14 Mar 2018 in National Assembly:
Asante sana Mhe. Spika, kwa lugha ya Kiswahili “Kinara” kwa kunipa nafasi pia, nichangie katika wazo hili ambalo ni la muhimu sana kwa watu wetu na nchi yetu kwa jumla. Hongera mwenzangu, mheshimiwa Jicho Pevu kwa wazo ambalo umelifikiria na kufanya utafiti ambao umeuchukulia kimaanani kwa kutoa maelezo ambayo ni ya kweli. Jambo ambalo ningependa kushukuru ni kwamba tuko na hospitali mbili za rufaa hapa nchini ambazo ni Kenyatta na Eldoret. Lakini, hospitali hizi ziko na shida: wagonjwa ambao wanaletwa pale ni wengi zaidi ya uwezo wa hospitali hizo. Kwa mfano, Hospitali ya Mafunzo na Rufaa ya Moi – Eldoret ...
view
14 Mar 2018 in National Assembly:
mambo haya tuyachunguze na kuona ya kwamba kila kitu ambacho tunala kiwe kimepitishwa katika mpangilio ambao utatuepusha na magonjwa. Vile mheshimiwa mwenzangu amesema hapa, maji tunayotumia yana madini ambayo yanasababisha magonjwa mengine. Hili ni jambo ambalo lazima tuliangalie, kama viongozi na nchi. La nne ni kwamba lazima tujiulize tunataka nini kama viongozi. Kila kiongozi anayekuwa Rais angependa kuwacha mambo fulani ambayo atakumbukwa kwayo. Namshukuru mstaafu Rais Moi kwa sababu wazo hili la kuweka Hospitali ya Mafunzo na Rufaa ya Moi mjini Eldoret ni lake wakati wake ule. Tunamshukuru sana. Mungu amusaidie apate ubora wa afya anapozeeka. Hii ni ili sisi ...
view
13 Mar 2018 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker; I thought the Member for Budalang’i is more experienced because he has been in this House longer than us. However, that notwithstanding may I support this Motion on the grounds that right to life is more important than appeasing a community that does not appreciate what I call the complexity of security and leadership in that region. When this matter came up the other day, the first persons who condemned the teachers are those in leadership from that region. I felt so bad because 40 of the said teachers come from my constituency in ...
view
13 Mar 2018 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Speaker, I did not say that the leaders are sympathisers. We have a responsibility as leaders.
view
13 Mar 2018 in National Assembly:
I said instead of the political leadership in that region…
view
13 Mar 2018 in National Assembly:
Even when passing a word of condolence, they took it that the Government has taken the wrong step. I believe that TSC took this into consideration with the advice that they must have got from the security agencies in that region. Nothing happens in Government without the advice of the security agencies. If this advice is anything to save lives, then I support it. The CS is not a guarantor of security. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
13 Mar 2018 in National Assembly:
(Hon. Mohamed Ahmed consulted loudly)
view
13 Mar 2018 in National Assembly:
Thank you very much, Hon. Temporary Deputy Speaker. May I be more particular about this matter: the presence of a CS in a region does not guarantee your security. We are talking about security across the country, especially the regions in the Rift Valley where schools right now are closed. Our concern is…
view
13 Mar 2018 in National Assembly:
I am addressing you, Hon. Temporary Deputy Speaker.
view