Onesmas Kimani Ngunjiri

Parties & Coalitions

Telephone

0725371937

All parliamentary appearances

Entries 121 to 130 of 192.

  • 26 Jan 2017 in National Assembly: Naibu Spika Wa Muda, nashukuru kwa kunipa hii nafasi. Ningependa kuungana na wenzangu kusema napinga Mswada huu kabisa kwa sababu Wabunge wenzangu wanahitaji kuelewa tumechaguliwa na wananchi, kuwasimamia na kuangalia shida zao na masilahi yao. Hatuwezi kuenda kinyume ya wale waliotuchagua, kusema mambo yawe yakifanywa na kutoa nguvu zetu katika Bunge na kupeleka nje ya Bunge. Tutakua tukipigana na wananchi waliotuchagua. Lazima tuwe na msimamo kamili kama Wabunge kuweza kujua yale mambo tunayopitisha hapa ama yale tunaangalia. Tunaangalia mambo ambayo yanapelekana na matakwa ya wananchi na kufikiria tunafanya mambo ambayo yanafaa. Ningependa kuwajulisha kuwa, tunaendelea kutoa nguvu kwetu tukipeleka kwa ... view

  • 26 Jan 2017 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view

  • 26 Jan 2017 in National Assembly: Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, najulikana kwa kusema ukweli. Hata nikiwa pale nipo, huwa na vita vingi sana kwa sababu mimi ni mtu wa kusema ukweli. Mimi si mtu wa kuambiwa nifanye bila kufikiria. Kuna msemo wa Kiswahili husema akili ni nywele na hakuna asiye na nywele zake kwa kichwa. Umefika wakati sisi watu na nywele zetu kusema tuna fikira zetu kufikiria jambo nzuri na jambo mbaya. view

  • 26 Jan 2017 in National Assembly: Kwa hivyo, naipinga na ninasema hata haihitajiki kuizungumzia katika hili Bunge. Kama tungekuwa wengi, nafikiri hili ni jambo ungesema uweke swali tu na tujibu. Kuna mambo muhimu yaliyo mbele yetu; kuna mambo ya njaa, kuna mambo ya ukame. Tunapoteza wakati kama Wabunge ambao tumechaguliwa kwa mambo ambayo hayaongezi; ni ya kuharibu. Kwa hivyo kama ni fikira zangu isipokuwa siwezi kaa kwa kiti chako kwa kuwa tunakuheshimu, kama ningepata nafasi ya kusimama hapo, ningeweka swali la kusema tuutupilie mbali ama tuendelee. Asante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda. view

  • 19 Oct 2016 in National Assembly: Hon. Deputy Speaker, I support the names which have been brought to the Floor of the House. However, seeing the mood of the House, I propose that you call the Mover to respond. I can see the mood. It is like we all together. Although there are some people who are doing politics and they are being seen in the media in their constituencies, I think we are okay. We agree with this. We all agree that it has gone through the right process. We agree with the Chair. They have done a good job. So, it is my humble ... view
  • 19 Oct 2016 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I want to support the Motion because it is very important. I also want to thank Hon. Mwinyi for a job well done. We are touching the lives of the poor person. When we talk about P3 Form, that is where corruption starts. As we handle this issue, we should also remember that, that is where corruption starts. When we say that P3 Forms are being sold in the police stations, I have realized some of those things are even happening in my constituency. Maybe, the police are not selling the P3 Forms, but ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus