Vincent Kipkurui Tuwei

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 161 to 170 of 185.

  • 28 Feb 2018 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Spika. Mimi pia nimesimama kuunga mkono kuteuliewa kwake Balozi Macharia Kamau kwa wadhifa wa Katibu wa Kudumu katika Wizara ya Masuala ya nchi za Kigeni. view
  • 28 Feb 2018 in National Assembly: Wakati tulipokuwa tukiangalia stakabadhi na vyeti vyake, tuligundua kwamba Balozi Macharia ana ufasaha katika taaluma yake kimataifa na humu nchini. Tulipata kwamba yeye ndiye mwanzilishi wa kampuni, Rank Zerox, ambayo imefana hapa nchini kwa kazi yakupiga chapa. view
  • 28 Feb 2018 in National Assembly: Balozi Macharia alitufurahisha sana alipotuahidi kutusaidia kupigana na janga la ufisadi. Alisema kwamba janga la ufisadi ni janga la ulimwengu mzima na kwamba wataalamu wakisimama imara na kuwe na mikakati katika Serikali, ama kuwe na uongozi bora; ufisadi utapungua. Pili, tulifurahi zaidi aliposema kwamba Wakenya wengi walioko katika nchi za nje wametaabika sana wakitafuta mawazo na mwongozo. Alisema kwamba akipata hii kazi ya katibu, atafanya juhudi kuona kwamba amewasaidia mabalozi ili Wakenya walioko katika nchi nyingine ulimwenguni waweze kujulikana mahali walipo, na pia waweze kujua sheria za nchi hizo kabla ya wao kuingia katika nchi hizo.Tatu, tulifurahia jibu alilotupa – ... view
  • 14 Dec 2017 in National Assembly: Asante sana, Naibu Spika wa Muda. Pia nami naunga mkono na kuwapongeza wale wote ambao tumewachagua siku ya leo kujiunga na viongozi wengine katika Bunge la Afrika Mashariki. Ni kweli kwamba hivi majuzi tulipokuwa katika Michezo ya Afrika Mashariki, tulipata kwamba Jumuiya ya Afrika Mashariki ilikuwa inangoja viongozi hawa wateuliwe na naona kwamba azma yao na matarajio yao yametimika siku ya leo. Nawapongeza watu wa Mosop na nawatakia kila la heri katika msimu huu wa Krismasi. Naomba madereva nchini waendeshe magari kwa njia iliyo safi ili tupate kuchunga usalama wetu katika barabara zetu. La mwisho ni kwamba nawatakia wenzangu Wabunge ... view
  • 8 Nov 2017 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I want to add my voice to this very important Sessional Paper that will change the way we live and conduct our affairs. This Motion is supposed to have come before devolution. We all understand and know that the spirit of this nation is devolution. Today through devolution, every sector is now geared towards urbanisation. view
  • 8 Nov 2017 in National Assembly: I come from a region where my sub-county headquarters has no planning. Investors may have wished to invest but they are not able to do so because of the challenge that we are trying to address today through this Motion. We will solve the problems that are for us and for the coming generation. As it has been discussed by my fellow Members, the challenge I find here is the issue of land. Urban planning is very important. Those who have taken land from these very important centres will make it quite a challenge to the nation, especially knowing very ... view
  • 8 Nov 2017 in National Assembly: The other issue that is very important for us is to look at how far we are planning our cities or urban centres. Do we plan them for 10 years, or do we plan cities on a cluster, or do we plan them with an aim of expanding the centres to the rural areas? For example, it is a challenge to plan Nairobi as it is presently. It is also my suggestion that as we pass this Motion, we also start other cities that can take up the modern challenges. It has been expressed by other Members that we have ... view
  • 8 Nov 2017 in National Assembly: I come from Mosop and it is now developing. Our roads have expanded. We now have our headquarters at Kabiyet, but it is poorly planned. At Kaiboi we have a technical training centre. We have to plan. Development has to be done on people’s land. As we move along, we must provide resources to enhance this sector so that we can have city and urban planners taken for benchmarking in other countries. So far, we have very few physical planners in this country. We need to change our education curriculum to enable many professionals to undertake physical planning as course. ... view
  • 8 Nov 2017 in National Assembly: With those few remarks, I concur and support this Motion. view
  • 7 Nov 2017 in National Assembly: On a point of order, Hon. Speaker. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus