Zuleikha Juma Hassan

Parties & Coalitions

Born

10th August 1979

Post

P. O. Box 169 - 80133 Mariakani

Email

akinatanga@yahoo.co.uk

Telephone

0705403237

Telephone

0721400882

Zuleikha Juma Hassan

Zuleikha is grateful that her father’s postings abroad exposed her to a myriad of opportunities, which impacted on her life positively. While studying in South Africa, she recalls that she went through the stages of anger over apartheid. The realization of Zuleikha that one needed to be in politics to influence policy formulation prompted her to join politics. Initially, Zuleikha sought the Kaloleni parliamentary seat but was dissuaded. In parliament she has pushed the government to fund the National Youth Council.

All parliamentary appearances

Entries 111 to 120 of 309.

  • 30 Mar 2016 in National Assembly: Sheria za kufurushwa kwenye ardhi hazijazungumziwa licha ya kuwa wamesema kuwa zitazungumziwa. Hivi sasa, katika maeneo ya Mombasa, Changamwe na Kisauni, kuna watu wameahidiwa kuwa wataondolewa Ijumaa katika ardhi yao. Wizara ya Ardhi inafanya hivi na vipi inaweza kufanya hivyo bila sheria ya kusema jinsi watu wanavyotakikana kuhamishwa? Tunapinga jambo hilo na mambo ya kuhamisha lazima iwe katika sheria kama hii. Waziri wa Ardhi amepewa majukumu ya Tume ya Ardhi. Kwa mfano, masuala ya kuamua ardhi ni ya mtu fulani. Sheria hii inasema kuwa makamishna wa Tume ya Ardhi wataandikwa kazi na Tume ya Kuwaajiri Wahudumu wa Umma. Hicho ni ... view
  • 30 Mar 2016 in National Assembly: nguvu ambazo Katiba imepeana kwa kaunti kuhimili ardhi na kurejesha kwa Serikali kuu. Shida za ardhi zitaendelea na iwapo mtu kutoka Kwale ana shida ya ardhi, apande gari na aje Nairobi agharamie safari na makaazi na kwenda kutafuta hati miliki kwa watu ambao hawaelewi masuala ya ardhi kule kwao. Tumerudi katika zile dhiki kwa hivyo, sheria hii ni adui kwa ugatuzi kwa sababu kaunti zimepewa nafasi kushirikiana na masuala ya ardhi lakini sheria hii inaondoa. view
  • 30 Mar 2016 in National Assembly: Zile njia ambazo watu wanaweza kukaa na kukubaliana kuhusiana mizozo ya ardhi zimeondolewa; kwamba si lazima kuenda kortini kuzungumzia shida zao. Imezidi kutia mwananchi katika dhiki na shida. Katika Mkoa wa Pwani, kuna asilimia zaidi ya 60 ya watu ambao wako kwenye ardhi ambazo hazijasajiliwa. Umaskini ambao uko katika nchi hii hususan Mkoa wa Pwani ni mkubwa ilhali unamwambia mtu azidi kugharamika kwa sababu ya kutetea haki yake ya kuishi pahali ambapo ni kwao tangu jadi na ambapo vizazi vyote vya familia vimetoka. Kitu cha mwisho ambacho ninataka kusema ni kuwa hatutakubali kamwe kurejeshwa nyuma katika nchi hii. Sio kwa ... view
  • 16 Mar 2016 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Speaker, I beg to move that the Motion be amended as follows:- By deleting all the words after the words “this House” in the 10th line and substituting them with the following words “urges that the Government develops a clear plan of action to ensure the necessary structural adjustments to all public buildings and that the National Construction Authority only approves designs for new public structures that are compliant with the minimum accessibility standards (KS 21542) for persons with disabilities”. You already gave the details and the reasons as to why we should amend the Motion. Fifteen ... view
  • 16 Mar 2016 in National Assembly: I would have loved to contribute in Kiswahili because majority of the people in the country, especially where I come from in Coast, understand Kiswahili better and are more conversant with it. Unfortunately, in Parliament when you want to bring a Motion or Bill in Kiswahili since it is the national language, you are unable to do so. You are told that we should do it in English. That is a big disappointment. The Parliamentary Service Commission (PSC) should ensure that we hire people who can translate Bills or draft Bills and legal notices into Kiswahili. We should have Motions ... view
  • 16 Mar 2016 in National Assembly: I am sorry if I was too quick in speaking. I said that I beg to move this amendment. I asked Hon. Wanjiku to second. view
  • 16 Mar 2016 in National Assembly: Mheshimiwa Naibu Mwenyekiti wa Muda, ninayapinga vikali mabadiliko yanayoletwa kwenye sheria hii. Waziri wa Afya na Waziri wa Ardhi wanapewa nguvu ambazo haziko katika Katiba. Ibara ya 67(2) (a) ya Katiba inaeleza kazi ya National Land Commission (NLC). Inasema kuwa NLC inatakikana kusimamia ardhi za umma kwa niaba ya Serikali ya kitaifa na serikali za kaunti. view
  • 16 Mar 2016 in National Assembly: Pia, Ibara ya 67(2)(c) ya Katiba inasema kwamba NLC inatakikana kuishauri Serikali ya kitaifa kuhusu masuala ya kuandikisha ardhi. Kwa hivyo, mabadiliko yanayoletwa kwenye sheria hii yanampatia Waziri wa Ardhi nguvu ambazo haziko kwenye Katiba ya nchi yetu. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 16 Mar 2016 in National Assembly: Kwa mfano ardhi ya Kaya . Kwa hivyo, ninayapinga vikali mabadiliko haya. view
  • 9 Mar 2016 in National Assembly: Asante, Bwana Spika kwa nafasi hii ya kuzungumzia Mswada huu. Ninauunga mkono. Ninaomba upitishwe kwa sababu tumekuwa tukipata shida sana tangu enzi za Uhuru hadi sasa hapa nchini, hususan sehemu nyingi za Mkoa wa Pwani. Uenezaji wa umeme umekuwa ukifuata sanasana barabara za lami. Watu ambao wanaishi karibu na hapo ndio wamekuwa wakipata sitima. Wananchi wengine wamekuwa wakiachwa kwa giza kwa siku nyingi licha ya kuwa na huo mpango wa kuleta stima katika sehemu ambazo ziko ndanindani na ni za mashambani. Bado kuna watu wengi ambao wako nyuma kiuchumi kwa sababu hakuna stima ya kutosha. Pia, inaonekana kama sehemu nyingine ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus