20 Mar 2024 in Senate:
Ni Kiswahili tu, Bw. Naibu Spika.
view
20 Mar 2024 in Senate:
Ni Kiswahili tu, Bw. Naibu Spika.
view
14 Feb 2024 in Senate:
Asante Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii nami pia nichangie katika mjadala huu muhimu wa akina mama. Kwanza, ningependa kuchukua fursa hii nimushukuru Sen. Munyi Mundigi leo kwa kumbuka wamama ikiwa ni Valentine Day . Ijapokuwa sisi Waislamu hatusherekei
view
14 Feb 2024 in Senate:
, lakini, tunaseme anayekukumbuka ni binadamu. Kwa hivyo, tunasema asante kwa Sen. Munyi Mundigi. Pia, ningependa kusema ni kwamba hakuna mwanamke ama binadamu anayestahili kufa kwa sababu ya mapenzi. Kifo kimepangiwa muda wake na sababu zake. Lakini sababu ya mapenzi haistahili mtu kupoteza maisha yake. Bw. Spika wa Muda, mwanamke ama binadamu yeyote anayepoteza maisha, kitu cha muhimu ni haki ipatikane kwa kufuata sheria. Bw. Spika wa Muda, katika nchi yetu ya Kenya hatuna shida ya sheria. Sheria za Kenya ziko nyingi sana ambazo kwamba zinampatia kila mtu haki kikamilifu. Shida ni kwamba utekelezaji wa sheria ndio changamoto kubwa katika ...
view
23 Nov 2023 in Senate:
Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir. I rise pursuant to Standing Order No.53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on Finance and Budget concerning customs regulations and taxation clearance procedures for travellers returning to Kenya through the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA). In the Statement, the Committee should:

(1) State the criteria used by custom officials in determining the declaration process for taxable items for passengers returning to Kenya through JKIA. (2) Provide the average turnaround time for clearance of by customs officials upon arrival, clarifying reports indicating that there has been significant delays in passengers’ clearance at customs section, elucidating steps the Kenya Revenue Authority (KRA) is implementing to expedite and streamline these processes. (3) State the criteria used in the review of the monetary threshold for personal items brought into the country by travellers to US$500 as announced on 10th November 2023 by the KRA, stating ...

15 Nov 2023 in Senate:
Asante Bw. Spika wa Muda. Tunaambiwa kuwa hatuongei kwa hili Bunge lakini ni nafasi tunanyimwa. Nashukuru kwa kupata nafasi hii ya dakika tatu kupitia kwa Majority Whip. Nitaanza na kuzungumza kuhusu mafanikio ya Hotuba ya Rais. Mafanikio haya ni kama vile kwenye kilimo, bei ya mbolea imepungua kutoka Kshs6,500 mpaka Kshs2,500 na kuongezeka kwa mapato ya kilimo kwa ekari 200,000. Pia kufufua sekta ya sukari ya umma. Nampongeza sana kwa hayo. Kwa upande wa uvuvi alisema kuwa ataanzisha vituo ishirini na mbili za tovuti za kutua katika mikoa ya Pwani na Nyanza. Tunampongeza kwa hili. Lakini pia, kuna changamoto ambazo ...