8 Nov 2023 in Senate:
Asante Bw. Spika. Kwanza ninawashukuru Maseneta kwa utulivu wao katika hizi siku mbili ambazo wameweza kusikiliza Mjadala huu.
view

The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only.A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and Audio Services,Senate.

Mjadala huu ambao uko mbele ya Senate ni Mjadala ambao tunatakikana tuusikilize halafu tufanye uamuzi. Ikiwa kuna ushahidi wa kutosha kufurusha kutoka kwa ofisi ama ikiwa hakuna, tuweze kumpatia nafasi ingine aweze kuendelea. Bw. Spika, kama kuna wakati wowote ambao Seneti inatakikana kujitambua na kuweza kuonekana iko kazini na inafanya kazi, ni wakati huu ambao inahusikana na serikali zetu za mashinani. Wakati huu ni wa kujitambua ya kwamba mtu ambaye amefanya makosa anaweza kuchukuliwa hatua ama ambaye amefanya makosa isiyo ya kiwango cha juu, anaweza kupewa nafasi kuendelea. Cha muhimu katika mjadala huu wetu ambao umeletwa katika Kipengele cha 181 ...

Hayo yakijiri, kuna aina mbali mbali ambazo tunaweza kuangalia na kuona kama kulikuwa na kosa au la. Njia muhimu ya sisi kufuata ni kuangalia Kanuni zetu za Bunge na Katiba inasema nini . Ndugu zangu Maseneta mlio hapa, mko na wajibu mkubwa sana. Ikifika wakati kama huu, hakuna cha hawa wako party hii hawa hii. Tunaangalia ukweli umesimama wapi na Bunge la Seneti linasimama na ukweli.

Naambia Wakenya wasiwe na wasiwasi. Tumesikiza na kila mtu atatoa wajibu wake. Kila mtu ataamua kutoka Kosa la Kwanza mpaka la Saba kama wamekubaliana ama wamekataa. Ukweli utazidika wazi na uamuzi utafanyika hivi leo hapa hapa ndani ya Bunge la Seneti. Langu ni kuwatakia kila la heri katika uamuzi wenu. Nina imani Wakenya wote kuanzia leo watakuwa na imani na Seneti.