William Kamoti Mwamkale

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 21 to 30 of 134.

  • 1 Dec 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. view
  • 10 Feb 2020 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Spika, kwa nafasi hii. Kwa niaba ya wakaazi wa Eneo Bunge la Rabai na wakaazi wa Kilifi, napeana rambirambi zetu kwa familia ikiongozwa na Raymond na Gideon, ambao ni Waheshimiwa wenzetu. Pia nasema pole kwa Wakenya wote. Naomba tu viongozi wa nchi hii, hasa wale wanaoshikilia hatamu za The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 10 Feb 2020 in National Assembly: kuongoza nchi ya Kenya waige mfano wa Rais Moi. Nasema hivyo kwa sababu juu ya yote, ulikuwa ukiangalia Baraza la Mawaziri la Moi unaona sura ya Kenya. Siku hizi, mambo ni tofauti. Kwa hivyo, viongozi wanaoongoza Kenya hii waige mfano wa Moi na waweke amani na upendo mbele. view
  • 2 Oct 2019 in National Assembly: Asante sana, Bwana Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii. Nitaanza kwa kutoa rambirambi zangu kwa niaba ya wakaazi wa Rabai kwa familia ya mama Mariam na msichana Amanda. Tuna imani kwamba Mungu atawaweka mahali pema peponi kule wameenda. Ukweli wa mambo ni kama wenzangu walivyozungumza. Janga hili la feri limesababishwa na wafanyikazi wazembe, watu ambao hawataki kuchukua majukumu yao kama inavyotakikana. Tunajua kwamba kuna mgao wa pesa unaopatiwa kila shirika. Shirika la Feri kama mashirika mengine inagawiwa pesa. Ukienda Likoni sasa hivi ama ukiwa mjini Mombasa, utaona magari mazuri mazuri ya Kenya Ferry. Utaona barabara pale karibu na ... view
  • 2 Oct 2019 in National Assembly: Serikali wawe wamejitolea. Usiende kuandikwa kama askari wa jeshi la maji kama wewe ni mwoga na hujui kuogelea. Tunaomba Serikali ichukue wale ambao wamejitolea. Wao ndio watatufanyia ile kazi. Wasituletee watu wenye Kizungu kingi na makaratasi mengi na wakati wa ajali ukifika, wanarudi nyuma. Maafisa wa Kenya Navy walikuwa katika uwanja wa Uhuru Gardens wakifanya mazoezi wakati ajali hii ilitokea. Tunashangaa kwa sababu hakuna hata mtu mmoja alifika pale baada ya dakika 15. Tunamuomba Rais angalie wakati… view
  • 17 Sep 2019 in National Assembly: Hon. Speaker, I rise to ask the Cabinet Secretary for Interior and Coordination of National Government the following Question: view
  • 17 Sep 2019 in National Assembly: (i) What is the validity of the order banning cultural overnight vigils and celebrations popularly known as “ Disco Matanga” in Kilifi County by the national Government and, in particular, in Rabai Constituency? view
  • 17 Sep 2019 in National Assembly: (ii) What measures has the Ministry put in place to ensure that security is provided during such cultural celebrations to enable communities give their departed kin deserving send-offs in line with their cultural and traditional practices? view
  • 17 Sep 2019 in National Assembly: Hon. Speaker, every community has a way of celebrating their dead. In Rabai and Kilifi, when one dies, particularly on the eve of his burial, people celebrate with the dead overnight. Dirges are sung during those overnight vigils. If there are gospel bands, they play till morning. This is what the Cabinet Secretary (CS) put together and called Disco Matangas . Otherwise, those are traditional practices which have always been there to honour the dead. In short, that is what they call Disco Matanga . They are actually traditional practices which have lived with us. view
  • 17 Sep 2019 in National Assembly: They were called Disco Matangas by the CS. That is why I am using that term. Otherwise, those are honourable ways of mourning. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus