27 Sep 2023 in National Assembly:
Census in as far as regional distribution was concerned. Is he purporting that according to the 2019 Census, two communities constitute 70 per cent of this country?
view
27 Sep 2023 in National Assembly:
The Constitution is very clear in as far as regional and affirmative action on marginalised groups, people living with disabilities and minorities is concerned. I want him to be very clear because I can challenge this list. If he tabled the list of recruits from Laikipia North Constituency, for example, I could swear that you will not find even one person from the Ndorobo and Yaaku communities, or one person living with disabilities.
view
27 Sep 2023 in National Assembly:
The Constitution is very clear in as far as regional and affirmative action on marginalised groups, people living with disabilities and minorities is concerned. I want him to be very clear because I can challenge this list. If he tabled the list of recruits from Laikipia North Constituency, for example, I could swear that you will not find even one person from the Ndorobo and Yaaku communities, or one person living with disabilities.
view
27 Sep 2023 in National Assembly:
Finally, he claims that 70 per cent of the KRA recruits went to Eldoret for paramilitary training. Are they training to be a tribal militia? Are they training to come and box, strangle, kick and kill traders and squeeze taxes out of them? What exactly are they doing?
view
27 Sep 2023 in National Assembly:
Finally, he claims that 70 per cent of the KRA recruits went to Eldoret for paramilitary training. Are they training to be a tribal militia? Are they training to come and box, strangle, kick and kill traders and squeeze taxes out of them? What exactly are they doing?
view
16 Aug 2023 in National Assembly:
Shukran Mhe. Spika. Ningependa kumpongeza Rais wa Nchi tukufu ya Kenya pamoja na Kinara wa Azimio, Mhe Raila Odinga. Kitabu cha Mtakatifu Mathayo Sura ya Tano, Ukurasa wa Tisa inasema kuwa “Heri wapatanishi maana wataitwa wana wa Mungu.” Tungekuwa shuleni na uambiwe ukanushe sentesi niliyoisema, itasema kuwa wamelaaniwa waleta vurugu maana wataitwa wana wa shetani. Mazungumzo yanayoendelea kwa sasa ama yanayoenda kuanza ni jambo nzuri sana katika nchi ya Kenya. Ni aibu kuwa tunafanya haya baada ya kuzua vurugu, kupoteza maisha ya watoto wa Kenya, na kuharibu mali ya Wakenya. Sote tulienda katika uchaguzi, na kuna wale pia sisi tuliwashinda. ...
view
16 Aug 2023 in National Assembly:
mshindi angalikuwa ni mmoja tu. Tusije pia tukafanya mazungumzo haya iwe ni njia ya kutumia mlango wa nyuma kujitafutia ukubwa na mambo mengine. Nikimalizia, nimetazama orodha ya wale ambao wanaenda kufanya mazungumzo hayo. Hapa Kenya kuna watu tofauti; wafugaji, wakulima, wavuvi na wakusanyaji. Nikiangalia orodha hiyo, hamna mfugaji, mkusanyaji ama mwindaji. Ninaona Mhe. Ichung’wah hajui wakusanyaji na wawindaji ni hunters and gatherers . Hawa ni Wandorobo ambao mimi ni mmoja wao. Kwa hivyo, ninaunga Hoja hii mkono, lakini niko na tashwishi…
view
27 Jul 2023 in National Assembly:
Shukrani, Mhe. Spika wa Muda. Kama Mbunge wa Laikipia Kaskazini, ninapenda kumshukuru Mhe. Rozaah na pia kumpa pole zangu, pole za akina mama wote na wazazi ambao wamepoteza watoto. Ninapenda kuongea kama mama. Waswahili husema mkuki kwa nguruwe ni mtamu na ni mchungu kwa binadamu. Lengo la Mhe. Rozaah kuwasilisha Hoja hii ni ili tujadiliane na tupate njia kabambe ya kuweza kutatua shida iliyo mbele yetu. Tuseme ukweli. Unajua uhuni haukubaliki iwapo unatoka kwa polisi ama raia. Kila mara tunakashifu polisi na tunasahau kwamba hawajatolewa nje ya nchi hii. Ni sisi tuliwazaa. Kuna shida kubwa sana Kenya tunapozungumza sasa hivi. ...
view
27 Jul 2023 in National Assembly:
Nimesema hivi kwa sababu mimi ni Mwanachama wa Chama cha Jubilee. Sitaki kujua ni nani atakasirika ama atafurahi nikiongea. Nilitazama matukio ya maandamano kwenye runinga na nikajiuliza swali. Mimi nimewahi panga maandamano katika Eneo Bunge la Laikipia Kaskazini nikilalamikia matatizo yaliyokuwa yanawakumba wakazi katika eneo Bunge langu. Kila wakati niliwacha shuhuli za Bunge na nikaongoza hayo maandamano. Siku The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
27 Jul 2023 in National Assembly:
moja nilipewa kichapo cha mbwa na polisi. Kwa hivyo, inastahili sisi kama Wabunge na Kamati ya Utawala na Usalama wa Taifa tuchunguze ili tujue haswa polisi na waandamanaji walifanya makosa gani. Tusianze kuzungumza kufurahisha nafsi zetu na kusahau kwamba iwapo Kenya itachomeka hamna nchi ingine mtaita nchi. Kenya ikichomeka, Kenya kwanza na Azimio zitachomeka. Mhe. Spika wa Muda, ningetaka kuwarai ndugu zetu. Tuliweza kuweka mfano mzuri wa kuigwa katika kanda ya Afrika na dunia nzima wakati tulipopiga kura. Ijapokuwa kiongozi wa Azimio hakukubaliana na uamuzi wa majaji, aliyaheshimu. Unajua kuna kukubaliana na kuheshimu. Hakukubaliana na uamuzi huo lakini aliuheshimu. Tuliweka ...
view