All parliamentary appearances
Entries 401 to 410 of 612.
-
5 Aug 2015 in National Assembly:
Asante sana Naibu Spika wa Muda. Kifungu 136 kinazungumza kuhusu kuchaguliwa kwa Rais. Kifungu cha 102 kinazungumza kuhusu kuchaguliwa kwa Wabunge na Kifungu cha 77 kinazungumza kuhusu kuchaguliwa kwa mbunge wa ugatuzi. Huu uchaguzi ulifanywa siku moja. Ni vipi MCA atakuwa na miaka mitano kamili na Rais kipindi chake hakiko wazi? Kipindi cha Wabunge hakiko wazi na Katiba inazungumza juu ya katikati ya miaka mitano. Ili turekebishe tatizo kama hili, ni vizuri tuje na sheria kama hii ili tuweze kutatua wasiwasi ulioko kisheria. Kwa nini tuna wasiwasi juu ya uchaguzi kufanyika mwezi wa Agosti? Kwanza, mimi ninawakilisha watu wengi ambao ...
view
-
30 Jul 2015 in National Assembly:
Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika kwa kunipa fursa hii. Hakuna taifa duniani ambalo litajigamba kujimudu kibiashara, kijamii na kiuchumi. Ndiposa mataifa duniani, ikiwemo Ushirikiano wa Nchi za Ulaya (European Union) wanatafuta ni vipi watashirikiana kuboresha hali ya maisha ya watu wanaoishi katika sehemu hizo. Ndiposa pia Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imeungana ili tufungue soko na tushirikiane kibiashara, kijamii na kisiasa. Leo, itifaki iliyowekwa mbele ya Bunge hili inatupatia ushirikiano wa kijeshi. Kwa nini wanajeshi washirikiane? Kuna masuala ya mafunzo ya kijeshi na kuna ushirikiano baina yao. Dunia ya leo inakumbwa na ugaidi. Tatizo la ugaidi si tatizo ambalo taifa ...
view
-
1 Jul 2015 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker, for giving me this opportunity. From the outset, may I declare my support for this Motion? Secondly, may I again take this opportunity to commend Hon. Abdul for coming up with this Motion. Though I said that I support this Motion, it is one thing to pass a Motion and it is another to see that the law or Motion you have passed in this House is implemented. I have some reservations. Why am I saying this? There is infrastructure, manpower and resources required in having ICUs. As a nation, are we able to ...
view
-
25 Mar 2015 in National Assembly:
Asante, Mhe. Naibu Spika. Ningependa kumshukuru Mhe. Ng’ongo kwa fursa ya kumuunga mkono kwa marekebisho ambayo ameleta katika Bunge hili. Katiba tulionayo leo ni muhimu sana kwa taifa na vizazi vinavyokuja.
view
-
25 Mar 2015 in National Assembly:
Ninayo masikitiko makubwa kwa sababu Katiba ya Kenya haijatafsiriwa rasmi katika lugha ya Kiswahili; Katiba bado ni rasimu. Kipengele sabini na saba katika Kanuni za Bunge kinatambua Kiswahili kama lugha rasmi ya Kenya. Kipengele cha saba katika Katiba kinatambua kwamba Kiswahili ni lugha rasmi na tena lugha ya taifa. Iwapo Kiswahili ni lugha rasmi na tena lugha ya taifa, kwa nini Katiba hiyo haina tafsiri rasmi ya Kiswahili? Kwa sababu hiyo, mimi namshukuru mheshimiwa Mbadi kwa kuleta marekebisho haya. Nilipoongea mara ya kwanza katika Bunge hili la Kumi na Moja, hatua ya kwanza niliyochukua ilikuwa ni kupendekeza na kuandikia Kamati ...
view
-
25 Mar 2015 in National Assembly:
The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
-
11 Dec 2014 in National Assembly:
Thank you, hon. Speaker. I hope you have heard my brother, hon. Nuh, say that the drafters of the Constitution gave security of tenure to the Inspector- General of police. Where in the Constitution was that tenure given?
view
-
10 Dec 2014 in National Assembly:
Thank you, hon. Temporary Deputy Speaker. I beg to present the following petition:- I, the undersigned, on behalf of the residents of Bura Constituency; draw the attention of the House to the following:- Noting that the National Police Service Commission in the exercise of its powers, or in the performance of its functions, the Commissioners are in serious violation of the Constitution and the Laws of Kenya and exhibit gross misconduct in performance of their functions as Commissioners, and that there is incompetence in the conduct of vetting and promotion of police officers without proper regulations in place to guide ...
view
-
25 Nov 2014 in National Assembly:
Asante Mhe. Spika wa Muda. Nishatoa risala zangu za rambirambi kwa jamaa za waliohusika wote. Ni kweli kuwa nchi ya Kenya imekumbwa na maafa. Kenya leo ina matatizo makubwa. Ni nini tunastahili kufanya? Kama Wakenya, tunapaswa kufahamu uzito na upana wa matatizo yanayokumba taifa letu. Je, Kenya inayo sera ya usalama wa ndani wa taifa? Haina. Wajibu wetu ni nini kama Wakenya? Najua kuwa tutalaumiana; eti futa kazi ole Lenku au futa kazi Kimaiyo. Kifungu cha 240 cha Katiba ya nchi kilichobuni baraza la usalama wa taifa kimeanza na Rais, Makamu wa Rais, Waziri wa Ulinzi, Waziri wa Maswala ya ...
view
-
15 Oct 2014 in National Assembly:
Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nachukua fursa hii kwanza kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa sababu leo nitapata fursa ya kuzungumuza na waheshimiwa Wakenya waliotuchagua. Hivyo hivyo, nitapata fursa ya kuzungumza na wakoloni mamboleo na vibaraka vya wakoloni mamboleo waliomo ndani na nje ya nchi hii. Kabla sijazungumza na wao, ningependa kuweka ombi kwako kwa sababu Hotuba Ya Rais ni kumbukumbu muhimu kwa Bunge na Taifa la Kenya kwa jumla. Kifungu cha Saba, Kipengele cha Kwanza na cha Pili, kinatilia umuhimu wa lugha ya Kiswahili katika Taifa la Kenya. Kipengele cha Kwanza kinasema kuwa lugha ya Taifa The electronic version ...
view