16 Apr 2015 in National Assembly:
Thank you, hon. Temporary Deputy Speaker---
view
16 Apr 2015 in National Assembly:
Thank you, hon. Temporary Deputy Speaker. I am in some sort of quandary on how to deal with this particular report after the proposed amendment. I had prepared myself to support the report as it was originally moved but due to the effect of the proposed amendment, I have no alternative but to oppose this report as amended. The reason is that the intention of privatisation is to remove the Government from commercial activities but once we say that the main asset of the companies be given to the community to become shareholders, we have returned the same problem that ...
view
16 Apr 2015 in National Assembly:
the report as amended is obviously not right. While the second bit on consultation is okay but if we are going to read this report as it is, it has challenges. It is removing the privatisation bit of it and simply saying “hand over these assets to the locals”. I have no problem with that if that is the intention but it is no longer privatisation. At the end of the day, what are we going to do? We are going to return these factories to decades of mismanagement and embezzlement because we are going to appoint committees to run ...
view
2 Apr 2015 in National Assembly:
Thank you, Temporary Deputy Chairman. I also oppose this particular amendment. It is very well to suggest that we are giving the Attorney-General independence but when you give them a black cheque to say we need this money and we must be given that money, it means that the other requirements and needs of other arms of Government are not as important as this. This is obviously wrong and we must oppose it.
view
31 Mar 2015 in National Assembly:
Nakushukuru, mhe. Spika kwa kunipatina nafasi hii. Namshukuru Rais kwa Hotuba aliyotoa hapa Alhamisi, wiki jana. Kwanza, nina furaha kusema kwamba nimekuwa mashinani leo. Wananchi wamefurahi kwa sababu ya stima iliyowafikia wakati huu ambapo Serikali inalenga shule za msingi. Tunatarajia kwamba, kama vile Rais alivyoahidi, zile shule ambazo hazijafikiwa zitafikiwa kufikia mwisho wa mwaka huu wa kifedha; yaani mwezi wa sita. Mhe. Spika, pia tunaishukuru Serikali kwa kuanza kugharamia malipo ya mitihani katika shule zetu za umma. Kwa niaba ya wananchi, na haswa wakazi wa Kipipiri, tunashukuru kwa hilo. Pia, watu ambao wamefurushwa kutoka sehemu zao na sasa wanaishi na ...
view
25 Mar 2015 in National Assembly:
Asante sana Naibu Spika was Bunge. Nasimama kuunga mkono Hoja hii na kumpongeza mhe. Njenga kwa kuileta Hoja hii. Hii ni Hoja nzuri. Ni vizuri tuondoe vyombo ambavyo vinatumika kuweka pombe ili watoto wetu na watu wengine wasifikiwe navyo. Inafaa tuchunguze kama tumeipa halmashauri ya NACADA pesa za kutosha za kutekeleza majukumu yake. Aidha, sharti tuchunguze sheria ya pombe humu nchini ili tujue kama tunatastahili kuibadilisha. Muhimu ni kuhakikisha kwamba majukumu ya NACADA ya kushughulikia zile shida zinazotokana na ulevi wa pombe na madawa mengine, yametimizwa. Juzi wakati tulikutana na mwenyekiti wa hiyo halmashauri, alilia akisema kwamba bajeti yake ni ...
view
25 Mar 2015 in National Assembly:
Hoja hii pekee isisaidie.Ni muhimu tubadilishe sheria kwa kuweka hatua za kinidhamu na kuhakikisha kuwa watu wametii sheria hiyo. Ni kweli kuwa NACADA haijaweza kufikia kila sehemu ya nchi. Kwa hivyo, mambo ya ulevi na upikaji wa pombe haramu bado unaendelea. Watu wengi siku hizi wanaokota chupa za kuweka pombe. Wanaweka chochote ambacho wanataka hata kama ni chang’aa ambayo imepikwa kando ya mto katika njia chafu. Wengine wao huongeza kemikali kwenye pombe hiyo. Wateja hudanganywa kuwa wanachonunua ni pombe ambayo wamezoea. Kule River Road na eneo la Gikomba kunazo nyumba ambazo hutumika kuweke kemikali katika chupa za pombe. Nakubaliana na ...
view
25 Mar 2015 in National Assembly:
On a point of order, hon. Speaker.
view
25 Mar 2015 in National Assembly:
Thank you, hon. Speaker. I have had a look at this Bill. It is a fairly small document. The areas that we are supposed to cover are not extensive. Under Standing Order 97, I suggest that we limit the time of contributions to five minutes.
view
18 Mar 2015 in National Assembly:
Ahsante, Mhe. Spika. Nilipokuwa nikija Bunge siku ya leo, nilikuwa nimejitayarisha kuipinga Hoja hii kwa sababu hivi majuzi, tuliletewa majina ya watu ili tuyakubali au tuyakatae, lakini tuliyakubali. Hayo yalikuwa majina ya walioteuliwa katika Tume ya Huduma ya Walimu. Siku ya leo, nilipoangalia Ripoti ambayo Kamati imetuletea, niliona kuwa Serikali imeleta jina la mtu ambaye amestaafu. Sisi wenyewe na hata Rais wetu na Naibu wake, tumekuwa tukiongea juu ya ukosefu wa kazi katika nchi hii. Zaidi ya asilimia 70 ya wale ambao wamekosa kazi ni vijana wetu. Kila wakati tunapoletewa majina ya watu ambao wamepatiwa kazi, ni watu ambao wamestaafu ...
view