30 Jul 2015 in National Assembly:
Jambo lingine ningependa kusema ni hili: Ukiangalia Jumuia ya Afrika Mashariki, tangu 1962 hadi 1963 wakati nchi za Afrika Mashariki zilikuwa zinapata uongozi kutoka kwa wakoloni, tumekuwa tukisema ingekuwa vizuri sisi tuwe na eneo moja la kiuchumi. Tutakuwa na ushirikiano katika mambo ya ulinzi kwa sababu sisi ni Waafrika kutoka eneo la Afrika Mashariki na sisi ni kitu kimoja. Imefikia kiwango cha lazima tuanze kufanya kazi pamoja, tuheshimiane na tuangalie maneno ya mipaka yetu ili tusiwe na tashwishi kabisa. Kama kuna shida ambayo inatokea, lazima tuwe na njia ambazo sisi wenyewe tunazungumzia masuala hayo. Lazima tukubaliane kuwa lazima tuyazungumzie, tuwe ...
view
30 Jul 2015 in National Assembly:
Jambo la pili ni kuhakikisha kwamba kila nchi itakuwa imetoa msimamo wake. Hili ni jambo lazima likubalike katika nchi zote ambazo zimehusika. Tukubali Mkataba huu ili kuhakikisha kuwa tumesuluhisha shida iliyoko. Nina uhakika kuwa wakati ambao Rwanda ilikuwa na shida zake, kama tungekuwa na jeshi la dharura, lingekuwa limeenda Rwanda na yale mauaji ambayo yalifanyika yangesimamishwa. Kwa hivyo, ningependa kuwasihi ndugu zangu kuwa tupitishe Hoja hii kwa sababu ni nzuri.
view
30 Jul 2015 in National Assembly:
Kumalizia, ningependa kusema kuwa nilisikia ndugu yangu mmoja akizungumza na kusema kuwa pengine hii Hoja isipitishwe kwa sababu nchi kama Burundi wakati huu ina shida na tuna shida yetu na Uganda kuhusu Migingo. Ningependa kumwambia ndugu yangu Mwenyekiti wa chama changu cha Orange Democratic Movement (ODM) kuwa shida ambayo iliyoko Burundi kama kungekuwa na mkataba kama huu, Rais wa Burundi angefikiria mara mbili kabla yeye kuamua kuwa angependa kupigwe kura ama la. Angekuwa anaangalia sheria vile iko na angekuwa anawauliza marais wengine: “Mnaona aje na nifanye vipi?” Kwa hivyo, mimi naonelea tukiwa na huu Mkataba ni vizuri. Kuhusu eneo la ...
view
30 Jul 2015 in National Assembly:
Kwa hayo mengi, ningependa kusema kuwa mimi naunga mkono Hoja hii. Ni nzuri na itafanya Kenya iendelee kama nchi ambayo ni ya heshima na sheria. Ahsante, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda.
view
17 Jun 2015 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I would like to, first of all, thank the Chairman whom I believe worked under very difficult circumstances, given the fact that when the investigations on this matter started there was a lot of hullaballoo and noise about what was to be done.

Secondly, I would like to say that this Report, as my colleagues have said, deals with some issues to their logical conclusion; but some of the issues which have been raised have not been handled to their logical conclusion. For example, at the beginning of the Report, there are private individuals who have bought this land and paid for it. They are not less than 20. The question that one has to ask himself or herself is; what is going to happen to the people who had already paid, for example Muchanga Limited, to buy this land and had started ...

Point number two is that when the National Land Commission was consulted by the Committee, the Report states that it was unable to access the current land file from the Registry. I would like to persuade the Chairman of this Committee--- I have had a chance to discuss with The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.