Zuleikha Juma Hassan

Parties & Coalitions

Born

10th August 1979

Post

P. O. Box 169 - 80133 Mariakani

Email

akinatanga@yahoo.co.uk

Telephone

0705403237

Telephone

0721400882

Zuleikha Juma Hassan

Zuleikha is grateful that her father’s postings abroad exposed her to a myriad of opportunities, which impacted on her life positively. While studying in South Africa, she recalls that she went through the stages of anger over apartheid. The realization of Zuleikha that one needed to be in politics to influence policy formulation prompted her to join politics. Initially, Zuleikha sought the Kaloleni parliamentary seat but was dissuaded. In parliament she has pushed the government to fund the National Youth Council.

All parliamentary appearances

Entries 131 to 140 of 309.

  • 3 Dec 2015 in National Assembly: Asante sana, Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii ya kuchangia Hoja hii. Mwanzo, nataka kulalamika kidogo. Karatasi za kueleza Hoja hii hazikuwa zinapatikana katika Chumba No.8 hapa Bungeni. Kwa hivyo, tumelazimishwa kutafuta njia nyingine kujua Hoja hii inaomba nini. view
  • 3 Dec 2015 in National Assembly: Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, sijaona hizi karatasi kwenye mtandao. Kama utaniruhusu, mara nyingi hakuna makaratasi yenye kufasiri hizi ripoti katika lugha ya Kiswahili. Wengi wa wananchi kule tutokako hawajui Kiingereza. Ningeomba Bunge ifahamu kuwa Kiswahili ni lugha ya taifa na iwe ikitufasiria taarifa zote zinazokuja Bungeni. Kama Wabunge wengine, ningependa kuiunga mkono Hoja hii kuhusu kuendeleza maswala ya Pwani. Ningependa kuongeza kuwa ni muhimu vyombo tofauti vya Serikali vikija pamoja kuleta miradi, vihusishe wananchi katika mambo wanayotaka kufanya na wawe wakiwashauri. Wananchi mara nyingi huamka tu asubuhi na kuona The electronic version of the Official Hansard Report is for ... view
  • 3 Dec 2015 in National Assembly: mabadiliko. Hawakuhusishwa katika mabadiliko hayo, wala hawajui kitu gani kinaendelea. Naunga mkono Hoja hii kwa sababu maisha ya watu wa Pwani yataendelezwa kwa kufanya miradi tofauti tofauti ya kuleta maendeleo katika sehemu hiyo. Ni aibu kuwa nchi ya Kenya inashindwa na nchi ndogo kama vile Mauritius, ambayo imeendelea sana katika maswala ya uvuvi, ilhali ni nchi ndogo sana na yenye watu wachache sana; ni lazima tujiendeleze. Pia, nimegundua kuwa mara nyingi Serikali haiwaajiri watu wa Pwani wala haihusishi watu wa Pwani katika miradi ya Pwani. Nilienda mkutano kule Mauritius, na kati ya Wakenya 11 tuliosafiri, mimi pekee ndiye nilikuwa nimetoka ... view
  • 17 Nov 2015 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairman. I support the Member for Wajir 100 per cent. As Hon. Naomi Shaban has said, right now doctors and nurses are running away and teachers have run away from the North Eastern region because of terrorism. At least, if we have some young people with degrees in social sciences, they can take up these jobs. We can also do in-house training. When I graduated from university, I was told that when you have a degree it means that you are trainable in almost any job. So, we could do three or six months’ in-house ... view
  • 12 Nov 2015 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. Maybe it will be good luck for me in future. I, the undersigned, on behalf of the citizens of Kenya and in particular, the Kaya Burani and Lawaridi women group in the Kenya Women Finance Trust (KWFT), draw the attention of the House to the following;- THAT, the Kenya Women Finance Trust and its parent company, Kenya Women Holding, provides financial services exclusively to low income-earning women in Kenya. THAT, the institution has branches in various parts of the country, including Kwale County. THAT, the main objective of the institution is to improve the social and ... view
  • 28 Oct 2015 in National Assembly: Asante sana, Bi. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii ili nichangie Hoja hii. Tunajua kwamba hii Komisheni au sekta ya polisi humu nchini imekuwa na shida kwa miaka mingi sana tangu tupate Uhuru. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 28 Oct 2015 in National Assembly: Waliotengeneza Katiba mpya na Wakenya walipoipitisha, tulisema kuwe na Tume ya Kitaifa ya Huduma za Polisi humu nchini kutusaidia katika sehemu ya ulinzi ya serikali. Kwa sababu ambazo zitaongelewa hapa, imekuwa vigumu kwa Komisheni hii kufanya kazi yake inavyostahili. Sababu moja ni kwamba kuna Kamishna ambaye alifariki, pili, kuna huyu mwingine ambaye tunamzungumzia leo ambaye ni Meja Mstaafu Shadrack Mutia Mulu ambaye amekuwa mgonjwa kwa karibu miaka mitatu sasa na hawezi kuhudumu inavyostahili. Mwanzo, ninataka kusema pole sana kwa Meja Mstaafu Mutia kwa sababu ya ugonjwa wake. Hakuna mtu anayemtakia mwingine ugonjwa au maradhi. Hususani magonjwa ambayo yanamweka siku nyingi ... view
  • 28 Oct 2015 in National Assembly: Kwa hayo machache, shukrani kwa nafasi hii. view
  • 8 Oct 2015 in National Assembly: Ahsante sana Mhe. Naibu Spika kwa kunipa nafasi hii nichangie Mswada huu wa Mahakama Kuu. Mwanzo, nataka kusema kwamba naunga mkono Mswada huu. Nafurahi kuwa Mswada huu umeweza kuja hapa Bungeni hususan kwa sababu napenda sana kutetea haki za wanyonge. Wakenya wengi wako katika hali hiyo. Pia, Wakenya wengi hawana njia ya kupata haki katika nchi hii. Wananchi wengi sana huteseka sana kwa kukosa haki hapa nchini. Kitu cha kwanza ambacho ningetaka kuangazia ni kwamba Mswada huu unaongeza idadi ya mahakama kuu humu nchini. Hivi sasa, mahakama kuu nchini ni 20 pekee. Zikiongezeka, huenda kila kaunti itapata mahakama kuu moja ... view
  • 8 Oct 2015 in National Assembly: Kifungu cha 26 kinazungumzia mbinu zingine za kutatua mizozo. Kwa kweli, hili ni jambo nzuri sana - ni jambo nzuri kuliko yale ambayo nimeshayazungumzia. Kupitia mbinu hiyo, mwananchi anapokuwa na kesi, hatohitaji kuwa na wakili. Kama tunavyojua, mawakili huitisha pesa nyingi sana kuanzisha kesi yoyote. Mara nyingi, inabidi mtu alipe angalau Ksh50,000 kuanzisha kesi. Mwananchi wa kawaida hawezi kuwa na hela hizo. Kwa hivyo, kifungu hiki kinachozungumzia mbinu hiyo kitamuwezesha mwananchi kwenda kujiwakilisha mwenyewe mbele ya mpatanishi ili aweze kueleza kesi yake. Kesi yake iweze kusikilizwa bila yeye kutumia pesa nyingi kuajiri wakili. Mhe. Naibu Spika, sheria hii itaongeza nafasi ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus