Ruweida Mohamed Obo

Parties & Coalitions

Born

1978

Telephone

0722222784

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 439.

  • 23 Feb 2023 in National Assembly: (Lamu East, JP) view
  • 23 Feb 2023 in National Assembly: (Lamu East, JP) view
  • 9 Jun 2022 in National Assembly: Hon. Speaker, I beg to lay the following Papers on the Table of the House today, Thursday, 9th June, 2022: The Report of the Select Committee on Regional Integration on its consideration of the Report of the inspection visits of the semi-autonomous institutions/organs of the East African Community. The Report of the East African Legislative Assembly Committee on Regional Affairs and Conflict Resolution on the progress made by the community towards achieving the East African Community consideration. Constitution and the East African Election Observer Mission held on 29th November to 3rd December, 2021, and the Report on the capacity building ... view
  • 9 Jun 2022 in National Assembly: Asante, Mhe. Spika. Mwanzo, nataka nimshukuru Mwenyezi Mungu na watu wa Kaunti ya Lamu kwa kunipatia nafasi hii. Kulikuwa na wengi ambao walikuwa wanatafuta nafasi hii lakini hawakupata. Namshukuru Mwenyezi Mungu na watu wa Lamu sana. view
  • 9 Jun 2022 in National Assembly: Pia, ningependa kukushukuru, Karani wa Bunge la Kitaifa na uongozi wa Bunge hili kwa kutupatia sisi mwongozo mzuri na nafasi ya kusoma. Vile nilivyoingia hapa Bungeni na ninavyotoka saa hii, sio Ruweida yule aliyeingia hapa. Tumesoma mengi. Asante sana. Mungu awabariki. view
  • 9 Jun 2022 in National Assembly: Pia, ningependa kushukuru kamati nyingi ambazo zilikuja Lamu. Kwa mfano Kamati ya Mazingira na Maliasili, Kamati ya Afya na Kamati ya Uwiano na Ushirikiano wa Jumuia ya Afrika Mashariki. Sitashukuru Kamati ya Uchukuzi, Kazi ya Umma na Makazi kwa sababu walinikosea. Maombi yangu hayakwenda vile nilivyotarajia. view
  • 9 Jun 2022 in National Assembly: Mhe. Spika, ningependa kuwashukuru Wabunge wenzangu ambao walitarajia kwamba nikiwa hapa Bungeni, kwa vile mimi ni mwanamke, lazima niwaombe ruhusa ndio nije niulize The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 9 Jun 2022 in National Assembly: swali, niweke ombi hapa ama nitengeneze sheria. Vile walivyofanya hivyo, wamenifanya nimekuwa ngangari zaidi. Nimefanya mengi zaidi. Nawashukuru kwa kufanya hivyo. view
  • 9 Jun 2022 in National Assembly: Ningependa pia nimshukuru Rais wetu kwa kutupatia mkono, kutuwezesha na kufika pale tumefika. Pia, nashukuru kupatiwa nafasi ya kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uwiano na Ushirikiano wa Jumuia ya Afrika Mashariki. Nashukuru sana kwa hilo. Mhe. Spika, nakushukuru. Uliacha shughuli zako na ukakuja mpaka Lamu kunifungulia ile maternity shelter . Nakushukuru kwa hilo. Watu wangu wa Lamu watakukumbuka siku zote. Wazazi wakija pale na wakijifungua, watakukumbuka siku zote. Jina lako liko pale ambapo ulikuja kunifungulia. view
  • 9 Jun 2022 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Spika. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus