6 Dec 2023 in National Assembly:
Mhe. Bady havai kofia. Mimi ndiye huvaa kofia. Swali langu kwa Waziri ni kwamba, Mheshimiwa Rais alikuja Kisauni akaanzisha rasmi ujenzi wa barabara ya kutoka Kiembeni kuelekea Mwakirunge hadi Bondora lakini alipoondoka mahali pale, tingatinga zote zilimfuata.
view
6 Dec 2023 in National Assembly:
Hakuna kitu kinachoendelea. Leo atueleze ana mipango gani na ni nini kinachoendelea. Asante.
view
29 Nov 2023 in National Assembly:
Ningependa pia kuchukua nafasi…
view
29 Nov 2023 in National Assembly:
Ningependa pia kuchukua nafasi…
view
29 Nov 2023 in National Assembly:
Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda. Pia mimi ningependa kuchukua fursa hii kumpongeza aliyeleta Hoja hii. Ni muhumu sana kubuni kamati ya kitaifa itakayo washughulikia wazee, ambao ni chombo muhimu sana. Katika uzeeni, kuna matatizo mengi sana. Wazee wanahitaji chombo ambacho kitawalinda kwa sababu wametumikia taifa katika ujana wao. Kuna wengine waliokuwa katika jeshi la usalama na jeshi la kulinda taifa la ndani na nje, ambao wameathirika katika shughuli hizo. Kwa mfano, wengi wanapofika umri wa uzee, wanafuatwa na maradhi mengi sana. Wakati askari anapokuwa katika gwaride, anatumia nguvu na kutembea sehemu nyingi, akipanda na kushuka milima. Baadaye, yale maradhi, ...

na taratibu nyingi za kuwatetea wazee hao. Katika upande wa matibabu, wakifika umri wa 65 hadi 70, wawe wanatibiwa bure. Hii ni kwa sababu wenye bima, ukiwa na umri wa 60, wanakukataa kwa sababu wanajua umefikia wakati ambao maradhi yanaongezeka. Lakini maradhi hayo yanatokana na jukumu waliofanya kutetea taifa hili. Hao wanajeshi wazee wastaafu walikuwa wakilinda nchi kabla yao. Wako katika jeshi la polisi. Katika makampuni yaliyo katika taifa, wazee walizitetea zikastawi na ndio maana wale vijana wapo pale mpaka leo. Kwa hivyo, ninaomba tuwalinde wazee wetu ili maisha yao ya mbele yawe sawa. Nchi za ulaya zimetenga sehemu. Huwezi ...

22 Nov 2023 in National Assembly:
Hon. Temporary Speaker, I am waiting to contribute to the next Order.