Zuleikha is grateful that her father’s postings abroad exposed her to a myriad of opportunities, which impacted on her life positively. While studying in South Africa, she recalls that she went through the stages of anger over apartheid. The realization of Zuleikha that one needed to be in politics to influence policy formulation prompted her to join politics. Initially, Zuleikha sought the Kaloleni parliamentary seat but was dissuaded. In parliament she has pushed the government to fund the National Youth Council.
23 Mar 2021 in National Assembly:
55 in respect of a lease where the Government is the lessor, before any dealing with the lease is registered”. I am concerned about this because sometimes in Kwale County, we see people’s land grabbed under the pretext that the Government wants to start some projects. Even though these may be good intentions, many times we have rogue Government officials who are out to make Kenyans poor. I also want to add that we cannot progress in this country if the general status of the economy is not very good. Recently after the death of President Magufuli of Tanzania, we ...
view
26 Nov 2020 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Naibu Spika, kwa nafasi hii na pia asante kwa kuzidi kutuelewesha kuhusu maswali haya kuwa kwa siku zijazo, tunaweza kuuliza kwa Kiswahili na ikatambulika kwa lugha hio. Kwa leo, vile imeandikwa kwa kiingereza, nitaendelea kuuliza kwa Kiingereza. Hon. Deputy Speaker, I stand to ask Question No. 354/2020 to the Cabinet Secretary for Transport, Infrastructure, Housing, Urban Development and Public Works. (i) Could the Cabinet Secretary explain the status and circumstances that led to the evictions of the residents living on the land around Ukunda Airport by the Kenya Airports Authority (KAA)? The electronic version of the Official ...
view
26 Nov 2020 in National Assembly:
(ii) Why is KAA insisting on building a perimeter wall before compensating residents of Mkwakwani Village in Ukunda Ward, Msambweni Constituency who hold title deeds and have already agreed to the relocation? (iii) When will the KAA and the National Land Commission (NLC) compensate residents with regard to their land and properties acquired for the expansion of Ukunda Airport? I thank you.
view
17 Nov 2020 in National Assembly:
(Kwale (CWR), ODM): Thank you, Hon. Speaker. I rise to ask the Cabinet Secretary for the National Treasury and Planning the following Question: (i) Could the Cabinet Secretary explain why the 34 retired civil servants from coast region whose personal numbers are here under have not been paid their pension dues to date - Personal Numbers: 021492, 029116, 030373, 034166, 034383, 031139 and 034084, who retired in 2014; 1977054282, 030474, 034514, 019420 and 061982 who retired in 2015; 034386, 059038, 057976, 030366 and 034604 who retired in 2016; 034167, 034068 and 019400 who retired in 2017; 053274, 058219, 034295, 034631 ...
view
8 Oct 2020 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. I rise to ask Question No.249/2020 to the Cabinet Secretary for Environment and Forestry: (i) Could the Cabinet Secretary explain the measures that have been put in place to ensure that complaints raised by the citizens in Mwavurubo Ward, Kinango Constituency regarding the release of hazardous waste by M/s SBNP Ventures Limited in Kenya are addressed? (ii) Could the Cabinet Secretary clarify whether due process was followed in the issuance of licences to M/s SBNP Ventures Limited, particularly on environmental matters and waste disposal? (iii) Could the Cabinet Secretary clarify whether the company actually adheres to ...
view
30 Jul 2020 in National Assembly:
Asante sana Bwana Spika kwa nafasi hii. Nataka kuuliza ni wapi Ripoti ya malalamishi ya wafanyikazi wa kampuni ya Kwale International Sugar Company imefikia. Tarehe 27, mwezi wa nane, mwaka wa 2015 katika Bunge iliyopita nilipokuwa Mbunge Maalum, nilileta malalamishi haya ama Petition na ukaambia Kamati ya Leba ishughulike na hiyo
view
30 Jul 2020 in National Assembly:
. Walitoa ripoti halafu wakaipa Kamati ya Utekelezaji, ama Committee on Implementation, kuhakikisha kuwa yale mambo waliyoambia Kampuni ifanye yanafanywa. Lakini tukaenda kupiga kura mwaka wa 2017. Bahati nzuri nikarudi kwenye Bunge la 12 na nikafufua tena Ripoti hiyo. Kamati ya Utekelezaji ikaanza kuita mikutano ya wahusika kuwahoji hapa Nairobi. Hawakurithika na majibu hayo na wakaamua kuenda Kaunti ya Kwale tarehe 29, mwezi wa tatu, mwaka jana. Saa ni mwaka mmoja tangu Kamati ya Utekelezaji ifike Kwale kwenda kuangalia hali ya wafanyikazi. Hadi leo, bado ripoti haijafika hapa Bungeni licha ya kuwa nimeshafuata viongozi wa Kamati hiyo mara kwa mara ...
view
25 Jun 2020 in National Assembly:
Asante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi kuchangia Hoja hii. Naunga mkono Ripoti ya Kamati ya Bajeti na Makadirio. Licha ya changamoto zilizotajwa na Wabunge wenzangu, nafurahi sana kwa sababu wafanyakazi katika sekta ya afya nchini wamepewa fedha za kununua vifaa vya kujikinga kutokana na maradhi ya Korona. Vile vile, wameongezewa marupurupu kuwasaidia kupigana na changamoto za kibinafsi zinazowakumba kwa sababu ya kupigana na ugonjwa huu wa Korona. Nimejua zaidi na nimeleta Hoja tofauti Bungeni kuhusiana na masuala ya afya na Wakenya wa kawaida wanavyoteseka kwa kuwa sekta hii ya afya haiendeshwi vizuri katika kaunti tofauti. Nasikitika ...
view
25 Jun 2020 in National Assembly:
Ningependa kusisitiza Kamati ya Afya hapa Bungeni na kule Seneti kuhakikisha kuwa hizi fedha zinafika kule zilikolengwa na ziziharibiwe vile zimekuwa zikiharibiwa. Kama muda utaniruhusu, nataka kumuunga mkono dadangu, Mhe. Gladwell kutoka Baringo, alivyosema kuwa mara nyingi Serikalini tunazungumzia shilingi bilioni moja kama pesa kidogo sana. Nafahamu kuwa Mheshimiwa Ichung’wah alijaribu kumrekebisha. Nataka kukubaliana na Mhe. Gladwel kuwa kwa Mkenya wa kawaida, kwa shilingi bilioni moja, akitoa shilingi elfu moja kila siku, atatumia hiyo pesa kwa miaka 2,739. Kwa hivyo, ni pesa nyingi. Naomba tujizatiti kama Bunge kuhakikisha kuwa hizi fedha zinafika kule zinakostahili. Ahsante.
view