Ruweida Mohamed Obo

Parties & Coalitions

Born

1978

Telephone

0722222784

All parliamentary appearances

Entries 431 to 439 of 439.

  • 11 Oct 2017 in National Assembly: Asante, Mhe. Spika wa Muda. Ninakushukuru kwa kunipatia nafasi ya kuchangia Hoja hii. Ni vizuri wale wakulima walipwe kwa wakati mzuri. Pia kule Lamu kuna wakulima wa ufuta. Wakulima hao waliambiwa watapewa fidia ili ile ardhi itumike kwa mradi wa coal . Sasa ni miaka na wakulima hao hawawezi kulima na hawajalipwa. view
  • 11 Oct 2017 in National Assembly: Pia katika huo mradi kwa sasa, watu walisikia kuna malipo. Pengine mtu amekuwa pale kwa miaka mingi na ana ardhi eka kumi. Saa hii katika fidia anaona kuwa ana eka moja. Viongozi waliweka watu wao ili walipwe. Hao wakulima pia waangaliwe. Kuna watu tumeenda kuwashuhudia ambao wanalia. Walikuwa na eka kumi na sasa wako na eka moja. Katika hiyo fidia, watalipwa hivyo kwa sababu wao ni wanyonge na maskini. Wengine ndio wamejipatia hayo majina kuwekwa hapo. Pia kuna wakulima wa Hindi Ward ambao wamekuwa na vita. Kuna wafugaji wanapeleka mifugo kwa mashamba yao na wao wanataka watoke. Wale wafugaji wengine ... view
  • 11 Oct 2017 in National Assembly: Mabepari wamechukua shamba mpaka sasa wale wafugaji hawana nafasi ama sehemu The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 11 Oct 2017 in National Assembly: za kulisha mifugo wao. Wakulima nao wamekuwa sasa ni matatizo. Wakilima wafugaji wanaingia. Imekuwa vita baina ya wafugaji na wakulima. view
  • 11 Oct 2017 in National Assembly: Pia kuna wakulima wa watermelon Mpeketoni. Saa zingine zinakuwa nyingi. Naomba pia wakulima hao waangaliwe kwa sababu huwa kilimo ni hasara. Saa zingine hawapati hata kulipa ile deni yao kwa sababu zinakuwa nyingi mpaka hazina soko. Lamu kuna matatizo sana. Katika mambo ya ukulima siwezi kosa kutaja mambo ya ardhi. Tatizo kubwa Lamu ni ardhi. Wakulima wanalima na pengine hawana hati za kumiliki ardhi. Najua tumepitisha hii mikakati ya maswala ya ardhi . Serikali ingilie wapimiwe mashamba ndio wale land grabbers ambao wanachukua ranches wasipate hiyo nafasi maana kuna watu wameishi Lamu kwa miaka mingi kwa vile ni wanyonge. Mara ... view
  • 11 Oct 2017 in National Assembly: Pia kuna tatizo la kutokuwa na usalama ambalo linaletwa na wafugaji. Tatizo kubwa lililoko Lamu ni la ukosefu wa usalama ambalo limeletwa na Al Shabaab . Tulitoa suluhisho kwa kusema misitu iliyoko kando ya barabara ikatwe kwa kimo cha kilomita moja kila upande ndiyo wahalifu wakivamia watu waweze kuonekana virahisi. view
  • 11 Oct 2017 in National Assembly: Nitakomea hapa niwapatie wenzangu nafasi lakini nasisitiza ardhi ya Lamu ipimiwe na wanyakuzi wa ardhi wachunguzwe. Wameanza kutuchapa. Ukiwataja tu kidogo, unahatarisha maisha yako. Kwa hivyo wanyakuzi wa ardhi waangaliwe sana maana tunahatarisha mpaka vizazi vijavyo. Hatujui watapata ardhi wapi. Asanteni. view
  • 28 Sep 2017 in National Assembly: Hon. Speaker, pursuant to Standing Order No.43, I wish to make a Statement regarding the tragic demise of the late Architect Maryam El Maawy on Wednesday, The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 28 Sep 2017 in National Assembly: 27th September 2017, while undergoing specialised treatment in South Africa following an AlShabaab attack on 13th July 2017. The late Ms. Maryam El Maawy was born on 29th October 1967. At the time of her death, she was the Principal Secretary (PS) in the State Department for Public Works in the Ministry of Transport and Infrastructure. Prior to this, she also served in the Ministry of Lands in the same capacity. Before joining the Government, the late PS served in the public service in various capacities for several years in various commissions and statutory bodies. She held Master’s and Bachelor’s ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus