Ali Menza Mbogo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 51 to 60 of 287.

  • 24 Apr 2024 in National Assembly: tunalindwa. Hatuwezi kuwa na maendeleo kama hatuna ulinzi wa nje. Lakini, kuna vikosi vya ulinzi wa ndani ambavyo havilali. Nilifanya kazi katika kikosi cha General Service Unit (GSU) miaka tisa. Najua kazi ngumu wanayofanya. Wanaishi msituni mpaka wanafanana na nugu. Kuna wakati tulikuwa Chepchoina tukipambana na wezi wa mifugo. Kukatokea shida Mount Elgon kule juu na sisi tulikuwa katikati. Tulisikia kelele za wananchi kule juu. Ikabidi twende kule juu. Wale majambazi walikuwa wanarusha risasi kuja chini - risasi ambazo zilikuwa zinawaka moto. Lakini, tulienda kuokoa maisha. Kwa hivyo, hata vikosi vyetu vya usalama wa ndani vinapata shida sana. Ni vizuri ... view

  • 23 Apr 2024 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Spika kwa kunipa fursa na mimi nipenyeze sauti yangu kusema pole kwa ndugu, jamaa, marafiki na familia za wanajeshi waliopoteza maisha yao siku ya Alhamisi. Sisi, kama Eneo Bunge la Kisauni, tumempoteza Brigadier Swale Saidi. Alikuwa kijana shupavu mwenye mategemeo yake makubwa kwamba huko mbeleni, angechukua nafasi kubwa katika familia ya jeshi. Lakini kila kitu ni mpango wa Mungu. Kikubwa tunasema tunawaombea Mwenyezi Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi, na awasamehe dhambi zao. Ni vyema sana pia sisi, kama taifa, tufanye uchunguzi wa kina ili kujua sababu ya kuanguka kwa ndege hiyo. Hii ni kwa sababu ... view

  • 23 Apr 2024 in National Assembly: Asante sana Mhe. Naibu Spika kwa kunipa fursa hii kuzungumzia swala la National Land Commission . Ni vizuri sana kwa kitengo hiki. Katika taifa la Kenya, tatizo kubwa linalolikumba ni swala la ardhi. Na wao haswa walikuwa wamekuja kwa sababu ya kutatua uzito au matatizo ya ardhi yaliyotokea kwa kipindi cha nyuma. Kikubwa ni kwamba ningeomba wapewe nguvu zaidi ili kusudi wawe wanaweza kutatua matatizo. Sio kusikiza halafu wanawacha. Kuna ardhi nyingi ambazo wenyewe hawako, wako Oman, sehemu za bara la Waarabu, wengine wako Ulaya, lakini ardhi zile ziko hapa na watu bado wanaambiwa ni maskwota. Mtu anakuja tu na ... view

  • 23 Apr 2024 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa hii niweze kuzungumzia swala la Tume ya Ardhi. Hii tume ni kitengo muhimu sana katika taifa letu kwa sababu shida kubwa ni mambo ya ardhi. Na katika dhulma za kihistoria… view

  • 23 Apr 2024 in National Assembly: Hon. Temporary Speaker, I contributed. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus