14 Mar 2023 in Senate:
There are countless places facing this issue in Machakos County. In Portland, we have a lot of issues where citizens of Machakos County have pieces of land, but they cannot access them because they have been sold to other people who have title deeds. They put goons there so that the owners cannot access their land They want to see justice being done to them so that they get their title deeds. Every Kenyan has a right to own a title deed and a home. Since those Kenyans are hardworking, they deserve to possess what belongs to them.
view
9 Mar 2023 in Senate:
Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii niweze kuchangia mjadala huu. Kwanza nitampa kongole Kiongozi wa Walio Wengi, Sen. Cheruiyot kwa kuleta ombi hili. Kwa hakika, si Wakipsigis ambao wana shida kutokana na matokio ya ukoloni.
view
9 Mar 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
9 Mar 2023 in Senate:
Karibu kila pahali Kenya kuna shida maana wakati tulipokuwa chini ya Wakoloni, walinyakua mashamba kila mahali. Pahali walipoona mashamba mazuri, waliyanyakua. Nikizungumzia juu ya Ukambani, kuna Street inaitwa Muindi Mbingu hapa Nairobi. Hao mpaka waleo wanakutana mahali wakidai ng’ombe wao ambao waliuliwa na hao masettlers . Wakati walisettle huko walileta ng’ombe aina ya freshians na wakasema wale ng’ombe wa locals, wote wauliwe kwa sababu wangeambukiza ng’ombe wao magonjwa na kuleta vifo. Kwa hivyo, ng’ombe wote waliokuwa katika maeneo hayo waliuawa. Baadhi ya hao watu walikufa na wengine wako hai. Wengine, wajukuu wao na vitukuu wanaendelea kudai ng’ombe wao. Kwa hivyo, ...
view
8 Mar 2023 in Senate:
Bw. Spika, asante kwa kunipa fursa hii ya kuchangia Ardhilhali hii ambayo imeletwa Seneti na Bw. Philip K.A. Too. Ni jambo la kuhuzunisha sana kuona walimu wetu ambao wanafanya kazi kubwa sana ya kutoa ujinga kwa wanadamu; wanastaafu na hawapati haki yao. Wakati mtu anafanya kazi anatarajia kwamba atakapostaafu atapata marupurupu yake ya kujiendeleza katika maisha ya uzee. Mtu anapofikisha miaka 60 na kustaafu huwa anategemea yale marupurupu yake. Ni ajabu kuona ya kwamba kutoka mwaka wa 1997 mpaka mwaka wa 2007, kuna walimu walistaafu na mpaka sasa hawajalipwa.
view
8 Mar 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
8 Mar 2023 in Senate:
Bw. Spika, ninaunga mkono hii ardhilhali ili walimu hao walipwe marupurupu yao. Ningependa pia kugusia swala la madiwani ambao walistaafu. Ilisemekana kuwa watapewa marupurupu yao ili kujiendeleza. Kutoka wakati mjadala huo uliletwa katika Seneti na Sen.Wambua mpaka leo hakuna jambo lolote ambalo limefanyika. Bw. Spika, ninaomba Rais wetu Bw. William Samoei Ruto, pamoja na Cabinet
view
8 Mar 2023 in Senate:
wa Elimu waangalie suala hili ili walimu na madiwani wale ambao walistaafu wapokee malipo yao. Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii.
view
8 Mar 2023 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir, for the opportunity. I join my colleagues to first congratulate Dr. Susan Koech for her appointment as the Deputy Governor of the Central Bank of Kenya. I am grateful to our President because he has appointed several women in different positions. I am proud of every woman climbing the ladder because for many years, women were left behind. However, recently many women are climbing the ladder. Mr. Speaker, Sir, when Dr. Susan Koech enters that office, she should make women proud by working hard and delivering on the mandate and the honour she has been ...
view