5 Aug 2015 in National Assembly:
Tuliambiwa wiki iliyopita kwamba tutakutana nao wiki hii. Lakini wiki hii imepita. Ningependa, ikiwa inawezekana, utoe uamuzi wako kama Naibu Spika, tukutane wiki ijayo ama siku fulani – hata kama ni kesho - ili tujaribu kujadili mambo yanayohusu maswala ya matakwa ya wafanyakazi wetu na wale ambao wanatushughulikia, ili tuje kufanya mambo hapa.
view
5 Aug 2015 in National Assembly:
Jambo lingine ni hili. Sisi kama Wabunge tuna jambo ambalo tungependa Kamati ya Bajeti ituambie ilifanya nini.
view
5 Aug 2015 in National Assembly:
Tuliitisha na kusema tungependa tuwe na kikao maluum cha kamukunji ili watueleze vile walivyofanya mambo yao.
view
5 Aug 2015 in National Assembly:
Ahsante, Naibu Spika.
view
30 Jul 2015 in National Assembly:
On a point of order, Hon. Deputy Speaker.
view
30 Jul 2015 in National Assembly:
Actually, Hon. Deputy Speaker, I have to apologise because I wanted it to be a point of information. I do not know whether Hon. Mbadi will allow me to inform him.
view
30 Jul 2015 in National Assembly:
On a point of information, Hon. Deputy Speaker. I have to apologise because I wanted it to be a point of information and I do not know whether Hon. Mbadi would allow me to inform him.
view
30 Jul 2015 in National Assembly:
On a point of information, Hon. Deputy Speaker. The Chairperson of the Committee on Defence and Foreign Relations has been wonderful not to indulge so much. We are on top of the Migingo issue as a Committee. The Government is also on top of it and I believe the Chairman has been very cautious not to give the details which would pre-empt an eventual conclusion which is soon going to be reached. I would want my Chairman to realize that, sometimes, issues on our neighbours are very sensitive. My chairman has been cautious not to discuss this. However, the Committee ...
view
30 Jul 2015 in National Assembly:
Ahsante, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Kwanza, ningependa kusema kuwa ni heshima kubwa sana kujadili hapa hii Hoja ambayo ni muhimu sana kwa nchi yetu ya Kenya. Ukiangalia, pengine wengine wetu hatujaliangalia hili jambo vilivyo kwa sababu hatujaelewa kuwa mjadala huu uko kwa hii nyumba yetu ya Bunge kwa sababu ya Katiba yetu, ambayo ilisema kuwa jambo lolote ambalo ni la ulinzi ama mkataba wowote ambao Serikali itakuwa imetia sahihi lazima ujadiliwe hapa na viongozi wa wananchi wa Kenya. Ningependa kuunga mkono Hoja hii ya Kamati ya Ulinzi na Mashauri ya Nchi za Kigeni. Mimi ni mmoja wa Kamati hiyo. ...
view
30 Jul 2015 in National Assembly:
Ukiangalia Hoja hii, mkataba huu ukitiwa sahihi, nchi za Africa Mashariki zote zitakuwa zinaungana na kufanya kazi pamoja. Zitapashana habari kuhusu mambo ya ujasusi. Ikiwa kutakuwa na msiba ama shida yoyote - hata kama kutakuwa na ugonjwa kama vile Ebola - nchi zote za Afrika Mashariki zitakuja pamoja na tutaungana na kujaribu kutatua shida hiyo.
view