Ali Menza Mbogo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 91 to 100 of 292.

  • 29 Nov 2023 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda. Pia mimi ningependa kuchukua fursa hii kumpongeza aliyeleta Hoja hii. Ni muhumu sana kubuni kamati ya kitaifa itakayo washughulikia wazee, ambao ni chombo muhimu sana. Katika uzeeni, kuna matatizo mengi sana. Wazee wanahitaji chombo ambacho kitawalinda kwa sababu wametumikia taifa katika ujana wao. Kuna wengine waliokuwa katika jeshi la usalama na jeshi la kulinda taifa la ndani na nje, ambao wameathirika katika shughuli hizo. Kwa mfano, wengi wanapofika umri wa uzee, wanafuatwa na maradhi mengi sana. Wakati askari anapokuwa katika gwaride, anatumia nguvu na kutembea sehemu nyingi, akipanda na kushuka milima. Baadaye, yale maradhi, ... view
  • 29 Nov 2023 in National Assembly: na taratibu nyingi za kuwatetea wazee hao. Katika upande wa matibabu, wakifika umri wa 65 hadi 70, wawe wanatibiwa bure. Hii ni kwa sababu wenye bima, ukiwa na umri wa 60, wanakukataa kwa sababu wanajua umefikia wakati ambao maradhi yanaongezeka. Lakini maradhi hayo yanatokana na jukumu waliofanya kutetea taifa hili. Hao wanajeshi wazee wastaafu walikuwa wakilinda nchi kabla yao. Wako katika jeshi la polisi. Katika makampuni yaliyo katika taifa, wazee walizitetea zikastawi na ndio maana wale vijana wapo pale mpaka leo. Kwa hivyo, ninaomba tuwalinde wazee wetu ili maisha yao ya mbele yawe sawa. Nchi za ulaya zimetenga sehemu. Huwezi ... view

  • 22 Nov 2023 in National Assembly: Hon. Temporary Speaker, I am waiting to contribute to the next Order. view

  • 22 Nov 2023 in National Assembly: The next Order. view

  • 21 Nov 2023 in National Assembly: Asante sana, Bi Spika wa Muda kwa kunipa nafasi nami niweze kuchangia Mswada huu unaohusu janga la mafuriko. Ninaunga mkono kuwa mafuriko yatangazwe kuwa janga la kitaifa kwa sababu yameathiri wananchi pakubwa. La kusikitisha ni kuwa wananchi hawakutayarishwa sawasawa. Kulitangazwa kuwa El Nino ingekuja lakini baadaye tangazo hilo likakanushwa kufikia viongozi kuomba msahama kwenye runinga. Wananchi walitulia wakijua kuwa hali ni shwari. Ghafla bin vu, mvua ikanyesha usiku kucha na kusomba mifugo na vyakula. Watu wameathirika pakubwa. Eneo Bunge la Kisauni limeathirika pakubwa na mafuriko haya. Wadi saba ninazowakilisha zimekumbwa na mafuriko. Vyakula vimesombwa na maji na nguo zimebebwa. Watoto ... view

  • 21 Nov 2023 in National Assembly: kukabiliana na El Nino . Hatujui anayesema ukweli ni nani. Serikali kuu imesema kuwa imetoa pesa za kukabiliana na mafuriko lakini Gavana anasema hajapokea chochote. Labda wanamwambia atumie fedha za kaunti lakini pesa zimepangiwa na huwezi kutumia pesa zilizopangiwa na kuzitumia zisivyo. Hii itamletea taabu wakati wa audit . Tunaomba Serikali ilichukulie jambo hili kuwa muhimu sana na kulitilia maanani. Watu wanateseka sana, na haswa katika eneo Bunge la Kisauni linahitaji msaada. Tumehangaika sana. Maji yanafika hadi magotini. Sisi huko ni maskini sana. Vyoo vyetu vingi huwa ndani ya nyumba. Kwa hivyo, maji yakijaa vyooni yanaingia vyumbani. Hali hii ni ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus