Aisha Jumwa Katana

Parties & Coalitions

Email

skcharo@yahoo.com

Telephone

0712055922

Telephone

0703176492

All parliamentary appearances

Entries 71 to 80 of 131.

  • 29 Apr 2021 in National Assembly: Asante. view
  • 29 Apr 2021 in National Assembly: Asante. Kuhusu Mswada ambao ulipelekwa katika mabunge yetu ya kaunti, tulipata kujua kwamba Mwenyekiti wa IEBC alipata copy moja, ikawa gazetted. Lakini zile ambazo zilipelekwa katika County Assemblies kuzungumziwa zilitoka katika Secretariat ya BBI. Zilipofika kwa Mwenyekiti, Bw. Chebukati, hazikuwa Bills ambazo zimekuwa gazetted. Mimi nataka niseme hilo peke yake linamaanisha kwamba tayari sheria ilikuwa imehujumiwa. Hii ni kwa sababu zile Bills ambazo zilipelekwa kule katika mabunge yetu ya kaunti nyingine zilikuwa sawa ilhali nyingine hazikuwa sawa. Kwa sababu hiyo, mimi napinga. Hatujui hata leo tukipitisha huu Mswada kama Bunge la taifa kama kuna ukweli kwamba Mswada huo tumeupitisha ndio ... view
  • 29 Apr 2021 in National Assembly: Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, Kiswahili kitukuzwe. Tumetoka kwenye mapumziko na tukaitwa hususan kwa kikao maalum. Kwa hivyo, hapo hakuna hoja ambayo inatatiza. Labda pia ningekushauri ukapata mafunzo ya darasa la Kiswahili maanake ni lugha ambayo inatambulika na inaeleweka kikatiba. Wananchi katika taifa letu wametupa nguvu zao kuweza kuwasemea katika Bunge hili. Leo wananchi wanaumia na ugonjwa wa korona na Oxygen katika hospitali zetu hakuna. Watu wamechukua loans na wanakufa na depression. Watu wana mizigo mikubwa. Leo sisi tunakuja hapa kuzungumzia Bill ambayo kwanza inaongezea mzigo Wanjiku ambaye tayari saa hii ana The electronic version of the Official Hansard Report ... view
  • 29 Apr 2021 in National Assembly: mzigo wa kutulipa mishahara sisi Wabunge 416. Tunazungumzia kumwongezea mzigo wa 650 wa Wabunge. Wabunge tunaupata mshahara wetu kikamilifu. Lakini walioko kule nje wanaumia. Ukiangalia biashara ya utalii na Transport Industry, utapata watu ambao wamefinyiliwa. Sekta nyingi za watu ambao wanafanya biashara katika nchi hii ya Kenya zimeumia. Ni mikakati gani ambayo sisi kama Bunge ama kama taifa, kwa niaba ya mwananchi wa chini, tumeweka? Ukiangalia hakuna. Bibilia inasema katika Kitabu cha Mathayo 6:33 kwamba tuutafute ufalme wa mbinguni na vyote tutaongezewa. Lakini katika taifa la Kenya, tunasikia kwamba tutafute BBI na mizigo yote tutaongezewa. Tutaongezewa ushuru kwa sababu ya ... view
  • 29 Apr 2021 in National Assembly: Kwa hivyo, mimi ninataka kusema kuwa jambo hili litawarudia wananchi. Ninataka kuongee na taifa kwamba hakuna atakayeweza kuutoa huu mzigo kwa wananchi isipokuwa wao wenyeye. view
  • 19 Nov 2020 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Kwanza, nimesimama kupongeza Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Kenya aliyoitoa wiki iliyopita. Ni jukumu lake kikatiba kufika mbele ya Bunge na kutoa ratiba ya vile nchi na maendeleo ya kitaifa yanavyopaswa kuendelea na jinsi yalivyo na tunavyopaswa sisi kama taifa kuendelea Kitu ambacho kimenigusa sana ni kuhusu ile hospitali ambayo alisema hospitali ya kuangalia maswala ya akili; Hospitali ya Mathari. Na hata niseme hivi na mimi nikiwa ni shahidi wa juzi tu ya kwamba hospitali hii ama taasisi hii inahitaji kuangaliwa kwa umakini sana. Kule nje Wakenya wanaumia kwa sababu kuangaliwa akili ... view
  • 19 Nov 2020 in National Assembly: tuko na cover kubwa. Kwa nini basi tusiangalie tena tukabadilisha vifungo na kusema ya kwamba labda cover zetu zipelekwe katika bima ya kitaifa na sisi wote kama Wabunge tuwe tunatibiwa katika hospitali za hapa nchini ambazo si private, but public hospitals? view
  • 17 Sep 2020 in National Assembly: Hon. Deputy Speaker, I rise to ask the Cabinet Secretary for Agriculture, Livestock and Fisheries the following Question. (i) With regard to the conceptualisation and development of the Galana-Kulalu Irrigation Project, which cuts across Kilifi and Tana River counties, why did the Government proceed to lease land from residents without undertaking public participation and stakeholder engagements as provided for under Articles118 and 232 of the Constitution? (ii) In which aspects has the National Government engaged the Kilifi and Tana River counties in the project, especially with regard to employment opportunities, research and infrastructural development? (iii) Could the National Government consider ... view
  • 17 Sep 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker. view
  • 17 Sep 2020 in National Assembly: Thank you. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus