Ali Menza Mbogo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 101 to 110 of 292.

  • 21 Nov 2023 in National Assembly: kukabiliana na El Nino . Hatujui anayesema ukweli ni nani. Serikali kuu imesema kuwa imetoa pesa za kukabiliana na mafuriko lakini Gavana anasema hajapokea chochote. Labda wanamwambia atumie fedha za kaunti lakini pesa zimepangiwa na huwezi kutumia pesa zilizopangiwa na kuzitumia zisivyo. Hii itamletea taabu wakati wa audit . Tunaomba Serikali ilichukulie jambo hili kuwa muhimu sana na kulitilia maanani. Watu wanateseka sana, na haswa katika eneo Bunge la Kisauni linahitaji msaada. Tumehangaika sana. Maji yanafika hadi magotini. Sisi huko ni maskini sana. Vyoo vyetu vingi huwa ndani ya nyumba. Kwa hivyo, maji yakijaa vyooni yanaingia vyumbani. Hali hii ni ... view
  • 15 Nov 2023 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa ya kuchangia Hotuba hii ya Mhe. Rais iliyokuwa hapa Alhamisi iliyopita. Kwa kweli, Wakenya wengi walitegemea kusikia ni vipi hali ya gharama ya maisha itashuka ama kupunguzwa makali yake. La kusikitisha ni mizigo mizito ya kodi kwa Wakenya. Hatupingi kodi lakini mapato ya Wakenya yanazidi kupungua. Hivi sasa watu wananunua unga robo. Tujiulize sisi hapa: Ni vipi tutakunja sera ya kodi bila kuvunja migongo ya Wakenya? Mhe. Spika wa Muda, Kenya si Ulaya wala Marekani. Sera ya kodi yafaa kuzingatia hali ya uchumi. Ifahamike kwamba uchumi wetu hutegemea wengi ambao mapato ... view

  • 15 Nov 2023 in National Assembly: chini. Bila shaka, hustlers hawawezi kulipa kodi kama ilivyo katika nchi zilizostawi. Ndiposa ninasema tukunje bila kuvunja mbavu za Wakenya. Kushusha bei ya mbolea ni jambo muhimu sana Mheshimiwa Rais amefanya. Hii ni kwa sababu hili linakata gharama ndogo za wakulima. Lakini, shida bado iko palepale. Gharama ya mbolea imeshuka lakini mkulima lazima ataenda dukani kununua ile mbolea ilhali anatumia chombo kinachotumia mafuta kumletea mbolea ile katika shamba lake. view

  • 15 Nov 2023 in National Assembly: Mhe. Spika wa Muda, anapofika shambani, lile tingatinga linalolima linatumia mafuta ambayo ni gharama vile vile. Akimaliza, mazao yanakuwa ni mengi kweli. Lakini, kuyasafirisha mpaka viwandani anatumia tena vyombo vya mafuta. Akifika viwandani vile vile, kama ile bidhaa ni ya kusagwa, inatumia mafuta tena kusaga ambayo bado ni gharama. Akitoka pale kupeleka sokoni, bado anatumia gharama tena kubwa zaidi. Cha muhimu ni tuangalie vipi tutashukisha bei ya mafuta kwa sababu ndiyo inachangia kila jambo ambalo linafanya hali ya maisha kuwa magumu. Mbolea ni sawa lakini bei ya mafuta lazima iangaliwe vipi itashukishwa. Watu wengi, hasa wa Kisauni na pwani kwa ... view

  • 15 Nov 2023 in National Assembly: Suala la kulaumu Serikali iliyopita lazima likome na liishe kwa sababu tangu Serikali hii ichukue mamlaka ni mwaka mzima. Vipi tunakaa na kulaumu ile Serikali iliyotoka? Hata watu wamewasahau waliotoka. Vipi nyinyi mko hapa bado na mnawalaumu? Kaeni chini muone mna mipango gani ya kuweza kuboresha hali ya maisha badala ya kulaumu Serikali iliyopita. Kuhusu ajira ya walimu 56,000, kwa kweli inatangazwa tu lakini wengi hatuoni. Kama ingefanywa kihaki, kila eneo bunge lingepata walimu 193. Angalau, kila mtu angeona walimu wameajiriwa. Ukija katika Eneo Bunge la Kisauni, ni walimu wawili pekee ambao wameajiriwa. Hatuhisi kama walimu wameajiriwa. Lazima kuwe na ... view

  • 25 Oct 2023 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi ili pia nikemee na kulaani ubomoaji wa majumba uliofanyika Mavoko. Ni jambo la kusikitisha, kuhuzunisha na kushangaza. Mimi nimeomba kuzungumza tangu saa nane na nusu - nimebonyeza kitufe cha ombi tangu Hoja hii ikija. Lakini kwa sasa, ninakushukuru kwa kunipa nafasi hii. Ni kwa sababu tunataka kukemea hili jambo ili lisifanyike tena sehemu nyingine nchini. Ndio sababu tunakaa kwa muda mrefu. Hata ukiweka kikao hadi saa saba tutakaa. Hili ni jambo la kusikitisha. Watoto, akina mama na wazee wametoa machozi pale. Mtoto hajui jinsi amnyamazishe babake; baba hajui iwapo amnyamazishe mtoto; ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus