Zuleikha Juma Hassan

Parties & Coalitions

Born

10th August 1979

Post

P. O. Box 169 - 80133 Mariakani

Email

akinatanga@yahoo.co.uk

Telephone

0705403237

Telephone

0721400882

Zuleikha Juma Hassan

Zuleikha is grateful that her father’s postings abroad exposed her to a myriad of opportunities, which impacted on her life positively. While studying in South Africa, she recalls that she went through the stages of anger over apartheid. The realization of Zuleikha that one needed to be in politics to influence policy formulation prompted her to join politics. Initially, Zuleikha sought the Kaloleni parliamentary seat but was dissuaded. In parliament she has pushed the government to fund the National Youth Council.

All parliamentary appearances

Entries 71 to 80 of 309.

  • 24 Oct 2018 in National Assembly: When will the residents of Mwamdudu area, Kwale County, who were affected during the construction of the Standard Gauge Railway (SGR) be compensated? view
  • 24 Oct 2018 in National Assembly: Hon. Deputy Speaker, I beg to ask the Cabinet Secretary for Water and Irrigation: view
  • 24 Oct 2018 in National Assembly: When will the residents of Mwache area, Kwale County, who were affected by the construction of Mwache Dam, be compensated? view
  • 20 Sep 2018 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Spika kwa kunipatia nafasi hii ya kuzungumza. Tulipiga kura kama wenzangu walivyosema na tukakataa na tukafaulu na Mhe. Naibu Spika wa Muda akakubali. Lakini baadaye, kukawa kuna wengine ambao wanataka tupige kura kupitia tarakilishi. Kwa hivyo, tukaweka kadi zetu na zikaonyesha idadi kubwa zaidi ya mia tatu hamsini na mbili. Kukawa na utatanishi kwa sababu hiyo idadi si ya jumla ya Bunge kwa hivyo, haiwezekani. Makarani wakaanza kutuhesabu sisi na vidole kwa kweli, huwezi kuhesabu watu katika chumba kikubwa kama hiki kwa vidole. Kwa hivyo, hiyo kura haiwezi kuwa halali. view
  • 20 Sep 2018 in National Assembly: Mlango ukafungwa lakini Serjeant-at-Arms wakawakubalia wengine kutoka. Mimi nimekuwa hapa Bunge kwa muhula wa pili na ninajua kwamba mlango ukifungwa Wabunge hawaruhusiwi kuingia na kutoka. Saa hizi, hakuna njia ya kuonyesha ni Mbunge yupi alikuwa ndani. Ni haki ya wananchi kujua ni nani yuko na wao na nani hawako na wao. Kwa hivyo, ninataka utusaidie tupate huo ujumbe. Shukrani sana. view
  • 6 Dec 2017 in National Assembly: Asante sana Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii ili nichangie Hoja hii inayohusu ulazimishaji wa shule na wananchi kupanda miti. Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, mwanzo, ningependa kumpongeza aliyeleta Hoja hii, Mhe. Chepkut. Kaunti ya Kwale pia imeadhirika sana. Kuna watu kama wawili katika kila eneo letu la Bunge ambao wamekuwa wakipata shida ya njaa. Kukata miti kunapoteza maji maana mizizi ya miti haiwezi kuweka maji kwa muda mrefu. Ukosefu wa maji unasababisha ukosefu wa chakula. Mwaka uliopita kuna sehemu zilikuwa na njaa. Ukosefu wa maji pia unasababisha upungufu wa miti shamba inayotumika kwa kutengenezea dawa ya kienyeji. ... view
  • 9 Feb 2017 in National Assembly: Asante Mhe. Naibu Mwenyekiti wa Muda kwa kunipa nafasi hii. Nataka kuunga mkono haya mabadiliko katika huu Mswada. Hii ni kwa sababu katika jambo muhimu kama hili ambapo vyombo vya Serikali vinabadilishwa viwe vya kibinafsi, kunatakikana watu wa kutosha. Kwa hivyo, nakubaliana na mabadiliko anayotaka Mhe. Wamunyinyi kwa hii sheria. view
  • 9 Feb 2017 in National Assembly: Asante sana, Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii ya kuchangia Mswada huu. Nataka kuunga sana mkono Mswada huu mwanzo kama mwakilishi wa vijana katika Bunge kwa sababu Mswada huu utawasaidia wale ambao ni wanyonge zaidi katika jamii kama wanawake, vijana na walemavu. Mswada huu unaruhusu wananchi kuomba mikopo kutoka kwa benki za kawaida kwa njia ambayo ni rahisi. Kawaida wananchi wakiwa wanataka senti ama mikopo, inabidi waende kwenye vyama vidogo vidogo vinavyoitwa microfinance katika lugha ya Kiingereza ambavyo wakati mwingine vinalipisha faida kubwa sana ama interest . Kitu kingine ni kuwa, kwa sababu katika Serikali, hivi sasa hatuna ... view
  • 9 Feb 2017 in National Assembly: huchukua muda mrefu na mara nyingi huwa ni pesa nyingi kwa mwananchi wa kawaida kutafuta kwa sababu ya kufanya mambo ya usoroveya na kadhalika. Wakati mwingine kuna wafanyikazi wa Serikali wenye kulipisha hongo kubwa. Kwa hivyo, sheria hii itaruhusu mwananchi wa kawaida kutoa vyombo vyake vyovyote vidogovidogo viwe kama garantii ya mkopo. Hivi ni vitu kama piki piki na mitambo. Uzuri wa sheria kama hii hususan kwa Kaunti ya Kwale inaruhusu mifugo watumike kama garantii ya wananchi kuweza kupata mikopo. view
  • 9 Feb 2017 in National Assembly: Naunga mkono sheria hii. Kwa kweli itasaidia wananchi walala hoi, ijapokuwa si ruhusa kwa Serikali kuaacha mamlaka yake ya kuhakikisha kuwa wananchi wanaendelea na maisha yao na wanagharamikiwa kwa mambo ya kawaida kama elimu na afya. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus