Ruweida Mohamed Obo

Parties & Coalitions

Born

1978

Telephone

0722222784

All parliamentary appearances

Entries 11 to 20 of 439.

  • 8 Jun 2022 in National Assembly: Hon. Speaker, I beg to lay the following Paper on the Table of the House: The Exit Report of the Select Committee on the Regional Integration for the 12th Parliament (2017-2022). view
  • 8 Jun 2022 in National Assembly: Ahsante Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi kuchangia Ripoti hii ya maelewano baina ya nchi hizi mbili. Mwanzo, ikitajwa mambo ya Kenya Defence Forces, imenigusa sana na nikasema na mimi nichangie. Kusema kweli, sisi watu tunaokaa katika maeneo ya misheni za oparesheni tunajua kazi yao wanayoifanya. KDF wanafanya kazi nzuri sana Lamu, haswa askari jeshi wa maji. Kwa sababu tuna ardhi na maji tunajua mambo wanayopitia na kazi wanayofanya. Maelewano haya baina ya nchi hizi mbili yamekuwa yako kulingana na Ripoti. Ni vile tu tunataka yaendelee kuweko. Yale mazuri yalikuwa yakipatikana yazidi kupatikana. Jeshi letu likiwa na maelewano ... view
  • 7 Jun 2022 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I support. view
  • 31 May 2022 in National Assembly: Ahsante, Bwana Spika. Moja kwa moja naunga mkono Ripoti hii. Nimependezwa zaidi kwa maoni ya kubuniwa kwa Kamati ya Maombi view
  • 31 May 2022 in National Assembly: Tumekuwa tukiweka malalamishi mengi kwa sababu tunatoka maeneo yaliyo na shida nyingi. Kuna maombi yaliyoendelea hadi mwisho, na pia kuna yale ambayo hayakufika mwisho. Kamati hii ikibuniwa, itatusaidia sana. Tunapoenda kuwasilisha ombi, saa zingine, tunaelezwa tuliwasilishe kwa Kamati nyingine, hata baada ya kuwasilisha hilo ombi. Pia, hizi Kamati zinaingiliana. Kwa mfano, ukiwasilisha ombi kwenye Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Uchukuzi, unaambiwa Kamati husika ni Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi. Kwa hivyo, hii PetitionsCommittee itatusaidia sana ili tuweze kuleta maombi ya kutetea watu wetu kwenye Bunge. Pia, nimependezwa zaidi na Kamati ya National Government Constituency Development view
  • 31 May 2022 in National Assembly: kupewa nguvu ili iweze kuangalia zile pesa kwa makini na kina, ili ifanye kazi ya Wabunge ya uangalizi. Inasikitisha kuwa kuna maeneo yaliyotengwa kupewa fedha sawa na maeneo yaliyoendelea. Sababu ilikuwa kuwainua kimaendeleo wawe sawa na yale maeneo bunge yaliyo mbele kimaendeleo, kama barabara na vinginevyo. Inasikitisha kuwa kuna sehemu ambazo mpaka sasa bado zinajiita “jamii zilizotengwa”, ilhali pesa zinazopeanwa ni nyingi na inafaa ziwainue ziwalete hapo. Tutatengwa siku ngapi na tumepewa pesa na hatufikii wenzetu walipo? Hii itatusaidia sana. Kwa mfano, pesa ya NG-CDF zinasomesha kupitia kwa ufadhili. Katika Eneo Bunge la Lamu Mashariki, fedha za ufadhili ni zaidi ... view
  • 31 May 2022 in National Assembly: na vinginevyo. Hili silo kweli kwa sababu sisi tunaofanya siasa, tunazunguka maeneo yote. Hili linafaa liwape wakaguzi nguvu ili nao wafike mpaka Kiunga. Hii ni maana kwamba kuna sehemu unaambiwa kuna miradi na ilhali hakuna, na mkaguzi hawezi kufika pale. Ndio maana tunaendelea kutengwa siku zote. Kila tukikaa tukisema hayo maeneo hatutafanya maendeleo, ndio inakuwa maeneo ya uhalifu. Lamu Mashariki isipokuwa na barabara, kwa mfano, na barabara ziwe Lamu Magharibi pekee, ule msitu unakuwa nyumba ya wahalifu. Uhalifu unaongezeka kutokana na ukosefu wa maendeleo, kwa maana tukipata shida Lamu, tumepata shida Kenya. The electronic version of the Official Hansard Report ... view
  • 31 May 2022 in National Assembly: Nimependezwa na hii Ripoti na kwa mapenzi ya Mungu, wananchi wa Lamu watakapoona wanichague tena nije hapa niwatetee tena, In shaa Allah, tutaweza kuendeleza hii Ripoti. Ahsante. view
  • 12 Apr 2022 in National Assembly: Asante, Mheshimiwa Spika. Naunga wenzangu mkono, lakini sitakupa pongezi. Tuna masikitiko. Mheshimiwa Spika ni muungwana. Alikuja Lamu kutufungulia maternity shelter, lakini mtu yeyote aliye mbali na Rais Uhuru Kenyatta atanisamehea. Uhuru ni Rais. Uhuru ni Rais. Uhuru ni President. Mumpe heshima yake. Mumpe heshima yake. Msiniletee. Ni Rais wenu na mtamtambua. Akitoka mtajua kama alifanya au hakufanya. view
  • 12 Apr 2022 in National Assembly: Uhuru is in Kenya to stay . Aende wapi? Wafisadi waende. Msituletee. We will not be intimidated . Aende wapi, Uhuru? Atabaki hapa hapa na mtamtambua. Mtatambua kazi nzuri ambayo amefanya akimaliza muda wake. Aende wapi? view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus