25 Oct 2023 in National Assembly:
Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi ili pia nikemee na kulaani ubomoaji wa majumba uliofanyika Mavoko. Ni jambo la kusikitisha, kuhuzunisha na kushangaza. Mimi nimeomba kuzungumza tangu saa nane na nusu - nimebonyeza kitufe cha ombi tangu Hoja hii ikija. Lakini kwa sasa, ninakushukuru kwa kunipa nafasi hii. Ni kwa sababu tunataka kukemea hili jambo ili lisifanyike tena sehemu nyingine nchini. Ndio sababu tunakaa kwa muda mrefu. Hata ukiweka kikao hadi saa saba tutakaa. Hili ni jambo la kusikitisha. Watoto, akina mama na wazee wametoa machozi pale. Mtoto hajui jinsi amnyamazishe babake; baba hajui iwapo amnyamazishe mtoto; ...
view
25 Oct 2023 in National Assembly:
Walipewa approvals . Kuna halmashauri ya ujenzi iitwayo NCA au the National Construction Authority iliyowapa approvals . Halmashauri ya mazingira au National Environment Management Authority

18 Oct 2023 in National Assembly:
Ninakushukuru Mhe. Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi kupenyeza sauti yangu, ingawa nilikuja mapema nikitaka kuzungumzia mambo ya ajali barabarani lakini sikupata nafasi. Ninaipongeza Kamati kwa kuja na kanuni za kulinda afya za wananchi, kwa sababu taifa lenye nguvu ni lile ambalo wananchi wake wana afya. Ni vyema sana wale wanaouza madawa wawe ni watu ambao wana ujuzi huo, sio tu wanapeana. Hii ni kwa sababu mara nyingi, daktari anapoandika madawa, wanarudi wanasema: ‘Hizi hakuna, lakini hizi zinafanana.’ Kwa hivyo, zingine zinadhuru wananchi. Pia, wananchi wanafaa waelezwe kwa makini kwamba, ‘dawa hii unatumia madhara yake ni haya.’ Dawa nyingi ziko ...

Asante sana, Mhe. Naibu Spika. Nimesubiri ya kutosha ili niweze kutia shime mswada huu ambao umeletwa na Mhe. King’ara. Mimi pia ninaungana na wenzangu kuunga mkono kwamba ardhi za umma ziweze kupata stakabadhi. Ni aibu sana kuwa mpaka sasa, miaka 50 tangu tupate uhuru, shule zote za umma hazina hatimiliki. Ziko tu na zinasemekana ni za umma lakini haijulikani stakabadhi zake zipo wapi na ardhi zao ni za aina gani. Nikitilia mkazo maneno yaliyozungumzwa na Mhe. King’ara, imefika wakati hata miradi ya Serikali haina mahali pa kujengwa kwa sababu hakuna ardhi. Hata sisi upande wa National Government Constituencies Development Fund ...

majengo mengi. Haya mambo hayakuanza leo; yalianza wakati wa manispaa kabla ya serikali za ugatuzi. Ugawanyaji wa ardhi hauwezi kupita bila kuonyesha public utility ni zipi. Kwa kuwa mpangaji atapangisha wananchi, hawatatoka juu mbinguni wakianguka chini. ni muhimu wawe na barabara ya kutoka nje na kurudi ndani. Ni muhimu wawe na sehemu maalum ya taka ambayo si ya mpangaji bali mali ya umma. Wale wanaoenda kanisani na muskitini lazima wawe na sehemu ya kuabudu. Wale wanaoabudu Jumamosi pia wawe na sehemu yao ya kuabudu. Ikiwezekana, ardhi za umma zifanyiwe auditing kuanzia wakati manispaa zilipokuweko, ili kama ardhi hizo zingalipo zirudi ...
view