Zuleikha is grateful that her father’s postings abroad exposed her to a myriad of opportunities, which impacted on her life positively. While studying in South Africa, she recalls that she went through the stages of anger over apartheid. The realization of Zuleikha that one needed to be in politics to influence policy formulation prompted her to join politics. Initially, Zuleikha sought the Kaloleni parliamentary seat but was dissuaded. In parliament she has pushed the government to fund the National Youth Council.
6 May 2021 in National Assembly:
Mimi napiga kura ndio.
view
29 Apr 2021 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Spika, kwa kunipatia nafasi hii ili na mimi nichangie katika huu Mswada muhimu sana katika historia ya nchi yetu. Nilikuwa nimepanga hapo awali kuchangia Mswada huu kwa lugha ya Kingereza kwa sababu nilikuwa mmoja wa Wanachama katika Kamati. Tuliangazia masuala mengi ambayo yana utata na ambayo yametajwa ndani ya Bunge. Lakini kwa sababu kuna Waheshimiwa wenzangu waliokuja hapo awali kuzungumza mambo ambayo mengine yalikuwa si ya kweli, nimeona ni muhimu kuzungumza na kutoa mchango wangu kwa lugha ya Kiswahili. Hii ni kuhakikisha Wapwani, watakapoamua kupigia kura Mswada huu katika kura ya maoni, basi watapigia kura wakijua ukweli ...
view
29 Apr 2021 in National Assembly:
Kuna watu wanaouangalia Mswada huu kama umeletwa na aliyekuwa Waziri Mkuu, Mheshimiwa Raila Odinga na Mhe. Uhuru Kenyatta lakini kama nilivyosema hapo awali kuna njia mbili tu ya kubadilisha Katiba. Hao pia wana haki kama Mkenya mwingine kubadilisha Katiba iwapo wanataka hivyo kwa sababu ni Wakenya na wanapiga kura. Mhe. Millie Odhiambo alikuuliza jana maoni yako kama Spika; je katika haki za hii nchi, kuna Mkenya ambaye ana haki zaidi kuliko mwenzake? Nina uhakika utatuambia kuwa kila Mkenya ana haki sawa, ikiwa ni Mkenya wa kawaida au Rais wa nchi hii.
view
29 Apr 2021 in National Assembly:
Nikiongeza maoni mengine, Sehemu 50 ya Mswada huu inasema kuwa kaunti zetu zitaongezewa fedha kutoka asilimia 15 mpaka 35. Hili ni jambo nzuri kwa sababu kutoka mwaka 2013 tulipoanza ugatuzi, kaunti zimekuwa tu na asilimia 15. Wananchi wengi wameona faida na tofauti ya uongozi wa ugatuzi na uongozi wa Serikali ya juu. Iwapo mabadiliko yamekuja licha ya changamoto tofauti tofauti na asilimia 15, je asimilia 35 itaweza kuleta mabadiliko ya aina gani katika hii nchi? Kuna wale ambao wana propaganda na wanataka kuupinga Mswada huu kwa sababu zao na wanatatiza wananchi kwa kuwaambia iwapo Serikali inashindwa kutuma aslimilia 15 kwa ...
view
29 Apr 2021 in National Assembly:
walisahau kutuwekea kipengele cha kusawazisha jinsia hapa Bunge la Taifa. Th e Building BridgesIntitiative (BBI) inaleta hicho kipengele na hiyo shida itaisha. Tutakuwa nusu kwa nusu kijinsia katika Seneti. Wananchi katika kila kaunti watachagua maseneta wawili, mmoja wa kike na mmoja wa kiume. Hili ni jambo kubwa sana duniani. Hata nchi zinazoongoza kidemokrasia wameshindwa kufikia kiwango hiki. Jambo lingine ni katika viti vya gavana na naibu gavana. Italazimu kama gavana ni mwanaume, mdogo wake atakuwa mwanamke; kama gavana ni mwanamke, mdogo wake atakuwa mwanaume. Hiyo pia italeta nusu kwa nusu ya uwakilishi wa kijinsia. Haya ni mambo muhimu sana ya ...
view
23 Mar 2021 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. This Question was asked last year and it lapsed as well. I rise to ask Question No. 097/2021 to the Cabinet Secretary for the National Treasury and Planning: (i) Could the Cabinet Secretary explain why the thirty four (34) retired civil servants from Coast Region with the following Personal Nos. have not been paid their pension dues to date- (Personal Nos. 021492, 029116, 030373, 034166, 034383, 031139 and 034084 who retired in year 2014; 1977054282, 030474, 034514, 019420 and 061982 who retired in year 2015; 034386, 059038, 057976, 030366 and 034604 who retired in year 2016; ...
view
23 Mar 2021 in National Assembly:
(Kwale (CWR), ODM): Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker for giving me this opportunity. I also stand to support this Bill with the intention of improving the ease of doing business in the country.
view
23 Mar 2021 in National Assembly:
There are various clauses speaking of having one collection date for the NHIF and the NSSF remittances. This is welcome because many a times, employees suffer a lot when seeking services in hospitals only to be informed that they have not paid their remittances for that month. I also commend the NHIF for being very particular in this regard, and at least moving it to the 9th. The Government delays salaries because of the economic situation we are experiencing. This will help a lot in ensuring that employed Kenyans get access to healthcare when they need to.
view
23 Mar 2021 in National Assembly:
I also support the National Construction Authority (NCA) getting powers to establish causes of defects in buildings. Unfortunately, due to corruption in the country, many buildings have many defects resulting to them crashing and destroying people’s businesses and lives. Since we are speaking about businesses, they have brought a lot of losses to various small businesses.
view
23 Mar 2021 in National Assembly:
One thing I am concerned about in the Bill regards land issues. Clause 10 speaks about the Land Registration Act being amended by inserting a section that states that: “55A Notwithstanding any contrary condition contained in the lease, the Registrar shall dispense with the production of the written consent of the lessor under Section 54 and The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view