Shakila Abdalla

Born

1961

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Telephone

0721382856

All parliamentary appearances

Entries 31 to 40 of 369.

  • 15 Nov 2023 in Senate: Asante Bw. Spika wa Muda. Tunaambiwa kuwa hatuongei kwa hili Bunge lakini ni nafasi tunanyimwa. Nashukuru kwa kupata nafasi hii ya dakika tatu kupitia kwa Majority Whip. Nitaanza na kuzungumza kuhusu mafanikio ya Hotuba ya Rais. Mafanikio haya ni kama vile kwenye kilimo, bei ya mbolea imepungua kutoka Kshs6,500 mpaka Kshs2,500 na kuongezeka kwa mapato ya kilimo kwa ekari 200,000. Pia kufufua sekta ya sukari ya umma. Nampongeza sana kwa hayo. Kwa upande wa uvuvi alisema kuwa ataanzisha vituo ishirini na mbili za tovuti za kutua katika mikoa ya Pwani na Nyanza. Tunampongeza kwa hili. Lakini pia, kuna changamoto ambazo ... view

  • 15 Nov 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view

  • 15 Nov 2023 in Senate: elimu bora na ya nafuu. Hayo ni maswala ambayo Rais angefaa ayaongelee na tuone kwamba amepeana suluhisho la kudumu kwa wazazi ili kupambana na elimu ya juu. Bw. Spika wa Muda, jambo lingine ni bei ya petroli na mafuta. Ameacha pengo kubwa sana kwa kukosa kuguzia petroli na mafuta. Hii ni kwa sababu kupanda kwa bei ya petroli na mafuta inaleta ongezeko kubwa sana kwa bei ya usafiri na chakula, hususan chakula ambacho kinatoka kwa viwanda. Kilimo cha umwagililaji wa maji pia kinatumia mafuta na hii inafanya bei kuongezeka. Tegemeo kubwa la mashini ya kilimo inategemea petroli. Hiyo pia ni ... view

  • 19 Oct 2023 in Senate: Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. I rise pursuant to Standing Order No.53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on Roads, Transport and Housing regarding the upgrade of Lamu Airport. In the Statement, the Committee should- (1) Outline steps taken by the Government to address the perennial problem of intermediate power supply in Lamu Airport; (2) State when the Airport will be connected to the national grid given that it currently uses solar energy; (3) Provide a status update on the fulfilment of the Government's commitment made by the then Principal Secretary for the State Department for Transport ... view
  • 31 Aug 2023 in Senate: Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir for giving me this opportunity to contribute to this Bill. This Bill is crucial and important. We are aware that climate change is real. This is the long-term shift of temperatures, where an increase in rainfall leads to floods and a decrease somehow leads to droughts. We know the causes of this climate change. It is because of cutting trees and over construction, which has become the real thing now. All trees are going down and we are putting up big buildings. We also have forest fires. All these are causes of the climate ... view
  • 31 Aug 2023 in Senate: Therefore, as much as we pass this Bill, the Government also needs to be aware and reduce, and avoid all projects that destroy our environment. Climate change is real and the people of Kenya need to be educated on the importance of maintaining our environment. In Europe, you are fined for littering the road. Those people manage and take care of their environment. However, you realise that in our country, people do not care and they litter all over. That is one way that contributes to these droughts and all sorts of diseases. Therefore, we need to take this opportunity. ... view
  • 29 Aug 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii kuchangia huu Hoja. Naunga mkono Hoja hii na nawapongeza viongozi kwa kukubaliana kukaa chini kuleta amani ili nchi ipone. Mazungumzo ni muhimu sana lakini yanaweza kuharibiwa na wale ambao wako nje wanaochochea. Tunaomba, hususan sisi viongozi, tuache uchochezi. Tuache Kamati iliyochaguliwa ifanye kazi, ilete ripoti yao ili tuijadili na nchi ipone. Tukianza uchochezi kabla hata mazungumzo kuanza, sioni kama tutafika kokote na mazungumzo haya. Tumeongea sana juu ya vitu kuharibiwa, watu kuuliwa. Ukweli ni kwamba wanaoenda maandamano hawana silaha. Polisi ndio wako na silaha. Wale polisi ambao walisababisha vifo wachukuliwe hatua na waliyouliwa ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus