Wilfred Machage

Full name

Wilfred Gisuka Machage

Born

10th August 1956

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Post

P. O. Box 15292 00509 Nairobi

Post

P.O. Box 41842, 00100 Nairobi, Kenya

Email

gmachage@gmail.com

Telephone

0710442712

Link

@gmachage on Twitter

Link

@gmachage on Twitter

Dr. Wilfred Machage

Wanjiku’s Best Representative – Health (Senate), 2014

All parliamentary appearances

Entries 431 to 440 of 2209.

  • 20 Apr 2016 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, please, protect me from my own leader. view
  • 20 Apr 2016 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, doping is an issue that is recent and not indigenous to Kenya or African countries. I wish the Anti-doping Bill had been expanded to also include other groups of people like public servants and Members of Parliament (MPs) who misuse drugs for one reason or another. Unfortunately, the focus is only on athletes or sports. As the Senate, we have not had time to study and execute this Bill. However, I hope that it will not be an issue similar to what I saw when we had a referendum on the Constitution where it was said: ... view
  • 13 Apr 2016 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. The Standing Order No.94 (1) clearly states that:- “A Senator shall be responsible for the accuracy of any facts that the Senator alleges to be true and may be required to substantiate any such facts instantly.” Sen. Kagwe has been asked to substantiate. Could you order that he does exactly that? view
  • 13 Apr 2016 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. I really like the mitigation that the hon. Senator is making on a Member of our fellow sister House. However, would I be in order to draw his attention to our Standing Order No.114 and comment whether the action of the Speaker was also illegal. view
  • 12 Apr 2016 in Senate: Asante sana, Bw. Spika. Kwanza tunampongeza Sen. Wetangula kwa ujasiri wake wa kuamua kwamba anaweza na angependa kuwa Rais wa nchi hii. Huenda wengine wetu tukafuata mkondo huo na kutangaza msimamo wetu. Hata hivyo, jambo lilotokea huko lilikuwa la aibu na halikupendeza macho ya Wakenya wengi. Ni aibu kuona mkutano kama huo ukiingiliwa na majambazi jinsi ilivyofanyika siku hiyo. Je, vitoamachozi ambavyo vilitumiwa vilikuwa vimechapwa muhuri gani? Kulikuwa na muhuri wa Serikali na vilifikaje huko? Maswali hayo ni lazima yajibiwe. Ningependa kuwasihi viongozi wetu wa Upinzani kuketi pamoja na kuongea mambo yao polepole. Hii ni kwa sababu sisi wanachama wa ... view
  • 12 Apr 2016 in Senate: Nilikuwa nimeanza tu. view
  • 12 Apr 2016 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. Is Sen. Sang in order to suggest that if the equipment was available to hon. Senators, they would have behaved the same way like “the others”? The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate view
  • 12 Apr 2016 in Senate: Bw. Naibu Spika, nashukuru kupata nafasi hii kujadili Hotuba aliyotoa Rais katika Bunge la Taifa kwa Wabunge wote. Ilikuwa haki yake kutumia Vipengele vya Katiba Nambari 10, 132 na 214. Hata sisi katika Upinzani, tungependa viongozi wetu watumie nafasi hii kuhutubia Bunge la Taifa kwa amani na utulivu tutakapokuwa na Rais hivi karibuni. Wakati huo, wanamrengo wa Jubilee wakiwa The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate view
  • 12 Apr 2016 in Senate: Asante Bw. Spika wa Muda. Tunataka haki itendewe kila mtu. Ukiangalia stakabadhi ambazo ziliandikwa na Mzalendo Kibunja, kwa makabila yale matano ambayo hayana haki ndani ya Serikali, kuna Wakuria, Rendille, Ndorobo na Teso. Kazi zinatolewa lakini kiongozi wa daraja kubwa tulionao ni Katibu Mkuu mmoja na Kamishina wa Kaunti mmoja. Pia tuna Kamishna wa Shirika la Serikali wawili; moja wa kampunui ya SONY ambayo inakufa na mwingine wa Kenya Pipeline, na sisi ni wananchi ndani ya Kenya. Kila siku tukisikia Rais ameteuwa fulani, utasikia kina Kamau, Kiprotich, halafu kidogo, Odongo. Bw. Spika wa Muda Wakenya wanataka haki. Asante sana. view
  • 30 Mar 2016 in Senate: Asante sana, Bw. Spika. Waswahili husema: “Mbiu ya mgambo ikilia kuna jambo.” “Lisemwalo lipo na kama halipo laja.” Tunafaa kuzingatia kilio cha Waturkana kwa Seneti hii. Kwa miaka mingi Kaunti ya Turkana imejulikana kwa watu wengi wenye ufukara na watoto wanaotembea uchi. Mpaka sasa tunaonyeshwa kwenye runinga shule ambazo hazijajengwa vizuri; wanafunzi wanasomea chini ya miti. Hata hivyo dua lilikubali kuwaangazia watu wa Turkana. Kwanza, tulipata siasa za ugatuzi na pia mafuta yalipatikana katika kaunti hiyo. Tatu, maji mengi yalipatikana kule yanayoweza kutumika kila siku na Wakenya wote 45 milioni kwa miaka 70. Kwa hivyo, Seneti hii haitakubali uzembe, ufidhuli ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus