Ruweida Mohamed Obo

Parties & Coalitions

Born

1978

Telephone

0722222784

All parliamentary appearances

Entries 311 to 320 of 439.

  • 5 Mar 2019 in National Assembly: (c)What measures is the Government undertaking to compensate all NPR who offered services in Lamu County? view
  • 27 Feb 2019 in National Assembly: Hon. Speaker, I beg to give notice of the following Motion: THAT, aware that the prevalence of diabetes in the country has been on the increase with approximately 458,900 cases reported in Kenya according to the International Diabetes Federation Report of 2017, representing 2 per cent of the total adult population; deeply concerned that many people with diabetes continue to lose their lives each year due to lack of awareness of the disease, inability to afford management of the condition and the expensive medication; noting that people living with diabetes can live longer and lead comfortable life if they receive ... view

  • 27 Feb 2019 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. view

  • 21 Feb 2019 in National Assembly: Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nataka kuunga mkono. Tukiunga Hoja hii mkono, itatusaidia pakubwa. Tunajua mambo ya usalama vile iko na vile Wakenya wameathirika. Hapa hatuna haja ya kubahatisha. Ni muhimu tuunge mkono Hoja hii. Hili jambo litatupatia hakikisho ya usalama wetu na bidhaa zinazopita Kenya kwenda nchi zetu jirani. view

  • 21 Feb 2019 in National Assembly: Pia, itafanya kazi iwe rahisi kwa wale maofisa na hata wale wenye mizigo. Wakitaka kujua mizigo yao iko wapi, itakuwa ni rahisi kujua iko mahali fulani. Itasaidia pia kwa kupunguza muda wa usafiri. Itakuwa mambo ni haraka na rahisi. Siku hizi ni lazima tung’ang’ane na wakati. Kwa hivyo, biashara itachukua muda mdogo ambao utaleta biashara nyingi zaidi. Hoja hii italeta uwiano baina ya nchi hizi zetu za Afrika Mashariki. view

  • 21 Feb 2019 in National Assembly: Naunga mkono sana Hoja hii. Naomba Waheshimiwa waiunge mkono. Asante. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus