Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1841 to 1850 of 2266.

  • 1 Mar 2017 in Senate: Asante Bw. Naibu Spika. Naunga mkono malalamishi yaliyoletwa na jamii ya Talai. Makosa yaliyofanyiwa jamii hii ni sawa na yale yaliyofanyiwa Wagiriama na watu wengine wa Mkoa wa Pwani. Tumeona tabia za watu kuja Pwani na kupata vyeti vya kumiliki mashamba kutoka Nairobi na kwingineko kuweka waya kuzunguka jamii ya Miji Kenda. Hatimaye, hawa watu hufurushwa kutoka mashamba yao. Huu ni ukoloni mamboleo ambao unaendelezwa kule Pwani. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate view
  • 1 Mar 2017 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, I would like to inform the House that the Bill has gone through the First Reading. Probably in the next seven or ten days, the Standing Committee on Labour and Social Welfare will be holding a public participation to receive all the necessary information from the stakeholders. We are on course as a Senate body and the Bill is ready. It caters for all the information that is being requested by my colleague, the respected Senator for Vihiga County. Mr. Deputy Speaker, with regard to other issues he has raised, I request the House to give ... view
  • 1 Mar 2017 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, I am obliged by your guidance. view
  • 1 Mar 2017 in Senate: Bw. Naibu Spika, Sen. (Dr.) Khalwale yuko mbio sana. Maswali aliyouliza Daktari Bonny Khalwale anayepigana na ng’ombe ni mengi. Yote ni tisa. Yanahitaji ukakamavu zaidi kuyajibu. Ningependa kwa wajibu wa kauli yako nipewe muda wa wiki mbili ili niweze kuyafafanua na kuyajibu sawa sawa vile inavyotakikana na daktari wa kupigana na ng’ombe. view
  • 1 Mar 2017 in Senate: Bw. Naibu Spika, siwezi kufahamu. Nafikiri naibu wangu alikuwa katika Seneti wakati huo. Kwa uwezo wa Kanuni za Bunge, unaweza kumpa nafasi ili aendelee kujibu lakini ikiwa jibu halijapatikana, basi tunaomba ule muda nilikuwa nimesema tunahitaji ili tuweze kulijibu. view
  • 1 Mar 2017 in Senate: Asante, Bw. Naibu Spika. Mheshimiwa, Seneta, Daktari Boni Khalwale. view
  • 28 Feb 2017 in Senate: Asante Bw. Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii. Kwanza natoa rambi rambi kwa familia na jamii ya marehemu Nderitu Gachagua. Vile vile pia kwa watu wa Nyeri na hata Seneta ndugu yetu, Mutahi Kagwe. Bw. Spika wa Muda, kama binadamu, njia ni hiyo moja. Siku ya mtu ikifika, tutakuwa tayari kusalimu amri. Mara nyingi WaKenya wamepoteza maisha yao kupitia ugonjwa wa Seratani. Jambo la kusikitisha ni kwamba Serikali ya Jubilee haijatilia manani na kutenga pesa zinazotosha kupambana na ugonjwa huu. Imekukwa ikizembea na kubidi Wakenya kutumia pesa nyingi kwa matibabu hapa Kenya. Matibabu ya view
  • 28 Feb 2017 in Senate: inafanywa kwa bei ya juu sana. Inabdii watu watafute nafasi za kwenda nje kwa matibabu ya bei nafuu. Kuna umuhimu wa Serikali ya Jubilee kufanya bidii na kutenga pesa za kutosha kuona ya kwamba Wakenya hawana haja ya kutibiwa katika hospitali za bei ghali huko ng’ambo, bali humu nchini. Hospitali zilizoko India, South Africa na kwingineko zinaweza kutengenezwa hapa. Ikifanyika hivyo, madaktari wetu wataweza kutibu Wakenya. Bunge hili lilimpatia nafasi marehemu Gachagua kujitetea hapa. Alifanya vilivyo na hatimaye akapatikana bila hatia. Hatutaki kusema tuko watakatifu ama tuna msifu kwa sababu amefariki. Ndungu yake jana alisema ya kwamba hawataki watu watakao ... view
  • 28 Feb 2017 in Senate: On a point of order, Mr. Temporary Speaker, Sir. You have made your ruling on this matter. You have basically become functus officio on this issue because you have made a ruling. Can Sen. (Prof.) Lonyangapuo proceed on the lines you have ruled? view
  • 28 Feb 2017 in Senate: Hoja ya nidhamu! Bw. Spika wa Muda, hapo awali ulikuwa umetoa uamuzi. Sheria inahitaji kwamba ukishatoa uamuzi, Seneta anayeongea anafaa kupewa nafasi ya kuongea na hivyo ndivyo ulivyokuwa umeamua. Sasa kuna mchezo wa paka na panya. Hawa watu wawili hawataki tuendelee. Kwa nini Sen. (Prof.) Lonyangapuo anaingilia? Anafaa kugonja Sen. Murkomen amalize halafu atapata wakati wake ili ajibu. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus