Ruweida Mohamed Obo

Parties & Coalitions

Born

1978

Telephone

0722222784

All parliamentary appearances

Entries 21 to 30 of 439.

  • 30 Mar 2022 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. Nami naunga mkono Mswada huu. Nampongeza Mhe. Osotsi. Nilikuwa nakimbia nipate maelezo zaidi, lakini naunga mkono. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 30 Mar 2022 in National Assembly: Tukiunda hizi sheria, tufikirie kuna sehemu zingine hapa Kenya ambazo mpaka sasa hazina hata Wi-Fi . Tukizungumzia kuhusu kufungua Kenya kwa dunia nzima, tufikirie zile shule ambazo bado zinatumia tarakilishi, lakini hazina network ama hata Wi-fi . Nyinyi wataalamu katika sekta ya ICT na Kamati wachukue nafasi kuzingatia hayo. Wengine wamepelekwa mbele zaidi na pengo litakuwa kubwa sana. Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. view
  • 29 Dec 2021 in National Assembly: Hasira ya mkizi, tijara ya mvuvi. I vote “Yes”. view
  • 29 Dec 2021 in National Assembly: Hon. Kutuny you have voted. You cannot take the microphone twice. Hon. Nancy, please, take your vote. view
  • 29 Dec 2021 in National Assembly: Hasira ya mkizi, tijara kwa mvuvi. I vote “Yes”. view
  • 29 Dec 2021 in National Assembly: Hon. Kutuny you have voted. You cannot take the microphone twice. Hon. Nancy, please, take your vote. view
  • 1 Dec 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker, for giving me this opportunity. I beg to ask the Cabinet Secretary for Tourism and Wildlife the following Question: (i) Could the Cabinet Secretary provide a status report on incidences of invasion by wildlife in Shelah area in Lamu County? (ii) What steps is the Ministry taking to protect the residents from the recent invasions by hippopotamus and lions? Thank you, Hon. Speaker. view
  • 24 Nov 2021 in National Assembly: (Lamu CWR, JP) : Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Naunga mkono Mswada huu unaohusika na utafiti. Utafiti unafaa kuwa na sheria na taasisi husika zinafaa kupewa fedha za kutosha ili wafanye utafiti. view
  • 24 Nov 2021 in National Assembly: Inasikitisha kuwa taasisi tulizonazo zinategemea wafadhili. Nimefurahi kuwe na sheria hii na pia Bunge hili kupitia kwa kamati ihakikishe kuwa tumewapatia pesa za kutosha maanake utafiti ni ghali na tukitengeneza sheria na tusiwape pesa za kufanya utafiti, itakuwa kazi bure. view
  • 24 Nov 2021 in National Assembly: Kuna vitu maeneo yetu ambazo zinatushangaza hatujui ziko hivyo kwa nini. Tunajiuliza maswali. Ikiwa utafiti utapewa nguvu, pengine sisi tunaweza kua tumekalia mali au utajiri fulani. Kule kwetu, kuna kijiji kinaitwa Mtangawanda ambapo kuna mchanga baharini ambao huwezi The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus