13 Mar 2024 in National Assembly:
Ahsante sana Mhe. Spika wa Muda kwa kunipa fursa ya kuchangia Ripoti hii muhimu sana. Lakini kabla ya hilo, ninakupa tahadhari kwamba nilingia Jumba hili saa nane na dakika ishirini, nikaweka kadi yangu ikawaka. Mhe. Spika alipitisha hapa kwamba Wabunge watakuwa wakitumia mbinu ya kidijitali kwa kutumia kadi zao. Hivyo, ni vyema sana wahusika washughulikie jambo hili. Hatuwezi kuketi na kujihisi wanyonge kuona wengine wakija baada yetu na kuzungumza ilhali tumekaa tangu saa nane.
view

Ndiyo, nakushukuru…
view
13 Mar 2024 in National Assembly:
Ndiyo, nakushukuru…
view
13 Mar 2024 in National Assembly:
Nakushukuru. Najaribu kukueleza kwa sababu pengine kuna wengine walio na shida kama hiyo lakini hawawezi…

Mhe. Spika wa Muda, nami ninasimama hapa kuunga mkono Ripoti hii. Nashukuru Kamati kwa kupanga mambo ya muhimu. Hii ni moja katika baraka ambazo mwenyezi Mungu atawapa neema kwa kukumbuka walemavu. Hata yule aliyeandika na anayesikiliza pia atapata baraka. Ndiyo maana tangu saa nane nimekaa hapa bila kutoka ili nami nipate neema hiyo ya kuwasaidia walemavu. Si kupenda kwa mtu kuwa na ulemavu au kasoro yoyote katika mwili wake. Ulemavu unaweza kumpata mtu yeyote ambaye sasa hivi anajiona mzima. Sote tunatumia vyombo vya moto, hivyo tunaweza kupatikana na jambo lolote wakati wowote na kuingia katika hali hiyo. Sheria zipo za ...