Thomas Mwadeghu

Full name

Thomas Ludindi Mwadeghu

Born

1953

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

wundanyiconstituency@yahoo.com

Email

Wundanyi@parliament.go.ke

Telephone

0724-285347

All parliamentary appearances

Entries 451 to 460 of 604.

  • 22 Feb 2012 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, naomba nitoe mchango kidogo kuhusu Mswada huu. view
  • 22 Feb 2012 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, jambo la ardhi limekuwa na tetesi nyingi nchini. Hasa nikiangalia sehemu yangu ninayowakilisha kule Wundanyi na Taita kwa jumla, nina machache ya kuzungumza. Mbuga za wanyama za Tsavo East and Tsavo West zilipata view
  • 22 Feb 2012 in National Assembly: nyingine mwaka wa 2002. Huo ulikuwa ni wakati wa siasa. Walijiongezea kipande cha ardhi ya Wataita bila kuwauliza. Huo ni wizi na tutahakikisha kuwa sehemu hiyo imerudishwa. view
  • 22 Feb 2012 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, Mbulia Ranch nayo pia ilijitafutia ardhi and kupata stakabadhi mwaka wa 2006 bila kuwahusisha wananchi wa Kishushe na Paranga. Katika Taveta Sisal Estate, Mwatate na Voi Wataita hawakuulizwa wakati hawa mabwana walikuwa wanapewa hayo mashamba. Pia hoteli ya Hilton ambayo sasa hivi imechukuliwa na New Stanley, ilipewa 10,000 hectares za ardhi. Je, walisema kwamba ujenzi wa hoteli unahitaji 10,000 hectares ? La! Huo ni wizi. Tunaomba mashamba hayo yarudishwe. view
  • 22 Feb 2012 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, kuna mambo niliyoshuhudia nilipokuwa mwanafunzi wa Kitado cha Kwanza katika mwaka wa 1967. Wadigo walifukuzwa kule Diani. Namaanisha kule mnakokuita Diani Complex siku hizi. Je, Waziri, wale Wadigo walilipwa? Nilikuwa kijana chipukizi wakati huo. Niliwaona wakibeba mizigo na samaki wao wakihama ili kuwapa nafasi mtengeneze mahali penu pa burudani ama mahoteli ya kifahari. Wale Wadigo walilipwa? view
  • 22 Feb 2012 in National Assembly: Watu wanaochimbua madini walipewa ardhi kubwa. Tukiangalia sehemu za Kishushe, kuna ardhi ambayo inagombaniwa hivi sasa. Mabaraza ya miji yaliitoa ardhi hiyo kwa watu binafsi. Je, wananchi wenyewe waliulizwa maoni? Kuna mambo ambayo yalitendeka, na tunaomba yaangaliwe upya. view
  • 22 Feb 2012 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, mpaka sasa kuna matatizo ya shangazi wetu kupata vyeti vya kumiliki ardhi. Mwanamke anafiliwa ndani ya nyumba na kaka zake wanamfukuza. Akienda kwa chifu anaambiwa kwamba wanawake hawana haki ya kurithi ardhi. Tunajua kwamba Katiba inasema kila mtu ana haki ya kuwa na ardhi humu nchini. Ninamuunga mkono yule mheshimiwa aliyesema kwamba utakuwa katibu wa kwanza wa kutekeleza sheria hii. view
  • 22 Feb 2012 in National Assembly: Kwa hayo mengi, ninaomba kuunga mkono Mswada huu. view
  • 16 Feb 2012 in National Assembly: Asante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii ili nichangie Mswada huu. Ninaomba nitoe pongezi zangu kwa mhe. Waziri wa Serikali za Wilaya na Mitaa kwa kazi yake nzuri ya kuwasilisha Mswada huu mbele ya Bunge hili. Ninaunga mkono Mswada kwa vile umezingatia maadili na uzito wa Katiba yetu. Mswada huu umetilia mkazo swala la ugatuzi. Tumekuwa tukipigania ugatuzi tangu mwaka wa 1963 nchi yetu ulipopata Uhuru. Tunaweza kukumbuka vizuri kuwa miaka michache baada ya Uhuru, Serikali ya Majimbo haikuweza kufanya kazi vilivyo kwa sababu ilipigwa vita na Serikali kuu. Hii ni kwa sababu viongozi wa Serikali ... view
  • 1 Dec 2011 in National Assembly: Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, I would like to request for a Ministerial Statement from the Deputy Prime Minister and Minister for Local Government on the sale of New Changamwe Housing Estate by the Municipal Council of Mombasa to Local Authorities Pension Trust Fund. In his Statement, the Minister should state:- (i) Why did the Municipal Council of Mombasa not collect the debt from Kenya Railways to pay off the workers pension instead of reverting to the sale of the estate? view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus