Zuleikha Juma Hassan

Parties & Coalitions

Born

10th August 1979

Post

P. O. Box 169 - 80133 Mariakani

Email

akinatanga@yahoo.co.uk

Telephone

0705403237

Telephone

0721400882

Zuleikha Juma Hassan

Zuleikha is grateful that her father’s postings abroad exposed her to a myriad of opportunities, which impacted on her life positively. While studying in South Africa, she recalls that she went through the stages of anger over apartheid. The realization of Zuleikha that one needed to be in politics to influence policy formulation prompted her to join politics. Initially, Zuleikha sought the Kaloleni parliamentary seat but was dissuaded. In parliament she has pushed the government to fund the National Youth Council.

All parliamentary appearances

Entries 201 to 210 of 309.

  • 28 Jul 2015 in National Assembly: Pia nilifurahi kwa sababu wageni wake wengi ni wale tunaita kwa lugha ya kimombo VIPs (Very Important Persons) . Walikuwa ni vijana kutoka nchi tofauti za Afrika. Kwa hivyo, hilo lilinifurahisha sana. Pia leo nimefurahi kwa sababu Kiongozi wa Wengi hapa Bungeni, Mheshimiwa Duale, alikubaliana na maswala ya kuwa vijana ni watu muhimu sana. Wahenga, sio hapa kwetu Afrika Mashariki lakini pia katika nchi zile zingine, wamezungumzia kuwa vijana ni muhimu. Ukiangalia vijana vile walivyo hivi sasa, unaweza kujua nchi itakuwa vipi miaka 50 ijayo. Katika Kenya yetu, vijana wengi hawana kazi, hawajasoma na wengi wako katika masuala ya mihadarati ... view
  • 28 Jul 2015 in National Assembly: kujua Kenya itakuwa vipi miaka 50 kutoka leo, angalie vijana wetu. Ndio maana Rais Obama alichukulia jambo la vijana kwa umuhimu sana kwa sababu bila kuendeleza vijana hapa nchini, nchi yetu haitaendelea katika miaka 50 ijayo. view
  • 28 Jul 2015 in National Assembly: Pia nafurahi kuwa kiongozi wetu wa chama chetu cha Orange Democratic Movement (ODM), Mheshimiwa Raila Amolo Odinga, anaunga mkono masuala ya vijana. Chama chetu cha ODM ndicho cha kwanza kilichoanzisha Youth League ama Bawa la Vijana katika vyama vya kisiasa humu nchini. Ndicho chama cha kwanza kuweza kufanya jambo kama hilo. Hapa Kenya tunayo suluhu kwa shida za vijana wetu. Suluhu moja ambayo sisi kama Wabunge tunaweza kusaidia ni kuhakikisha kuwa tunabadilisha sheria za National Youth Council (NYC). Mimi nimeshaanza kufanya hivyo na Mungu akipenda, itakuja hapa Bungeni hivi karibuni. Mhe. Koffi Annan alipokuja Kenya baada ya vita vya mwaka ... view
  • 1 Jul 2015 in National Assembly: Thank you for this opportunity, Hon. Deputy Speaker. Before I contribute, I wanted to request that in future, if there is a topic regarding women, give us a chance to talk because back home, most women may think we are here and are not working or representing them. On this issue, I would like to say that I support. view

  • 1 Jul 2015 in National Assembly: Hon. Deputy Speaker, it was just about the petition. I had requested to speak on the petition, especially being a Muslim woman, and those who were affected were Muslim girls. We relate and I would have wanted to contribute. view

  • 1 Jul 2015 in National Assembly: I do. view
  • 1 Jul 2015 in National Assembly: I do. view
  • 1 Jul 2015 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker. I am just more concerned about what women on the ground will think if tonight they do not see us in news talking about this issue. On this Motion, I just want to say that I approve and agree that Mrs. Anne Rwamba Gitau should be appointed as a SRC. I always respect people who are well educated and qualified. So, I am in agreement with this Motion. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus