Parties & Coalitions

  • Not a member of any parties or coalitions

All parliamentary appearances

Entries 311 to 320 of 350.

  • 19 Jan 2023 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir, for giving me this opportunity to welcome the Senator for Elgeyo Marakwet. Before I do that, allow me to say Happy New Year to all Senators and to the Senator who has just joined us. Congratulations for your win and welcome. We will walk with you and I am sure you will deliver to the people of Elgeyo Marakwet like Sen. Murkomen did in this House. We expect you to do the same. If you are fitting in the shoes of Sen. Murkomen, the bar is high so tighten you belt. view
  • 20 Dec 2022 in Senate: Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa kuunga mkono Hoja hii. Ninaamini ya kwamba watu wachache wakitizama na kujadiliana jambo, wana uwezo mkubwa kuliko watu wengi. Kwa mfano, unaweza kuwapa watu wengi kazi na wafanye kazi kidogo lakini ukiwapa watu wachache, watafanya kazi nzuri. view
  • 20 Dec 2022 in Senate: Ninaahidi Seneta kwamba hatutakuwa na mapendeleo. Nimo katika Kamati hiyo na ninatoa hakikisho kwamba tutafanya kazi kwa uwazi na usawa, tukijua sisi ni watetezi wa ugatuzi, magavana, wananchi na mambo yote yanayotendeka katika kaunti. Hatutaegemea upande mmoja. Tutaangalia usawa na kufanya kazi vile inatakikana. view
  • 10 Nov 2022 in Senate: Asante, Bw. Spika. Ninakushukuru kwa kunipa fursa ya kuchangia Taarifa hii ya Sen. Crystal Asige. Watoto na watu wazima wanaoishi na ulemavu wanakumbwa na shida nyingi haswa wanaposafiri. Usafiri ni mgumu kwao kwa sababu wanatembea na kusafiri kwa njia ngumu sana. Wanaosukumwa kwa wheelbarrows na wheelchairs wanapata matatizo mengi sana wanaposafiri. Ni lazima amri itolewe ili waweze kulindwa. Watoto aina hii wanapoenda shuleni, pia wanapata matatizo mengi upande wa mawasiliano haswa wale visiwi. Walimu nao hawawezi kuwafunza kwa Lugha ya Ishara ambayo wangefahamu. Wanapitia shida hata upande wa vyakula. Wengi wao wamezaliwa katika familia zisizojiweza. Unapata mama hawezi kuondoka nyumbani ... view
  • 10 Nov 2022 in Senate: Wanapata shida kupata matibabu. Mtoto anapokuwa mgonjwa, inabidi mamake ambebe hadi hopitalini. Wazazi wengine hawana uwezo wa kukomboa gari ama boda boda. Unakuta mama amebeba mgongoni mtoto mzito kwa sababu ni mtoto wake. Nashukuru sana Sen. Crystal Asige kwa kuleta Taarifa hii. Namatumai ukipelekwa kwenye kamati ambayo inastahili, watahakikisha kwamba Serikali itachukua hatua. Bw. Spika, naunga mkono . view
  • 9 Nov 2022 in Senate: Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir, for giving me this opportunity to read my Statement. I rise pursuant to Standing Order No. 53(1), to seek a Statement from the Standing Committee on Tourism, Trade and Industrialization, regarding the Revocation Notice of Drumvale Farmers’ Co-Operative Society Limited vide Gazette Notice No.8427. In the Statement, the Committee should - (1) Apprise the Senate on the status of the Revocation Notice of Drumvale Farmers Co-Operative Society Limited as per the Gazette Notice No. 8427of 6th July, 2022, to full registration. (2) State the status of convening members of the said society as directed ... view
  • 9 Nov 2022 in Senate: Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. We should remember the rules of this House. I will repeat No. 2. (2) State the status of convening members of the said society as directed to the Director of Co-operatives - Nairobi City County, by the Commissioner for Co-operative Department, in his letter dated 9th September, 2022. (3) Apprise the Senate on any malpractices noted in the liquidation process, proposing disciplinary action on the culpable officer. Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. view
  • 9 Nov 2022 in Senate: Ahsante, Bw. Naibu wa Spika, kwa kunipa nafasi hii ili niweze kuchangia na kucongratulate IG kwa uteuzi wake. Nataka kumpongeza na maafisa wote wa polisi kwa ajili ya kazi nzito ambayo wanafanyia taifa hili. Polisi wanafanya kazi nzito sana. Wakati ambapo mvua inanyesha, wao huwa inje wakichunga wananchi. Wao huwa nje usiku pia wakichunga wananchi. Mara nyingi, huwa tunaona tu yale mambo madogo ambayo wanatenda lakini hatuoni mambo makubwa ambayo wanatendea taifa kwa sababu polisi wamejitolea kufanya kazi. Mara nyingi wanahatarisha maisha yao. Wanaposikia kuwa hatari imetokea mahali fulani, huwa wanakimbia pale kuangalia kile ambacho kimetokea. Tumepoteza askari wengi kupitia ... view
  • 9 Nov 2022 in Senate: Ahsante, Bw. Naibu wa Spika. Ninamshukuru mwenzangu lakini hata yeye amekosea akimaliza. Polisi wanafanya kazi mzito sana. Kwa hivyo, ninamwombea huyu IG mpya ambaye ameteuliwa na Raisi wetu, (Dr.) Wiliam Samoei Ruto, ili aweze kuwa na uvumilivu kwa sababu hii kazi sio rahisi. Huwa wananyoshewa kidole cha lawama mara nyingi ilhali hao pia ni binadamu kama sisi. Ningeomba pia aangalie maslahi ya polisi wenzake haswa jinsi wanavyoishi kule mashinani. Nyumba ambazo afisa wa polisi wanaishi ni duni kabisa na hata watu wanaosemekana kuwa wanafanya kazi hawastahili kuishi humo. Ninaomba pia Serikali yetu iweze kuangalia maslahi ya polisi. Itakuwa vyema kama ... view
  • 25 Oct 2022 in Senate: Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. It is good to know that you have at last noticed that we want to contribute to the lands issue, but let me take this opportunity to, first, join you and Sen. Maanzo in welcoming the students from Nduundune in Makueni County to the Senate. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus