7 Mar 2012 in National Assembly:
Mr. Deputy Speaker, Sir, yes, we are doing that and it is very clear in my answer that we are looking into those dimensions. We are trying our best to market whatever is coming out in this area locally. As I said earlier on, we will now also go abroad. We are there to work and I want to say my officers are very productive in their places of work.
view
29 Feb 2012 in National Assembly:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir. Of all the towns in this country, it is only one which is a city, and that is none other than Nairobi.
view
29 Feb 2012 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, yes, it is written somewhere but we have not received charters of these cities.
view
15 Feb 2012 in National Assembly:
Bw. Spika, naomba kujibu.
view
15 Feb 2012 in National Assembly:
Nakubaliana na Mheshimiwa aliyeuliza Swali hili kwamba ile njia “causeway in Winam Gulf” imezoroteka. Imezorota kwa sababu tangu ijengwe ni miaka mingi na wakati ilipojengwa kulikuwa hakuna mambo ya mazingira. Kwa hivyo, ilijengwa tu bila kufikiria mazingira ni nini. Lakini katika mkutano wa Mawaziri wa Africa Mashariki ambao sasa wanasimamia uhifadhi wa Ziwa Victoria, wamekubaliana kwamba lazima njia hiyo itengenezwe tena. Kwa hivyo, tayari kuna mtaalamu ambaye amewekwa ili afanye kazi hiyo. Atatoa makisio ambayo yatapelekwa katika Baraza la Mawaziri wa Afrika Mashariki. Hivyo ni kusema kwamba Mawaziri wa Afrika Mashariki ambao
view
15 Feb 2012 in National Assembly:
Bw. Spika, ukweli wa mambo ni kwamba pesa ambazo tumetumia, Serikali haijatoa mkononi mwake. Serikali imesema kwamba wakati mwanakandarasi anapoendelea na kazi, Serikali pia itatoa ili mradi utekelezwe.
view
15 Feb 2012 in National Assembly:
Bw. Spika, kama alivyosema Eng. Rege, kuna mashirika ambayo sio ya Serikali ambayo yametoa msaada katika mradi huu. Ningependa kusema bila kuona haya kwamba hakuna shirika lisilo la Serikali ambalo limetoa msaada wowote wa pesa. Ikiwa Eng. Rege yuko na wasi wasi tungependelea tujue hayo mashirika yasiyo ya Serikali ambayo yameleta ruzuku hio lakini kulingana na sisi hakuna shirika ambalo limeleta ruzuku yoyote ile.
view
15 Feb 2012 in National Assembly:
Bwana Spika, mpaka wakati huu tunapozungumza, tumetumia Kshs170 milioni katika yale maeneo ya ubunge yanayozungukwa na hizo kwekwe. Kwa hivyo, katika Kshs178 milioni, ni Kshs26 milioni ambazo zimetumiwa kwako. Hizi pesa zimetumiwa aidha kwa kufanya kazi kwa mikono au kwa vifaa. Hivyo ni kusema – kama nilvyojibu Swali hili – kwamba kwekwe zilizobaki pamoja na kutengeza Daraja la Winam Gulf, tumepata mtaalamu, analeta makisio na atafanya kazi hiyo.
view
15 Feb 2012 in National Assembly:
Bw. Spika, ninafikiri nimejibu hilo swali.
view
15 Feb 2012 in National Assembly:
Bw. Spika, ninataka nieleweke kwamba Kshs178 milioni zimetumiwa zote na Kshs26 milioni ni za eneo la Mheshimiwa Rege. Pia, ninataka nieleweke kwamba kazi, kulingana na majadiliano---
view