maji mazuri. Huko Bahati tuko na mabwawa ambayo yalitengenezwa wakati wa mbeberu karibu miaka sitini iliyopita. Lakini hayo mabwawa ... view
  • 31 May 2017 in National Assembly: Ahsante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii. view
  • 31 May 2017 in National Assembly: Ahsante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii. view
  • 9 May 2017 in National Assembly: Nashukuru Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii na pia nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kurudi hapa. Tulikua na muda mzito sana lakini Mwenyezi Mungu ametuwezesha kurudi. Ni jambo nzuri ujiweke kwa Mwenyezi Mungu na tujadiliane vile mambo yalivyo mbele yetu na tusipige kelele. Mtoto anaweza kupiga kelele na hajui kuzungumza na unashindwa anataka nini. Ni peremende, unga ama ni nini anataka? Lazima mtu aanze kuongea ndio tuweze kujua. Hatukukuja hapa kuzungumza mambo ya Rais ama Raila. Tumekuja kuzungumza yale mambo yaliyo mbele yetu. Kuna watu wanasema eti Rais ameshindwa. Si Rais. Hatujaona Upinzani ukileta Mswada wowote ambao unaongea ... view
  • 9 May 2017 in National Assembly: lazima achunge na ajue Mwenyezi Mungu anatujua. Tuzungumze mambo ya ukweli na si mambo ambayo hayatusaidii. view
  • 9 May 2017 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda, mimi sikutaja jina la mtu yeyote lakini kama mtu anajijue, ni haki yake ajijue. Hakuna haja ya kupongeza Serikali wakati ulikuwa upande huu, halafu baada ya mchujo uanze kuongea ubaya wa Serikali. Hivyo ni kukosa msimamo. Mambo yaliyo mbele yetu, tunahitaji kuyaangalia. Sisi ndio tunatengeneza sheria. Kama tunatengeneza sheria, tuwache kupiga kelele. Tuseme yale mambo ambayo tunaweza kutatua. Kama kuna shida ya jambo fulani, tuipendekeze, tuizungumzie na tuone mwelekeo ni upi. Lakini tukifanya mambo ambayo inatuhusu kama Wabunge ni lazima tujue kwamba sheria ya nchi hii haitengenezwi na Uhuru Muigai Kenyatta ama Raila. Ni sisi ... view
  • 9 May 2017 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, haijalishi kama nitaongea mambo ya ukweli kama ninavyoyafahamu. Sisi tumechaguliwa hapa, tumekuja kisiasa. Na tulichaguana kisiasa. Kwa hivyo tukizungumza mambo yale yanayofaa na kuyasuluhisha kisiasa, nafikiri ni kweli. Tuzungumzie suluhisho tunaloweza kupata. Tunahitajika kukaa chini pamoja tuangalie ni jambo gani linalohitaji kurekebishwa kwenye huu Mswada. Tuzungumze ukweli. Kama kuna pahali ambapo kuna shida, ama kama Mswada huu ulipitishwa kwa njia mbaya, niko tayari kulizungumzia jambo hili ili tuone ukweli uko wapi. Sisemi hivyo kwa sababu ya siasa. Ninasema hivyo kwa sababu ya jukumu letu. Sisi tukiwa hapa, kama Wabunge, tunahitaji kuweka tofauti zetu kando na ... view
  • 9 May 2017 in National Assembly: hili. Kazi yetu ni kujadiliana na kulinda haki ya mwananchi, tukitafuta namna ya kumsaidia. Kama mwananchi anaumia, tuzungumze kuhusu jinsi tutakavyomsaidia. Kama bei ya kitu fulani iko juu zaidi, tuizungumzie. Hivyo ndivyo ninavyosema. Sisemi hivyo kwa sababu niko upande ya Jubilee. Mimi niko hapa kuwatetea watu wa Bahati. Kazi yangu nzuri ndiyo iliwafanya watu wa Bahati wanirudishe Bungeni kwa muhula mwingine ili niendelee kuwahudumia. Hii ni kwa sababu mimi huwatetea kwa njia ya haki. Kwa hivyo ninaomba tuendelee na utaratibu wa kuangalia jambo nyeti ni gani. Na hilo jambo nyetu tulizungumzie kwa utaratibu. Lakini tukianza kuingilia mambo mengine--- view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus