3 Nov 2022 in National Assembly:
trade. While building the capacity of our local textile industry is a good idea that would spur the growth of our economy, this should not be done at the expense of the existing
view
3 Nov 2022 in National Assembly:
cloth trade that is doing very well and employing a large number of our population – a trade whose value stands at Ksh18 billion a year. This is a trade that generates profits for traders. It also employs thousands of Kenyans and contributes millions of shillings to national revenue. Hon. Speaker, it is against this background that I seek a Statement from the Chairperson of the Departmental Committee on Trade, Industries and Cooperatives for clarification from the Ministry on: 1. The current position of this critical trade in the country. 2. What plans the Ministry has put in place to ...
view
3 Nov 2022 in National Assembly:
I am doing so because of the suffering of the people from my constituency, who are hardworking and honest Kenyans. These people are paying his salary.
view
3 Nov 2022 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. I wonder whether the Cabinet Secretary has communicated with his counterpart in the Ministry of Agriculture and Livestock Development. Otherwise, he would have known how bad the state of our cotton industry is. Kenya’s cotton production has been declining and we only produce 20,000 bales of cotton a year. So, it will take many years for us to fix our textile industry to create employment opportunities in this sector. The Cabinet Secretary should look at his duties…
view
3 Nov 2022 in National Assembly:
The Cabinet Secretary should look at his job description. His job is to create employment and to grow our industry. Thank you.
view
2 Nov 2022 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Spika wa Muda. Nafurahi sana kwamba hii leo tumekianza kikao hiki cha Bunge kwa lugha yetu tamu ya mama ya Kiswahili. Arifa ya Hoja yangu ya leo inahusiana na kushughulikia utaratibu wa Kiswahili na ukuzaji wa Kiswahili.
view
2 Nov 2022 in National Assembly:
Asante Mhe. Spika wa Muda. Nakushukuru kwa kupata fursa hii ya kuweza kuleta Hoja hii ya kubuniwa kwa Baraza la Kiswahili la Kenya kwenya Kamati ya Idara ya Michezo, Utamaduni na Utalii. Tukitambua kifungo cha 7…
view
2 Nov 2022 in National Assembly:
Mhe. Spika wa Muda, mbele ya kikao hiki cha Bunge, napendekeza Hoja ya kubuniwa kwa Baraza la Kiswahili la Kenya ambayo itapelekwa kwa Kamati ya Idara ya Michezo, Utamaduni na Utalii: KWAMBA, tukitambua Kifungu cha 7 cha Katiba ya Kenya kinabainisha Kiswahili kuwa lugha pekee ya kitaifa, na pia lugha rasmi pamoja na Kiingereza, na aidha kwamba Serikali ina wajibu wa kulinda, kuendeleza na kukuza matumizi ya lugha za kiasili za watu wa Kenya; KUWA Vifungu vya 119 na 137 vya Mkataba wa Uanzilishi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki vinawajibisha dola za Afrika Mashariki kustawisha na kuendeleza Kiswahili kama lugha ...
view
2 Nov 2022 in National Assembly:
Ningependa kuelezea umuhimu wa lugha hii. Lugha ya Kiswahili ni muhimu nchini, katika Afrika Mashariki, Afrika na Ulimwengu wote. Ni lugha yetu ya mama na ya kiasili tunayojivunia; sio lugha ya kigeni, ya mkoloni au ya mbeberu, bali ni lugha yetu ya kitaifa, ya kitamaduni ya Kenya na Mwafrika. Lugha hii inazungumzwa na Wakenya wengi zaidi kuliko lugha yoyote ile. Asilimia themanini na tano ya Wakenya, ambao ni watu karibu milioni arubaini na mbili, wanazungumza lugha hii. Mbunge anapokuwa katika pilka pilka za uchaguzi, na hata alipokuwa akitafuta kura kwa wananchi, hakuwa anazungumza lugha anayoitumia hapa Ukumbini ya kibeberu na ...
view
2 Nov 2022 in National Assembly:
Kiswahili kimechangia pakubwa katika ukombozi wa uhuru wa Mwafrika, uhuru wa kisiasa pia katika harakati za mapambano ya uhuru wa fikira na utamaduni; na pia mentaldecolonization, yaani ukombozi wa akili. Huwezi ukapata maendeleo ama kumfundisha mtoto wako na apate akili ya kimaendeleo ikiwa anatumia lugha ya kigeni ya wabeberu. Ukitazama nchi zilizoendelea duniani, zinatumia lugha za kiasili; kwa mfano India, Uchina, Vietnam na
view