26 Feb 2014 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, as I second this Motion, I would like to emphasis the importance of geothermal energy in Kenya. Indeed, as we take pride to be the only country in Africa to have developed this resource, we should also be cognizant of the fact that we have not fully exploited our potential. The geothermal potential areas in Kenya are mainly in three blocks; at the Coast, a lot of concentration of sites in the eastern side of the Great Rift Valley and also around Lake Victoria. There has been a lot of concentration on exploration on geothermal potential in ...
view
25 Feb 2014 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I hope you heard the point of order from Sen. (Dr.) Khalwale, where he--- Is he in order to suggest that traditional regalia is indecent in any way?
view
25 Feb 2014 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, as I support the list that has been tabled to us in the House, I would want to make a few observations. Yes, it is true that we have Members who, by virtue of their positions, must belong to this Committee but I have restrained my mind from venturing into the thinking that it could be an issue of bankruptcy on the ability of other Members that the same list has to be tabled on the Floor of this House or it is because of laziness that the selectors had to go to the same list of ...
view
25 Feb 2014 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir.
view
25 Feb 2014 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, on the rule of irrelevance, is the hon. Senator in order to go that way in his presentation when we are discussing the issue of tabling names of this serious Committee of the House?
view
14 Feb 2014 in Senate:
Shukrani, Bw. Spika. Yale niliyo yasikia kutoka kwa viongozi wa Kamati tuliyoiunda ni kama hadithi za Alfu Lela U Lela. Mengine ni zaidi ya hekaya za abunuasi kwa sababu kuwapa wananchi mbegu za kupanda zisizo ota ni kama vile abunuasi alimulikiwa na mwanga wa tochi kwamba apate joto la baridi.

Hilo ni jambo la upuzi ambalo sisi tukiwa viongozi hatuwezi kulikubali. Nimefanya kazi na Gavana Wambora katika Bunge la Tisa. Ni rafiki yangu kabisa. Huenda aliyoyafanya akiulizwa asema: “Sijui, nimesahuau.” Huenda ni huruma tumpe, labda ni mgonjwa kwa sababu sio kawaida. Kama walimu wake walikuwa huko alipofundishwa kuwa kasisi na mwingine mwalimu Moi, sidhani kwamba tutatkubaliana na hayo kwa sababu tunamfahamu Moi, sidhani anatosha kuitwa mwanafunzi wa Moi. Iwapo ni hivyo singependa hawa wawe walimu wangu. Bw. Spika, tunasema hivi kwa magavana wa nchi hii: Ukiona cha mwenzio cha nyolewa, chako tia maji.

Huu ni ukweli kwa sababu hatutaki kuyasema hapa kwa sababu leo tunaongea mambo ya Kaunti ya Embu. Lakini yaliyoko huko ni mazito hata kuliko ya Embu kwa sababu walikataa kuskia la mkuu. Sisi Maseneta tukiwambia hawasiki, wakatudharua, hawataki kusikia wasia wetu, basi majuto ni mjuku. Walijitosa kwa ulimwengu wa anasa, magari makubwa makubwa, ma askari wawafuatilia na magari mengi na bendera ya kupepea, wakasahau ya kwamba mbio za sakafuni huishia ukingoni. Sasa wamejua mkubwa ni nani.
view