17 Apr 2024 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Spika wa Muda kwa kunipa fursa ya kuchangia suala hili la ajali barabarani ambalo limeleta hasara kubwa katika taifa letu. Ni huzuni kubwa jinsi tanavyopoteza maisha katika barabara zetu. Pia, kuna kubadilishwa kwa hali ya kimaumbile ya watu wetu; mtu anatoka nyumbani akiwa mzima na anaporudi baada ya wiki moja ni mlemavu. Hiki ni kitu cha kusikitisha sana katika barabara zetu. Mhe. Bady ambaye ni mwanakamati wa Kamati ya Uchukuzi, amezungumza wazi wazi juu ya mambo ambayo yanafaa kurekebishwa. Mimi nitazingatia Wizara ya Barabara. Wizara hii inahitajika kuwekeza ili ipunguze ajali. Ukienda nchi za Ulaya na nchi ...
view

13 Mar 2024 in National Assembly:
Ahsante sana Mhe. Spika wa Muda kwa kunipa fursa ya kuchangia Ripoti hii muhimu sana. Lakini kabla ya hilo, ninakupa tahadhari kwamba nilingia Jumba hili saa nane na dakika ishirini, nikaweka kadi yangu ikawaka. Mhe. Spika alipitisha hapa kwamba Wabunge watakuwa wakitumia mbinu ya kidijitali kwa kutumia kadi zao. Hivyo, ni vyema sana wahusika washughulikie jambo hili. Hatuwezi kuketi na kujihisi wanyonge kuona wengine wakija baada yetu na kuzungumza ilhali tumekaa tangu saa nane.