Aisha Jumwa Katana

Parties & Coalitions

Email

skcharo@yahoo.com

Telephone

0712055922

Telephone

0703176492

All parliamentary appearances

Entries 31 to 40 of 68.

  • 11 Apr 2018 in National Assembly: Kuna sheria ambayo tayari imeshapitishwa kama Cancer Control and Prevention Act, view
  • 11 Apr 2018 in National Assembly: ambayo inaangalia masuala ya kuzuia, kuthibithi na matibabu katika taifa letu la Kenya. Lakini sheria kama hizi zimepewa kisogo na Serikali. Hazipewi kipau mbele na hazina ufadhili wa kutosha wa kuziwezesha kulishughulikia suala la kukinga, kuthibithi na hata kutibu saratani. Vipengele vya 4 na 20 vya sheria hii…. Ni vyema sisi kama Wabunge ambao tunaadhiriwa na jambo hili moja kwa moja kwa kuhusika katika michango kusaidia wagonjwa katika maeneo yote kwa njia moja ama nyingine ili wapate matibabu... Majibu tunayoyapata baadaye si ya kuridhisha. Mara vifo vinatokea wakati tumechanga pesa zetu kiasi ili mgonjwa apate matibabu. Ndio maana nataka nimpongeze ... view
  • 11 Apr 2018 in National Assembly: Taasisi zilizoko kama Kenya Cancer Registry inatupea tarakimu zinazotusaidia katika mipangilio ya kuhakikisha ya kwamba tunazitengea mgawo wa kutosha ili zihakikishe ya kwamba... Naunga mkono. view
  • 11 Apr 2018 in National Assembly: That is my surname. view
  • 8 Nov 2017 in National Assembly: On a point of order, Hon. Temporary Deputy Speaker. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 8 Nov 2017 in National Assembly: Asante, Bw. Naibu Spika wa Muda. Ninaomba nikukumbushe kwamba katika Bunge hili kuna jinsia mbili na sisi sote tuko hapa kama Wabunge. Ninawasihi macho yenu yawe yanaweza kuangazia jinsia ya kike pia. view
  • 8 Nov 2017 in National Assembly: Asante. view
  • 21 Apr 2016 in National Assembly: Asante sana, Naibu Spika wa Muda. Nimesimama kuunga mkono Mswada huu wa marekebisho. Ni wajibu wa kila mmoja kuwa katika uongozi. Akina mama wameshindwa kufika kwenye Bunge la kitaifa na kwenye mabunge mengine kule nyanjani kwa sababu ya ukosefu na udhaifu wa kiraslimali. Kwa hayo machache, naunga mkono. view
  • 21 Apr 2016 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nachukua nafasi hii kwanza nimpongeze Kiongozi wa Walio Wengi katika Bunge hili la Kitaifa kwa sababu ya Mswada huu tunaendelea kuujadili. Nauunga mkono kwa sababu ya marekebisho ya kikatiba ambayo tunaenda kuyahitimisha tutakapofika tarehe 27. view
  • 21 Apr 2016 in National Assembly: Kenya ni nchi ya kidemokrasia na pia vile vile ina mashirika mengi sana ya kijamii ambayo yamekuwa na mchango mkubwa sana katika Mswada huu kwa kuitekeleza marekebisho haya ya kikatiba. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus