Ruweida Mohamed Obo

Parties & Coalitions

Born

1978

Telephone

0722222784

All parliamentary appearances

Entries 31 to 40 of 439.

  • 24 Nov 2021 in National Assembly: kuuona pahali pengine. Ni mchanga mweusi na unanga’ra sana. Lakini hizi taasisi zetu hazina nguvu hizo za kufika sehemu hiyo na kuangalia kiini cha jambo hilo. Hata kijiji hicho kimeitwa Mtangawanda kwa sababu ya huo mchanga mweusi. Inaweza kuwa mchanga huo ni madini au vitu muhimu ambazo ziko hapo na labda zingeinua sehemu hiyo. Mhe. Naibu Spika wa Muda, kuna watu wengine wanatuchekesha sana. Wanasema toroli au wheelbarrow ni utafiti. Ni utafiti aje? Nyanyangu ametumia wheelbarrow. Nyanyake nyanyangu, alitumia wheelbarrow. Ni kitu gani kipya kiko hapo ? Utafiti unafaa ufanywe na kama ni kutengeza toroli, ziwe ni za kimbinu za ... view
  • 24 Nov 2021 in National Assembly: No, Mhe, Spika Naibu wa Muda. view
  • 24 Nov 2021 in National Assembly: (Lamu CWR, JP) : Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Mhe. amejichanganya mwenyewe. Amesema wanataka kufanya. Wangojee wakati huo ukifika watuonyeshe hii ndiyo toroli au wheelbarrow ya kisasa. Lakini hizi tunazozitumia ni zile zile za mtaani tunazozijua. view
  • 24 Nov 2021 in National Assembly: Tumesoma kupitia COVID-19 na tumeanza kutengeneza barakoa ambazo hatukuwa tunatengeza. Kwa hivyo, hizi taasisi zikipatiwa hizi sheria na pesa zitafute mbinu zile, watahakikisha vitu vingi vimetengezwe Kenya. Tunajua wana kipawa. Watoto wetu ni wasomi. Kwa hivyo, Kenya iwe sawa na nchi zingine. view
  • 24 Nov 2021 in National Assembly: Asante, Mhe Naibu Spika wa muda. view
  • 16 Nov 2021 in National Assembly: Hon. Speaker, I am not retired. view
  • 16 Nov 2021 in National Assembly: I am not tired. Whenever I want to fly, I will just renew my license. view
  • 16 Nov 2021 in National Assembly: Yes, Hon. Speaker. view
  • 16 Nov 2021 in National Assembly: Hon. Speaker, I am an active pilot and representing my people and thank you for giving me this opportunity. Hon. Speaker, I beg to ask the Cabinet Secretary for Information, Communication and Technology, Innovation and Youth Affairs the following Question: (i) Could the Cabinet Secretary explain measures that the Ministry has put in place to improve mobile telephony network and coverage at Siu, Kizingitini and Shanga areas in Lamu County to aid in service delivery and communication for the residents and other mobile users in the said areas? (ii) Could the Cabinet Secretary further explain measures the Ministry has put ... view
  • 16 Nov 2021 in National Assembly: Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Napinga kabisa. Haki za akina mama au za wanawake zitakaliwa iwapo hizi tume zitachanganywa. Kuna tume nyingi Kenya, kwa nini iwe ni Tume ya Taifa ya Jinsia na Usawa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus