7 Oct 2015 in Senate:
Kwa hoja ya nidhamu, Bw. Spika wa Muda. Ningependa kuuliza kama ni sawa kwamba Mwenyekiti wa Kamati hii, Sen. (Dr.) Khalwale, ambaye tunasikilizana sana, kusoma jibu kutoka kwa mtu ambaye hana mamlaka hayo. Juzi nilikuwa ninataka kusoma jibu kutoka National Hospital Insurance Fund (NHIF) ambalo lilikuwa limeandikwa na Mkurugenzi Mkuu. Wa kwanza kupinga kwamba nisisome nakala hiyo alikuwa Sen. Khaniri na aliyemfuata ni Sen. (Dr.) Khalwale. Leo yeye anarejelea msimamo ule ule wa kusoma barua. Seneti si mahali pa kusoma barua za watu hivi hivi. Hapana! The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A ...
view
7 Oct 2015 in Senate:
Hoja ya nidhamu, Bw. Spika wa Muda. Nimemsikiliza Sen. (Dkt.) Khalwale akiongea. Ninamshukuru kwa maana alikuwa anajaribu kujibu, lakini katika msemo wake, amesema wamekaa kwenye Kamati yao wakiwa Waheshimiwa sita na wakapitisha kuwa ripoti iletwe Seneti. Sen. (Dkt.) Khalwale, Seneti hii na Spika ni huyo huyo, aliamua kwamba itakuwa barua kutoka kwa yule mtu ambaye ni mkubwa katika ile Wizara ndiye atakayejibu. Hii, inajibiwa na gavana, leo tunaambiwa ni county secretary ndiye ana uwezo kwa sababu ilipitishwa. Ni hapa tena nikitoa mfano wa pili kwamba, magavana walikuja hapa na tukawahoji, kama vile impeachment ya Gov. Wambora, tulisema gavana ndiye mkurugenzi ...
view
7 Oct 2015 in Senate:
On a point of order Mr. Temporary Speaker, Sir. At no stage have we suggested that Sen. (Dr.) Khalwale is incapable of handling this matter. We have full confidence in his top priority to fight corruption. I should rank him as number one in this country and he is also my friend. We should draw a thin line whether we are following the ruling of the Speaker as provided to the Senate on that day or because of the weightiness of this matter, we will not bend procedures or the rulings of the House simply because there is something to ...
view
1 Oct 2015 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I beg to lay the following Papers on the Table:- Reports of the Committee on Labour and Social Welfare on the following Bills:- (a) The Persons with Disabilities Amendment Bill, 2013 (b) The Senior Citizen Care and Protection Bill, 2014 (c) The Employment Amendment Bill, 2014 (d) The County Library Services Bill, 2015
view
30 Sep 2015 in Senate:
Yes, Mr. Speaker, Sir.
view
30 Sep 2015 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I think it is true what Sen. Khaniri is saying---
view
30 Sep 2015 in Senate:
Yes, Mr. Deputy Speaker, Sir, I noticed that it is not signed. I need, maybe, a bit of time to have it signed and I will be ready by Tuesday next week. Thank you.
view
30 Sep 2015 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, as I said, I have noticed the erroneous nature of this answer. I will put things right by Tuesday, next week.
view